Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo nauli ya mwanzaLaki 3
Mbinu nyepesi sana ya kufanikisha ndoto zenu coz naona wengi mnatamani kuja au kwenda Ulaya na US lakini njia mnayotumia ni ndefu ikiwamo ya ndoa za usanii siku hz wanafatilia sana na njia hii siku hz ni ngumu kwa sasa hv kwani siasa za sasa ni siasa za utengano na kufunga mipaka dhidi ya wageni
Ok njia ya kwanza ni kuingia nchi ya Malta ,Malta ndio nchi inayomkaribisha mgeni yeyote na yenye sheria nyepesi sana za uhamiaji kwa wananchi wanaotoka nchi za Commonwealth ( British colonisation)
So ukishafika Malta ukiweza kukaa ndani ya Malta ndani ya mwaka mmoja bila ya kufanya jinai huna haki ya kuomba uraia so kama utakuwa umekwenda kusoma , kufanya kazi, kutembea au kwenda kufanya kazi ya kujitolea (kazi za bila ya malipo)
Ukishapata uraia wa Malta unakuwa na uwezo wa kwenda kufanya kazi nchi yeyote ya Ulaya kwani Malta ni nchi iliyo kwenye jumuhiya ya Ulaya
So kama unabahati unaweza kupata lakini nchi nying za ulaya au nchi za dunia ya kwanza kupata kazi kwa elimu uliyosomea Africa ni ngumu sana mpaka usome kwao ndio wanakuamini
Owk kama utakuwa uko vizuri kiafya unaweza kwenda Jeshini ,nchi nyingi za ulaya zinachukua raia wa nchi za ulaya kama wanajeshi au kama umetoka nje ya jumuhiya ya ulaya ni lazima upate parmanent resident kitu ambacho ni kigumu sana kukipata kwa nyinyi mnaokuja huku kiujanja janja
Nchi zinazochukua raia wa nchi nyingine kwenye majeshi yao nitakuja na list yao muda si mrefu
lakini ni nchi ambazo zipo kwenye kundi la A list duniani zikiwamo nchi zote za Scandinavian
Ushaingia jeshini ,majeshi mengi ya Ulaya wanapaga watu ambao si raia wa nchi hyo mkataba miaka mitano mitano ndani ya hyo miaka mitano unaruhusiwa kusoma chochote utakachopenda gharama ni za jeshi so utachagua cha kusoma kama umetoka bongo na ka degree chako utasoma masters kama umetoka manyoya utatafuta cha kusoma ndani ya miaka mitano ni mingi sana na unapata faida mbili moja kulipwa mshahara ,huduma za Afya na uhakika wa kupata uraia kama utaitaji
So ukimaliza miaka mitano tu usiongeze tena mkataba ongeza tena kama umeipenda kazi ya jeshi so kama umeona ni manyoya unaiacha so unalipwa mafao yako na unakwenda kuomba uraia na unapata hata bila ya kufanya mtihani wa kuomba uraia na hii kuna nchi hawataki uraia pacha kama Germany au Norway so kama nchi hawataki uraia pacha basi unachagua mmoja ukishamaliza kupata uraia wa nchi hyo uliyoichagua ww from there unatafuta kazi kwa vyeti ulivyosomea jeshini na tena wakijua ulikuwa mwanajeshi wanakuheshimu sana kwani unaonekana umejitoa kwa nchi so unapata kazi na maisha yanaendelea ndani ya miaka 6 tu mission inakuwa imekwisha ukipita Airport ukionyesha gamba la mzungu unapita tu hupekuliwi pekuliwi kama mwenye passport ya Bongo
Kuna website ambazo watu kutoka sehemu zote za dunia wanatafuta watu wa kuja kumfanyia kazi ya kujitolea ambapo yeye atakupa chakula na sehemu ya kukaa bure kipindi chote utakachokuwa pale kwake mwaka mmoja tu ndani ya Malta bhasi
