Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Bongo mufilisi

Bongo jehanamu

Bongo hapafai

Bongo njaa tu na udikteta uchwara.

Niaje bro? Hili suala limefikia wapi?
 
Wakuu!
Hivi Non Married Certificate kwa hapa Tanzania inatolewa na taasisi gani?
 

Tupia mfano wa links za Malta
 
Hii kampuni ni ya uhakika kabisa, nishawahi ifatilia ila sikuweka mkazo! Jumatatu nitaenda kwenye ofisi zao. Wachek na facebook pia kwenye page yao kwa jina hilohilo
 
jamani habarini humu jamvini please rejea kichwa cha habari hapo juu,please naomba ushauri kwa mwenye very good experience na hizo nchi Tajwa hapo juu kuhusu standard of living
earning
upatikanaji wa kazi
biashara ya gemstones kama diamonds and all others
kupatakana kwa mwanamke aliyetulia kwa ndoa
kupata makaratasi
and all other factors za kutafuta maisha
my regards
obadiah.m.m
 
Kafungue bank Switzerland uwe unatunza fedha zinazoibwa nchini mwako!!
 
habarini wana jamvi,samahani saana kwa usumbufu naitwa mayunga nina msc in mathematical modelling and bsc in computer science iam 26,jamaninaomba turejee kichwa cha habari naomba ushauri wa kitaalamu kwa mwenye very good experience interm of
standard of living
earning i mean part time jobs kabla sijaingia kwenye system
availabillity of employment
biashara ya gemstones ikoje kwenye nchi husika
kupata mwanamke wife materials wa kuoa ili kupata makaratasi fasta yaani mzungu
and et cetera
naombeni ushauri wenu wenye very good experience about the mentioned countries
my regards
O.M.M
 
Nitofautiane na wewe kidogo hapo, passport sio kitambulisho ni hati ya kusafiria sasa watanzania wote ni wasafiri ? Kuna kitambulisho cha taifa ndio haki kwa kila mtanzania.
Naungana na wewe ni kweli watanzania wanaojilipua kwenda nje ni wachache ukifananisha na majirani zetu yaani Kenya na Uganda ,hii inatokana na kukosa exposure ya kutosha.
Kupanuka kwa mitandao ya kijamii kama JF na mada kama hizi zinatufungua macho na kututoa usingizini.
 
Wewe utakuwa upo China, na unaona soo kusema.
 
Wewe utakuwa upo China, na unaona soo kusema.
Hata ningekuwa Nepal au Kenya, kama ningeweza kusrma nasema Kwani nini, uliye na matatizo ni wewe mwenye tafsiri hafifu kama Bashite. Kwa taarifa yako China sio ya kulinganisha na nchi yetu kwa namna yoyote, ukipata fursa ya kusoma huko ni kujivunia sio kuona aibu.
Pambana na maisha yako bongo , Mimi ngoja nisome then nalipwa mshahara Mara tatu ya mshahara wa magu nilioucha unaflow huko nyumban. Tutakutana 2020 ktk uchaguzi.
 
Usiwe mchoyo ndugu saidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…