impelle
JF-Expert Member
- Jan 20, 2017
- 832
- 1,107
Samahani kama nimekukwaza ila naomba uheshimu pia maamuzi yangu.Mkuu sasa unamsaidia mtu aende invisible? Mm nimeishi Australia Gold Coast jimbo la Ql mbona sio ishu? Kutaja unaishi wapi ni ishu mkuu?
Niexpose hapa nipo wapi wakati jina nimeficha ili iwaje? Ww unaona vzr kutumia true identity fine lkn Mimi Mara zote naficha.
Nivosema msaada sikumaanisha ntasema hapa, ningeshaandika Uzi wa kuomba najua wadau wapo ila nimejiwekea malengo mwakani nisaidie watu 7 maana naona watz tupo nyuma nadhan wengi hatuna taarifa kulinganisha na mataifa mengine.Mungu anisaidie.