Samahani kama nimekukwaza ila naomba uheshimu pia maamuzi yangu.Mkuu sasa unamsaidia mtu aende invisible? Mm nimeishi Australia Gold Coast jimbo la Ql mbona sio ishu? Kutaja unaishi wapi ni ishu mkuu?
ThanksAustralia Student Visa Agency Sydney, Melbourne, Perth, Brisbane and Migration Registered Agency
Free consultancy to students wishing to pursue their studies in selected unis in Australia
Aiseee sawa, na hivi kuna watu wasiojulikana basi. Ila mm hata siogopi, najua hakuna wa kunifanya kitu ingawa situmii id inayoendana na jina langu but at least ukisema uko somewhere inavuta attention. Kuna nchi za kifala kama Estonia, Wales, Romani, Ireland.............kama ndio mtu anakua huko na anasema amshauri mtu kwenda ni bora abaki Bongo tuSamahani kama nimekukwaza ila naomba uheshimu pia maamuzi yangu.
Niexpose hapa nipo wapi wakati jina nimeficha ili iwaje? Ww unaona vzr kutumia true identity fine lkn Mimi Mara zote naficha.
Nivosema msaada sikumaanisha ntasema hapa, ningeshaandika Uzi wa kuomba najua wadau wapo ila nimejiwekea malengo mwakani nisaidie watu 7 maana naona watz tupo nyuma nadhan wengi hatuna taarifa kulinganisha na mataifa mengine.Mungu anisaidie.
[emoji3] [emoji3]Aiseee sawa, na hivi kuna watu wasiojulikana basi. Ila mm hata siogopi, najua hakuna wa kunifanya kitu ingawa situmii id inayoendana na jina langu but at least ukisema uko somewhere inavuta attention. Kuna nchi za kifala kama Estonia, Wales, Romani, Ireland.............kama ndio mtu anakua huko na anasema amshauri mtu kwenda ni bora abaki Bongo tu
Kweli kabisaKiukweli bongo fursa kibao, sema tu serikali si muezeshaji kwa wananchi wake
[emoji3] [emoji3]
Mtu asiyejulikana.
Mtu kabla ya kuomba huwa anainterest na anakopenda kwenda.
Mimi niliomba Norway, Australia, UK, Japan na China.
Kila mtu atapambana na hali yake kama ataona hapafai
Mimi nimeona mataifa mengine wanavyotoka watz tupo 3 tu Chuo Chenyr foreigners zaid ya 360.
Haya ndugu yang
Hongera sanaaaaaa tu mkuuNilifanikiwa ndugu zangu
Mungu awabariki nanyi mfanikiwe
Kama kuna mtu atataka muongozo Kwa ajili ya kujiunga masters na PhD huku nilipo
Mkuu hizo nchi za kifala watu wengi tungependa kwendaAiseee sawa, na hivi kuna watu wasiojulikana basi. Ila mm hata siogopi, najua hakuna wa kunifanya kitu ingawa situmii id inayoendana na jina langu but at least ukisema uko somewhere inavuta attention. Kuna nchi za kifala kama Estonia, Wales, Romani, Ireland.............kama ndio mtu anakua huko na anasema amshauri mtu kwenda ni bora abaki Bongo tu
sikushauri boss, muongozo ingiakwa internet usearch 'Migration agents in..........(nchi unayoitaka)Mkuu hizo nchi za kifala watu wengi tungependa kwenda
Tupe muongozo basi.
sikushauri boss, muongozo ingiakwa internet usearch 'Migration agents in..........(nchi unayoitaka)
Bosi Msigwa, kwa uzoefu wako ungetushauri tujaribu kwenda kusoma nchi zipi?
Mimi nimesomea Australia na Japan, naona kote kuzuri ila kwa nyongeza ni kua nchi zote za ulimwengu wa 1 ziko vzr i.e Marekani, Germany, Oz, ingawa haziwezi kua 100% matching..
Nchi za Scandinavia wanatumia pesa gani,Dora,euro,au?Mimi nimesomea Australia na Japan, naona kote kuzuri ila kwa nyongeza ni kua nchi zote za ulimwengu wa 1 ziko vzr i.e Marekani, Germany, Oz, ingawa haziwezi kua 100% matching..
Nchi za Scandinavia wanatumia pesa gani,Dora,euro,au?
Wanatumia korona mkuu ndio jina La pesa yao.Nchi za Scandinavia wanatumia pesa gani,Dora,euro,au?
Korona moja sawa na tz shilling ngapi?maana thaman ya pesa ya nchi inaweza kusaidia MTU kuvutiwa kwenda huko,Wanatumia korona mkuu ndio jina La pesa yao.
1 USD =7KronarKorona moja sawa na tz shilling ngapi?maana thaman ya pesa ya nchi inaweza kusaidia MTU kuvutiwa kwenda huko,