Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Inaenda poa segito.. mambo yanaendamipango inaendaje wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaenda poa segito.. mambo yanaendamipango inaendaje wakuu?
Mkuu hii ni thread maalumu kwa kupeana uzoefu wa majuu na namna ya kwenda.... Ni maalumu kwa wenzetu wanaohitaji kwenda huko... Sio mimi ninayehitaji nimeweka kwa niaba ya wengine. Nimeshaishi USA for 8 years na Denmark.
So ili kupunguza wimbi la thread za ushauri ni vizuri tutiririke hapa ili wengine wajifunze.
Hivi vitu vyote ninavyo tayari, naomba uendelee kunipa mwongozo mkuuKuna vitu vya muhimu uviandae Kabla ya muda wa kuomba kufika
1. Hakikisha una passport maana itahitajika wakati wa kutuma maombi
2. Kama hujafanya mitihani ya kiiengereza (IELTS/TOEFL) basi walau kidato cha nne uwe umefaulu English kwa kiwango cha B.
3. Wanataka watu wenye potential za kuwa viongozi, kwa hiyo hakikisha kwa namna moja uwe unajishughulisha na kazi zinazogusa jamii.
4. Uwe na watu watakaokuandikia recommendation letter (sio lazima walimu waliokufundisha)
5. Andaa Swedish Kronor 900(Hii ni kama 100USD) kwa ajili ya kulipia admission
Nashukuru mkuuIngia hapa Swedish Institute Study Scholarships Application zinafunguliwa mwezi December, kwa mwaka huu tayari wameshatoa majina ya waliopata scholarship. Hizi ni za Sweden
[emoji121]kwanini unalazimisha tutiririke hapa? kwa kifupi hujaongea uhalisia wa maisha ya huko jinsi yalivyo magumu kwa uzoefu wa kuishi huko unapopaita ughaibuni nimegundua umedanganya vitu vingi sana na kama utataka nikuumbue nitafanya hivyo,
huko nje kuna wanaijeria wengi wanafanyishwa kazi kama watumwa wa kingono na makahaba, kuanzia italy hadi huko USA, kuna wengi waliondoka wazima lakini wakarudi washakua mabwabwa.
katika vitu ambavyo sintovisahau maishani ni ile hali ya kudharauliwa na kubaguliwa kwavile tu mimi ni mwafrika,
niliwahi kwenda kumsabahi jamaa yangu mmoja katika visiwa vya Turks and Caicos ambavyo karibu na jamaica na dominican republic maarufu sana kutokana na jiji lao liitwalo santo domingo, nilitoka vizuri pale Nassau bahamas nikiwa na round trip air ticket, nikapanda ndege kuelekea katika nchi hiyo ila nilipofika katika uwanja wao wa ndege uliop Cock bun, baada ya kutoa passport yangu ili nikaguliwe nitoke, ilipoonekana tu niya TZ, nikaambiwa nitulie pembeni kwanza wahudumiwe wazungu wa ulaya na marekani, kisha nikachukuliwa maelezo kuhusu nchi yangu, Tz ipo afrika sehem gani? nami nimefuata nini huko kwakua hawajazoea kumuona mwafrika anaenda kutembea katika kisiwa hicho cha maraha, nikawaeleza nimekwenda kumtembelea jamaa yangu ambae ni mzaliwa wa hapo, nikapekuliwa kisha wakanikuta nina cash dola 3000 na pia ni visa card ya carebean bank, maswali yakawa mengi zaidi imekuaje mtu kutoka africa ana hizo pesa na pia anavisa card, nikawajibu mimi ni mwanafunzi naishi katika nchi ya jirani tu na hapo, swali lingine huko kwenu afrika hakuna vyuo mpaka uje kusoma huku? au ndio mmeishakimbia kama kawaida yenu, cha kushangaza watu hao na wenyewe ni weusi tu kama sisi, niliumia saana mpaka mwenyeji wangu anafika na kunichukua tayari hamu ya kukaa hata zile wiki mbili ilikua ishakata.
naomba niwashauri tu ndugu zangu kama uanweza kuangalia fursa na kuzifanyia kazi ni bora kufanya hivyo,,,
sishauri mtu kukimbia na kuishi maisha ya kubaguliwa as if hauna nchi....
Ha ha ha ha nmepata wa botswnaa mwenzangu,,tukutane mwez August pale Gaborone[emoji121]
MKUU,
HII KOMENTI YAKO INANISHUSHA MORI KABISA HII!
ILA MIMI NAANZA NA BOTSWANA KWANZA!
NIKIBAGULIWA HUKO,
NITAJUA KWELI WA_TZ HATUPENDWI ULIMWENGU HUU!
[emoji121]
MKUU,
HII KOMENTI YAKO INANISHUSHA MORI KABISA HII!
ILA MIMI NAANZA NA BOTSWANA KWANZA!
NIKIBAGULIWA HUKO,
NITAJUA KWELI WA_TZ HATUPENDWI ULIMWENGU HUU!
[emoji121]botswana is very ok, ni nchi ya kiafrika hakuna ubaguzi saana, nimefika charles hills na gaborone, wale jamaa ni wakarimu saana, ila uwe na fani bro hasa ma daktari.
ukipata watu kama the so called bruce lee lazma ufeli maisha.
[emoji121]
MKUU,
MIMI NI MWALIMU WA MASOMO YA KISWAHILI NA KIINGEREZA.
NAWEZA KU_SURVIVE KULE?
AU UTARATIBU WA KUOMBA JOB KWENYE TAASISI BINAFSI ZA ELIMU NI COMPLICATED SANA?!?!
Hakuna ambaye tayari amejitosa hadi muda huu?mipango inaendaje wakuu?
naomba kwa anaejua ishu ya ukimbiz atupe mawili matatu.nataka wengine wajilipue new zealand au australia.kwa aliepo nyarugusu naomba mrejesho tafadhali.process ikoje?yani ramani kamili.kuna wadada walienda huko mwaka jana gafla nawaona arizona wengine new zealand.
poa poaAkitokea yeyote wa kuleta details Fanya kuni tag
je,ulipenda kujua nini kuhusu huko?Wakuu mrejesho wa Msumbiji Bado
segito naona unanikwepa wangu, hujajibu maswali yanguje,ulipenda kujua nini kuhusu huko?
sijakukwepa.naepusha shari tusegito naona unanikwepa wangu, hujajibu maswali yangu