Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza



Umeelewaje haya maneno?

So ili kupunguza wimbi la thread za ushauri ni vizuri tutiririke hapa ili wengine wajifunze. Hakuna aliyelazimishwa. Ni moyo wa mtu kuamua kutoa anachofahamu au la. Kama wewe unaona kuna aliyelazimishwa umekosea. Siyo watanzania pekee wanaotoka nchi zao, wapo pia mataif ya ulaya wanaosafiri ili kuangalia maisha mengine
 
Bruce Lee
Hongera sana mkuu na maendeleo na fursa ulizo nazo.
Sasa huu uzi ndio utatusaidia Wengi ili tuzione hizo fursa.
Mimi nina uhakika wadau wengi walio SOMA HUU UZI Kwa DHATI watafanikiwa.Mpaka sasa ziko page 151. Habari zilizomo Hata Google hawana.Bado tunaomba michango yenu.
 
Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Mkuu...
Ukipata mtu wa kumuooa unapata kibali cha kusettle mazima..?
 
Alafu hii issue ya KUALIKA ikoje mkuu..?
Ndio kwanza nimeona kwenye huu uzi...
Sijawahi kusikia kuhusu hii kitu..!
Cc
lusungo
 
Nitaifanyia kazi hii..!
 
Kuna website ambazo watu kutoka sehemu zote za dunia wanatafuta watu wa kuja kumfanyia kazi ya kujitolea ambapo yeye atakupa chakula na sehemu ya kukaa bure kipindi chote utakachokuwa pale kwake mwaka mmoja tu ndani ya Malta bhasi


MALCOM LUMUMBA

Website gani hizo mkuu..?
Unaweza kushare link..!?
 
Jamani mbona thread imechacha namna hii..?
Au ndio kusema watu wote humu ndani mlishajiripua..!?
 
Kwa wale walio jaza Green card lottery Mwaka jana
2016 majibu yametoka.ingia Hapa
www.dvlottery.state.gov. Hii Tovuti inatumika ukitaka kujiandikisha.Kumbuka NIBURE,ZERO HAULIPII.
Ukiulizwa kulipia kimbia lazima uwe kwenye .GOV
Ukiwa .com Au .org usipoteze muda
 
Asante kwa taarifa mkuu...
Mkuu,mimi niko mwaka wa pili UDSM(Nachukua bachelor degree ya kilimo-biashara),namaliza mwakani...
Nataka nikimaliza tu nipae chap,bila kupoteza muda..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…