Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Wandugu Mimi nina shahada ya kilimo, nafanya kazi serikalini, nina miaka 3 kazini
Naomba kupewa link ya kusoma vyuo vya nje masters ya kilimo katika vyuo ambavyo hawahitaji mitihani ya English, maana mimi sijafanya hiyo mitihani.

Kaka yangu kama unajisomesha wewe mitihani sio ishu wala haitakuumiza kichwa,
 
Huyo mtu nampataje sasa
Ukishajisajili unasajili na lugha unazotaka kujifunza. Then watu wa hiyo lugha ukisearch auto utawaona then unawatumia text unawaeleza.

Kawaida na kwa urahisi ukimpata mtu anayehitaji kujifunza lugha unayoiweza na yeye akawa anaijua lugha unayotaka kujifunza inakuwa simple na anakupa time kubwa maana na yeye anabenefit...nilimpata wa hivyo mimi.

Download app utaielewa wewe fresh
 
Kama unauhitaji wa kujifunza lugha online na unaweza kutumia hiyo opportunity kufahamiana na watu wa nje ...tafuta hii app Hello talk.
Mkuu Daby hiyo application nzuri sana imeniwezesha kukutana na rafiki wa nchi za nje mpaka sasa tumekuwa kama ndugu tunawasiliana karibia kila siku yupo na yupo tayari kunitumia mwaliko na pia ilikuwa nifikie kwake ila sasa amepata kazi anakuja huku Africa Uganda ila akirudi naweza kurudi nae kwa gharama zake pia nawashauri mtumie app hii inaitwa italki inakuwezesha kukutana na walimu wa lugha zote duniani pia inakuwezesha kupata language partners wa kujifunza nao lugha wengine wanakutafuta wenyewe huo ndo mwanzo wa kutengeneza urafiki mpaka sasa nina marafiki wawili wa kimarekani ninaowafundisha kiswahili na wao wananisaidia kuimprove english yangu.
 
Hongera mkuu... acha watu waitumie ni nzuri kabisa. Kikubwa ni uaminifu wa mtu tu.
 
Hilo la uaminifu ndiyo la kwanza pia usimuonyeshe harakaharaka nia yako ni nini, wewe jenga uaminifu kwanza tatizo letu wabongo for the first time unaanza kumwambia shida zako lazima akukimbie.
Haha... kuna mdada mmoja alilalamika anadai kuna watu wengine wanatumia hii gia ya language baadae anakuja kukuliza... wengi wapo makini saana.
 
yaaaaa hilo unalosema ni kweli hata kwa upande wetu inabidi tuwe makini usipende kumuamini mtu haraka haraka eti kisa unashida ya kwenda nje ninashauri tafuta kahela kako kitakachokuwezesha kuishi huko au kuweza kurudi nyumbani ikitokea mambo yamebuma au ukikuta uliyefikia kwake si mtu mzuri, maana unaweza fika huko ukatolewa Figo tuwe makini.
 
Hahaha [emoji16][emoji16]
 
Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Hata kwa kuhonga ndugu!!!!
 
Back
Top Bottom