Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbn Hussein Machozi kalowea Italy anakula bata ...hahahaMaisha ni popote sikatai.
Ila kwa ITALY nisingekushauri.
Na tukija kwenye Ubaguzi kwa hapa Ulimwenguni bora kuondoa hiyo dhana maana kila Nchi ina Ubaguzi ila Ubaguzi unatofautiana.
Kwahiyo suala la Ubaguzi lisikutishe
Kiongozi sikatai.Mbn Hussein Machozi kalowea Italy anakula bata ...hahaha
Ubatani achana napo.nataka kwenda kuishi turkey nisaidie jinsi ya kufanya mchakato
Kiongozi.Wadau mm kipindi sijaoa nilikuwa na ndoto za kuishi ulaya lakini sasa nimeoa naona ndoto zangu kama zinafifia hivi.
Hapana mkuu mbona unakata tamaa?Wadau mm kipindi sijaoa nilikuwa na ndoto za kuishi ulaya lakini sasa nimeoa naona ndoto zangu kama zinafifia hivi.
Passport ni lazima uwe nayo.Wakuu unaposhiriki dv lottery visa ni lazima uwe na paspoti?
mjingamimi, Sky Eclat, lusungo, Dr.adams faida, bigmind, Daby, Rich Ze Best, Lizarazu, DUBE, nchemime, Shyshii, Prishaz, cognition ,impelle, Dumelang, Ng'wanapagi, wamba, Tantaw, Wonderful, bily, Richard, Remote, Prof, chindo, PATO8221, Jambazi, dolevaby danya, Chillah, SDG, ganja gal, meney9 , the ox , farharu, dangadunguri, KIKAZI, STUNTER, wiseboy, Mrike , Cole Williams, mgaka12 , kirikou1 , KikulachoChako , kilam , Se-ronga , kiumbe kipya , xav bero, Prishaz
Salaamu wakuu, natumaini mu wazima wa afya. Mimi pia sijambo wa afya, Mungu ni mwema.
Awali ya yote, napenda kutoa shukrani za dhati kabisa to all folks ambao mmekuwa mkiniPM (from time to time) kuulizia progress ya suala langu with mkuu izzo. Ahsanteni sana kwa kuguswa na kujali. Niliwaahidi kutoa full update Tarehe 1 August 2017, na LEO hii ndiyo siku yenyewe.
Nitaanza na Background kidogo ili kukumbushana tu mchakato ulianzia wapi, uliendeleaje, na hatimaye picha limeishaje. Nitaweka maelezo kwa mtiririko wa numbering paragraph, just for the purpose of easy reference kwa wachangiaji.
1. Communication yetu (mimi na mkuu Izzo) ilianzia kwenye post yangu [HASHTAG]#1493[/HASHTAG] kwenye uzi huu. Kwenye post hii nili-share, among other things, PLAN yangu ku-secure scholarship to study in home country for Undergraduate Level (bachelor degree). Ndugu Izzo aliguswa na post yangu hiyo, akaahidi kunisaidia ila kwa kamtihani kidogo... akaniuliza if I can compose a write-up (an essay) of 400 words kuelezea NITAFANYA NINI KAMA NIKIPEWA US DOLLAR 100? Nikamjibu kuwa naweza vizuri tu kuandika hiyo essay.
View attachment 555866
2. Ilikuwa ni kama 'zali' kwangu, coz kwa mujibu wa Izzo, ni nafasi MOJA tu (kati ya nafasi TANO) ndiyo ilikuwa imebakia for such scholarship opportunity within Izzo's linkage, na nafasi hiyo ikawa offered kwangu. Nikasema YES... let me struggle for this lucky chance:
View attachment 555867
3. Niliandika hiyo essay fupi ya 400 words na kumaliza. Nikasubiri maelezo zaidi from Izzo juu ya nini cha kufanya. Kisha hapa hapa jukwaani akanipa email ya mtu niitume ile essay. Nikapata hofu email ya huyo mdau (connector/insider) kuwekwa hapa publicly, kwamba je na wengine wakimtumia essays itakuwaje?!! nilitarajia iyo email address ningeipata kwa PM. Ofkoz nilimuuliza mkuu Izzo WHY amefanya hivyo? akanijibu kuwa ataniPM kunipa 'CODE NUMBER' ya kumtumia huyo insider kama utambulisho ili ajue kuwa ni mimi.
View attachment 555868
4. I sent the essay to such email address. Mtu huyo aka-respond by asking ''name, rank en ur Serial number ?''
View attachment 555869
Nikacheck with Izzo kuhusu rank & serial number... akaniambia cha kujibu, kwenye name ni majina yangu kamili. Nikareply hiyo email accordingly. Kisha email id hiyo ikanitumia link ya sponsor mwenyewe sasa. Nilipoclick hiyo link, nikaona ni website ambayo naifahamu vizuri tu. Ni sponsor ninayemfahamu, namfahamu kwa maana ya kwamba tayari nilishawahi kufanya application the previous year. Ila nikajisemea moyoni kuwa wacha niaapply tena kwa vile kuna back-up & connection by an insider from Izzo.
5. Izzo akaniPM na kunizuia nisithubutu kuigawa hiyo link. Thus, I should NOT share the link to anyone else. Akasema nikithubutu kui-share hiyo link atajua tu. Mimi nikamjibu kama ifuatavyo... najinukuu:
'' Mkuu, hiyo link ni www.wellsmountainfoundation.org. Wells Mountain Foundation ni taasisi inayotoa support to communities (worldwide) with main focus, among other things, on LITERACY and EDUCATION. Nawajua hawa, na nilishawahi kujaribu kuwaomba scholarship mwaka jana, SIKUPATA!
