Indonesia inazalisha vitu vingi sana. Kuna viwanda vya magari, vitu vya umeme mpaka vyakula, vifaa vya kijeshi na kadhalika.
Ni nchi yenye uchumi mkubwa kuliko wote kusini mashariki mwa Asia, kupita hata Singapore. (1 trillion $ economy).
Fursa nzuri ni kununua madawa, huko ni rahisi kuliko India. Pia magari mepya ya Kijapani ni $10,000 tu, minivan Toyota. Wanasuka kila kitu wenyewe.
Vyakula ni rahisi na kuna viwanda vikubwa sana vya nguo, hasa za Kiislamu.
Viza pia haina usumbufu, unapewa bure uwanjani, siku 30.
Nakusudia kwenda huko kimasomo Sikh za karibuni, ni vitu gani naweza kufanya nikifika ili pamoja na masomo, nitengeneze pesa!?Indonesia inazalisha vitu vingi sana. Kuna viwanda vya magari, vitu vya umeme mkapa, vyakula, vifaa vya kijeshi na kadhalika.
Ni nchi yenye uchumi mkubwa kuliko wote kusini mashariki mwa Asia, kupita hata Singapore. (1 trillion $ economy).
Fursa nzuri ni kununua madawa, huko ni rahisi kuliko India. Pia magari mepya ya Kijapani ni $10,000 tu, minivan Toyota. Wanasuka kila kitu wenyewe.
Vyakula ni rahisi na kuna viwanda vikubwa sana vya nguo, hasa za Kiislamu.
Viza pia haina usumbufu, unapewa bure uwanjani, siku 30.
Peleka nguo za Kiislamu, korokoro za kina dada kama hereni, cream za ngozi, dawa za kienyeji (herbal medicine) , simu za mkono (samsung J series ni $200), spea za magari.Nakusudia kwenda huko kimasomo Sikh za karibuni, ni vitu gani naweza kufanya nikifika ili pamoja na masomo, nitengeneze pesa!?
Anayeishi japan Tokyo anisaidie nataka jilipulia ukoIndonesia inazalisha vitu vingi sana. Kuna viwanda vya magari, vitu vya umeme mkapa, vyakula, vifaa vya kijeshi na kadhalika.
Ni nchi yenye uchumi mkubwa kuliko wote kusini mashariki mwa Asia, kupita hata Singapore. (1 trillion $ economy).
Fursa nzuri ni kununua madawa, huko ni rahisi kuliko India. Pia magari mepya ya Kijapani ni $10,000 tu, minivan Toyota. Wanasuka kila kitu wenyewe.
Vyakula ni rahisi na kuna viwanda vikubwa sana vya nguo, hasa za Kiislamu.
Viza pia haina usumbufu, unapewa bure uwanjani, siku 30.
Nisaidie email yake ili anijuze yanayojili ukoJamanii kuna Dada mmoja Wa Marekani Alikuja Bongo alikuwa Anafanya Research....sasa mm nilikuwa nae japo si sanaaaa....ila eneo alilokuwa anafanyia research anavoondoka aliniachia Email yake na Alikuwa Mwaka wa mwisho ni Medical Doctor! Sasa nilimtumia Email kumuomba Anitafutie Scholarship au Sponsorship....Jana Kaijibu Email yangu kaomba msamaha kwa kuchelewa kuijibu na Anasema analikuwa ana Ifikiria kwa mda mrefu sana
Akasema yeye hajaaanza bado kutengeneza hela zake na itamchukua miezi kadhaa lakini akaomba nimtumie gharama za Ada kuishi na mimi naweza kutoa kiasi gani ili aangalie kiasi gani nahitaji .....mm nimemjibu jana Usiku kuwa kwa mwaka mzima.....Ada na malazi nahitaji Dollar za kimarekeni 4,912 na kwa mwaka mm naweza kuchangia Dollar za kimarekani 1,000 so nahitaji dollar 3912 kwa mwaka....
Sasa ndio nasubiri majibu Jamani je Niwe na Matumaini kiasi hicho cha pesa kwa mwaka au nimesema hela kubwa sanaa kwa mwaka siwezi pewa kabisaa nishaurini hapa!
Hey ntaipata vp iyo passport ya miaka iyoMiaka kumi ndo passport kumbwa according to immigration, ndogo miaka mitano
Nahitaji kutimkia Japan ushauri kwa maisha ya japan pako vpTengeneza barua mwenyewe kamanda, hii bongo usiogope kabisa, kaa chini andika barua yako, tena ukiweza shuka ngeli ngumu kwelikweli hawataisoma. Ukishindwa ingia google andika sample invitation letter, utapata kila kitu. Jiongeze
Nahitaji kutimkia Japan ushauri kwa maisha ya japan pako vp
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesiJamanii kuna Dada mmoja Wa Marekani Alikuja Bongo alikuwa Anafanya Research....sasa mm nilikuwa nae japo si sanaaaa....ila eneo alilokuwa anafanyia research anavoondoka aliniachia Email yake na Alikuwa Mwaka wa mwisho ni Medical Doctor! Sasa nilimtumia Email kumuomba Anitafutie Scholarship au Sponsorship....Jana Kaijibu Email yangu kaomba msamaha kwa kuchelewa kuijibu na Anasema analikuwa ana Ifikiria kwa mda mrefu sana
Akasema yeye hajaaanza bado kutengeneza hela zake na itamchukua miezi kadhaa lakini akaomba nimtumie gharama za Ada kuishi na mimi naweza kutoa kiasi gani ili aangalie kiasi gani nahitaji .....mm nimemjibu jana Usiku kuwa kwa mwaka mzima.....Ada na malazi nahitaji Dollar za kimarekeni 4,912 na kwa mwaka mm naweza kuchangia Dollar za kimarekani 1,000 so nahitaji dollar 3912 kwa mwaka....
Sasa ndio nasubiri majibu Jamani je Niwe na Matumaini kiasi hicho cha pesa kwa mwaka au nimesema hela kubwa sanaa kwa mwaka siwezi pewa kabisaa nishaurini hapa!
Thankx mkuuMwenyezi Mungu akufanyie wepesi
Russia pagumu komaa na nchi za ulaya tu hapo na Asia kama Indonesia, Malaysia,WAKUU VIPI KWA UPANDE WA RUSSIA?.
Pagumu kivipi Mkuu?.Maelezo kidogo Tafadhali!!.Russia pagumu komaa na nchi za ulaya tu hapo na Asia kama Indonesia, Malaysia,
Mose sio humu ni uzi mwingine niliokurushia link yake. Nafikiri uliupata lakini pia humu wanatakiwa kuwa makini zaidi.Hapa lazima apigwe mtu, [HASHTAG]#brittanica[/HASHTAG] in New style.... [HASHTAG]#daby[/HASHTAG] njoo ufute watu machozi watalizwa tena