Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

naomba kwa anaejua ishu ya ukimbiz atupe mawili matatu.nataka wengine wajilipue new zealand au australia.kwa aliepo nyarugusu naomba mrejesho tafadhali.process ikoje?yani ramani kamili.kuna wadada walienda huko mwaka jana gafla nawaona arizona wengine new zealand.
 

kwanini unalazimisha tutiririke hapa? kwa kifupi hujaongea uhalisia wa maisha ya huko jinsi yalivyo magumu kwa uzoefu wa kuishi huko unapopaita ughaibuni nimegundua umedanganya vitu vingi sana na kama utataka nikuumbue nitafanya hivyo,

huko nje kuna wanaijeria wengi wanafanyishwa kazi kama watumwa wa kingono na makahaba, kuanzia italy hadi huko USA, kuna wengi waliondoka wazima lakini wakarudi washakua mabwabwa.

katika vitu ambavyo sintovisahau maishani ni ile hali ya kudharauliwa na kubaguliwa kwavile tu mimi ni mwafrika,
niliwahi kwenda kumsabahi jamaa yangu mmoja katika visiwa vya Turks and Caicos ambavyo karibu na jamaica na dominican republic maarufu sana kutokana na jiji lao liitwalo santo domingo, nilitoka vizuri pale Nassau bahamas nikiwa na round trip air ticket, nikapanda ndege kuelekea katika nchi hiyo ila nilipofika katika uwanja wao wa ndege uliop Cock bun, baada ya kutoa passport yangu ili nikaguliwe nitoke, ilipoonekana tu niya TZ, nikaambiwa nitulie pembeni kwanza wahudumiwe wazungu wa ulaya na marekani, kisha nikachukuliwa maelezo kuhusu nchi yangu, Tz ipo afrika sehem gani? nami nimefuata nini huko kwakua hawajazoea kumuona mwafrika anaenda kutembea katika kisiwa hicho cha maraha, nikawaeleza nimekwenda kumtembelea jamaa yangu ambae ni mzaliwa wa hapo, nikapekuliwa kisha wakanikuta nina cash dola 3000 na pia ni visa card ya carebean bank, maswali yakawa mengi zaidi imekuaje mtu kutoka africa ana hizo pesa na pia anavisa card, nikawajibu mimi ni mwanafunzi naishi katika nchi ya jirani tu na hapo, swali lingine huko kwenu afrika hakuna vyuo mpaka uje kusoma huku? au ndio mmeishakimbia kama kawaida yenu, cha kushangaza watu hao na wenyewe ni weusi tu kama sisi, niliumia saana mpaka mwenyeji wangu anafika na kunichukua tayari hamu ya kukaa hata zile wiki mbili ilikua ishakata.

naomba niwashauri tu ndugu zangu kama uanweza kuangalia fursa na kuzifanyia kazi ni bora kufanya hivyo,,,

sishauri mtu kukimbia na kuishi maisha ya kubaguliwa as if hauna nchi....
 
Hivi vitu vyote ninavyo tayari, naomba uendelee kunipa mwongozo mkuu
 
[emoji121]
MKUU,

HII KOMENTI YAKO INANISHUSHA MORI KABISA HII!

ILA MIMI NAANZA NA BOTSWANA KWANZA!

NIKIBAGULIWA HUKO,
NITAJUA KWELI WA_TZ HATUPENDWI ULIMWENGU HUU!
 
[emoji121]
MKUU,

HII KOMENTI YAKO INANISHUSHA MORI KABISA HII!

ILA MIMI NAANZA NA BOTSWANA KWANZA!

NIKIBAGULIWA HUKO,
NITAJUA KWELI WA_TZ HATUPENDWI ULIMWENGU HUU!

botswana is very ok, ni nchi ya kiafrika hakuna ubaguzi saana, nimefika charles hills na gaborone, wale jamaa ni wakarimu saana, ila uwe na fani bro hasa ma daktari.
 
botswana is very ok, ni nchi ya kiafrika hakuna ubaguzi saana, nimefika charles hills na gaborone, wale jamaa ni wakarimu saana, ila uwe na fani bro hasa ma daktari.
[emoji121]
MKUU,

MIMI NI MWALIMU WA MASOMO YA KISWAHILI NA KIINGEREZA.

NAWEZA KU_SURVIVE KULE?
AU UTARATIBU WA KUOMBA JOB KWENYE TAASISI BINAFSI ZA ELIMU NI COMPLICATED SANA?!?!
 
[emoji121]
MKUU,

MIMI NI MWALIMU WA MASOMO YA KISWAHILI NA KIINGEREZA.

NAWEZA KU_SURVIVE KULE?
AU UTARATIBU WA KUOMBA JOB KWENYE TAASISI BINAFSI ZA ELIMU NI COMPLICATED SANA?!?!

sio mbaya mkuu, ila huko botswana wapo very organized, huwezi zamia na kujificha muda mrefu, pia pesa yao inaitwa Pura ina thamani kuliko Rand ya Afrika kusini, la muhimu ningekushauri ingia online tafuta shule ya sekondary au msingi binafsi anza kuomba kazi ukiwa huku huku pia omba hata kupitia wizara ya Elimu ya huko ukiwa huku, wakikukubali hutopata matatizo, na hata kama ukipata shule ya binafsi inamaana shule hiyo ndio itakayokusaidia kupata work permit na documents zingine, nakuhakikishia huko lazima upate mdada mzuri na atakupenda kweli kwa kifupi Botswana wanawake ni wengi saana kuliko wanaume, na pia watu wengi hua wanachelewa kuoa kwahiyo we mbongo ukifika na ukatangaza ndoa mbona faster unapata jiko.

Daah, kuna bia zao za ukweli sana St Luis hazina hang over. kule utakutana na watoto wa herero miguu ya bia......

kila la heri kaka. mi hua naenda enda huko.
 

Akitokea yeyote wa kuleta details Fanya kuni tag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…