Hii hapa chini ni email waliyonitumia 1 APRIL 2016 to acknowledge receipt of my completed Application
View attachment 555871
Application Form yao entails a lot of blanks for plenty write ups, na nilijikunja hasa kuandika, but sikubahatika! To be honest miye sikuwa na mpango wa kuaapply tena, coz it seems being a very competitive scholarship opportunity. Lakini kwa vile umenihakikishia 'connection' kwenye hilo, ndo ninaapply tena kwa mara nyingine.
How did I come to know them? It is just through internet searches. Tangu mwaka juzi nilikuwa nagoogle sana scholarships opportunities, ndipo siku moja nikawaona hao wamarekani Wells Mountain Foundation, na nikaapply accordingly but hollaaaa!
Kikubwa kinachoniuma kwenye hiyo programme, watanzania hawaipati kabisa. Wakati naaply mwaka jana, nilicheki the previous scholars waliopata (2015 scholars)... yani hapakuwepo na mtanzania yeyote hata mmoja!
Na scholars waliopata mwaka jana (2016 scholars) ambapo miye sikupata, pia hakuwepo hata mtanzania mmoja, scholars 41 from 20 developing nations, no any Tanzanian!!! Kwa east africa, ni wakenya na wanganda tu ndo wanaipata sana hiyo fursa.
It hurts kwakweli. It is either Tanzanians are NOT aware of such opportunity or hawaapply. So, sielewi WHY hutaki nishee hiyo website ya Wells Foundation with other Tanzanians ili nao wajaribu bahati yao, yaani wajaribu tu kuapply wao wenyewe solely bila 'connection' yako kuhusika. WHY?
By the way, that is a website, so nadhani itakuwa tu inafahamika kwa watu. YOU and/or I can't hide it from being visited by other people. '' mwisho wa nukuu.
6. Then mkuu Izzo akajibu kuwa kama nilishawahi kufanya application mwaka jana, basi nisiandike application upya. Bali nimtaarifu tu yule insider kuhusu hilo na nimforwadie hiyo Confirmation Email niliyopokea mwaka jana from the Organisation (WMF). Nikafanya hivyo, ila zikapita siku kadhaa insider akiwa kimya. Pia nikamtaarifu Izzo kuhusu ukimya wa insider wetu.
7. Tarehe 25 March 2017, nikapata PM from Izzo... namnukuu: '' Mcheki whats app kama amezifanyia kazi mm sasa hv nimesha withdraw kwenye project yeyote ya hapo jukwaani namba yake hyo +1 (845)... .... ". Sikumcheki huyo mtu by whatsapp.
8. Tarehe 4 April 2017, nikapata another last PM from Izzo... namnukuu: '' Nimewasiliana na Sammy kaniambia amepata email yako na anaifanyia kazi so relaxing mkaka ''
9. Tarehe 30 March 2017, nikapata last email from the insider wetu... namnukuu: ''Your E-mail address has been confirmed''.
10. LEO tarehe 1 August 2017, the Wells Mountain Foundation has released the list of 75 students from 17 developing nations as 2017 WMF Scholars supported through the Empowerment Through Education program. HAKUNA mtanzania hata mmoja! YES, there is NO ANY granted applicant from Tanzania.
Scholars wa 2015 hapakuwa na any mtanzania. Scholars wa 2016 hapakuwa na any mtanzania. Scholars wa 2017 pia hakuna mtanzania. Hata ukicheki miaka ya nyuma hakuna watanzania, ni 2014 tu ndiyo niliona mtanzania mmoja alipata. Kwa scholars from East Africa, kenyans make the majority!! na Ugandans na Rwandeese.
WMF ni NGO iliyopo Marekani. Wana-empower communities in developing countries worldwide. Among other supports, wana-offer scholarship to study in home country for undergraduate studies, under their programme called 'Empowerment Through Education'. Package ya scholarship ni maximum US Dollar 3,000 per academic year.
List ya 2017 Scholars hii hapa: Our Scholars | Wells Mountain Foundation
My kind Appeal: Watanzania wenzagu, jaribuni kutumia hii fursa kwa wahitaji. Visit the site for further info. Wakenya wanalamba sana hii fursa kila mwaka.
Thanks mkuu izzo for the efforts you did put in. Though the thing haijazaa matunda.
-Kaveli-
Aise mimi natamani sana kwenda huko ili nikasome, masomo ya uzamili na nikipata baada ya masomo nijilipuwe kama unavyosema.....Ndugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.
Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.
Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.
Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.
Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.
Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.
FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...
kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.
2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.
CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)
2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.
USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.
Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...
2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.
3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,
4. kwenda kwa shughuli za utamaduni
Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....
Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.
Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.
Nimeipenda boss please , mimi passport ninao ninachohitaji ni allowable basi, please tushare bas hizo kama huwa unaziona ili tujilipuweNdugu wana JF

Nilifanikiwa ndugu zanguMkuu, mwaka huu nimeomba scholarship kwenda kusoma Australia, China na UK
Niombeeni nifanikiwe ,nijilipue huko, nafanya kaxi ila haina maslahi na wategemezi lukuki, bora nitokomee huko kwanza
Nilifanikiwa ndugu zangu
Mungu awabariki nanyi mfanikiwe
Kama kuna mtu atataka muongozo Kwa ajili ya kujiunga masters na PhD huku nilipo
InvisibleUliko ni wapi chief?
Aise mimi naomba huo mwongozo nataka nikasome mastersUliko ni wapi chief?
Invisible
Aise mimi naomba huo mwongozo nataka nikasome masters
Please huo mwongozo
AhsanteCheck hapa kwa Australia
www.acaciamigration.com.au watakusaidia sanaaa ni agents very reliable.
Kusoma, kazi, kuinvest etc
Mimi nilihama 2016 niko kwingine