Indonesia inazalisha vitu vingi sana. Kuna viwanda vya magari, vitu vya umeme mkapa, vyakula, vifaa vya kijeshi na kadhalika.
Ni nchi yenye uchumi mkubwa kuliko wote kusini mashariki mwa Asia, kupita hata Singapore. (1 trillion $ economy).
Fursa nzuri ni kununua madawa, huko ni rahisi kuliko India. Pia magari mepya ya Kijapani ni $10,000 tu, minivan Toyota. Wanasuka kila kitu wenyewe.
Vyakula ni rahisi na kuna viwanda vikubwa sana vya nguo, hasa za Kiislamu.
Viza pia haina usumbufu, unapewa bure uwanjani, siku 30.