Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Feedback zitakuja ngoja watu tutulie tujue hata pakuazima moto
Ebana feedback muhimu babalai, si unajua tena motivation kwa ambao bado wako nyuma, naona kimya kingi hata amasa hamna tena.
 
Ebana feedback muhimu babalai, si unajua tena motivation kwa ambao bado wako nyuma, naona kimya kingi hata amasa hamna tena.
Ni kweli...
Sema kutoa feedback wakati hauna hata miezi unaweza kuongopa. Ndiyo yale utaulizwa maswali unashindwa kujibu unaambiwa upo kwa mtogole. Tuwe wavumilivu.[emoji4]
 
Ni kweli...
Sema kutoa feedback wakati hauna hata miezi unaweza kuongopa. Ndiyo yale utaulizwa maswali unashindwa kujibu unaambiwa upo kwa mtogole. Tuwe wavumilivu.[emoji4]
Ahahah.. Ni kweli arifu, Fanya kufamiliarize kwanza mazingira kisha utujuze baada ya kuwa na info zote,
 
Wakuu vipi kuhusu maisha ya istanbul, Turkey?
Kazi zinapatikana huko?

Sent from my SM-T561 using JamiiForums mobile app
 
Nenda marekani mzee Don the Trump kafuta visa unaingia bila visa miezi sita
 
naomba ushauri if you are familiar with japan
 
jamani naomba ushauri nataka kwenda japan for a while then ni sehemu gani katika nchi ya japan ni nzuriiiiiiii zaidi mimi nina miaka 25 na nina hold bsc in computer science please naomba ushauriiiiiiii wenu

Mkuu huu uzi unazo taarifa nyingi kuhusu Japan Na sehemu nyingi tofauti duniani.
Tafadhali soma.Watu wengi waliuliza maswali yako Na wataalamu wakayajibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…