Lakini leo kunambia sijui mnapanga kuondoka kwenda nchi ambayo huna mwenyeji naona mnacheza nyinyi na mnadanganyana Ulaya na US ya sasa si kama ya zamani utaishia jela au kufa tena na balozi zenu zilivyo ngumu kwa raia wake utakoma na kujuta kuja tena mkuu wenu amesema muachwe njia nyepesi kabsa ndani ya miaka 6 tu umefanikisha mwaka mmoja Malta miaka 5 jeshini mwaka wa sita unapassport ya mzungu
Na hii ni kwa wanawake na wanaume sehemu pekee ni kufika Malta tu mwaka mmoja tatizo nililogundua Waafrica wengi akili yetu tunawaza ulaya tena zile nchi tajiri tu lakini mmeshindwa kujua dunia nzima wanawaza hvyo hvyo njia hii ya malta bado wengi awajaijua then tafuta mtu wa malta kafanye kazi ya kujitolea kwa mwaka mmoja kwanza unapata pa kukaa kula na mwenyeji lakini kwenda sehemu kwa mipango mipango mtakuwa mnadanganyana tu wanawake hasa wa Tanganyika wamekuwa wanaogapa sana kuchukua maamuzi ya kuondoka lakini nataka kuwambia tena wanawake ndio njia nyepesi sana kwani wazungu wanawaheshimu sana wanawake cha kwanza kwa heshima kwa wazungu
1 Wanawake
2 Mbwa au wanyama
3 Mwanaume
So kwa dada zangu kwa njia hii ya Jeshi ni bora sana kwao tena sana naongea hv kwa kujua ninachosem
Ningependa kuwambia ndugu zangu Watanganyika kwamba dunia ya sasa maendeleo yamehama kutoka kwenye nchi zinazoongea kingereza na kuhamia kwenye nchi ambazo haziongei kingereza kwani dunia nzima robo tatu wanajifunza au wanajua kingereza na target yao ni kwenda kukaa nchi zinazoogea kingereza sasa utakuta nchi zinazoongea kingereza zimeshajaa wahamiaji kibao lakini niwape siri kubwa kuwa nchi zisizo ongea kingereza zinaitaji sana watu kwani watu wamekuwa wakienda kwenye nchi zinazoongea kingereza
MALCOM LUMUMBA
Ingia hapa mkuu www.RITA.go.TZWakuu!
Hivi Non Married Certificate kwa hapa Tanzania inatolewa na taasisi gani?
Inategemea inaondoka na kurudi linimkuu nauli toka hapa hadi japan shiling ngap
Hii kampuni ni ya uhakika kabisa, nishawahi ifatilia ila sikuweka mkazo! Jumatatu nitaenda kwenye ofisi zao. Wachek na facebook pia kwenye page yao kwa jina hilohiloMkuu mgogoone , nimecheki website ya hao 'Competitive Manpower International' Welcome to Competitive Manpower International................... ... naona ni kampuni kubwa ya kimataifa.
Ni Recruitment Agency yenye branches kwenye nchi nne: KENYA (Headquarter), Tanzania, Uganda, na Uarabuni.
View attachment 609963
View attachment 609964
Kwa branch ya Tanzania, contacts/simu ni hizo hapo nilizoweka mabano mekundu... kwa mujibu wa website yao.
Kuhusu kazi, website inasema there is NO job openings kwa sasa !
View attachment 609971
Nitaendelea kufanya follow-ups from time to time. Cheers mkuu.
-Kaveli-
Nitofautiane na wewe kidogo hapo, passport sio kitambulisho ni hati ya kusafiria sasa watanzania wote ni wasafiri ? Kuna kitambulisho cha taifa ndio haki kwa kila mtanzania.Dada unajua ktk East Africa au Africa nzima Watanganyika ndio wamekuwa watu waoga sana kutoka nje na hii wamezeshwa toka enzi ya J.K Nyerere yani wameaminishwa Tanzania na mikoa yake ndio sehemu pekee kuishi na kutafutia maisha ndio maana mpaka leo ukiomba passport lazima huwe na sababu dah hv ni kweli passport ndio kitambulisho cha kimataifa kinachomtambulisha mtu lakini kwenu kukipata mpaka eti ueleze sababu kwa nini unakitaka
Then kila ukimuuliza mtanganyika atakwambia anataka kwenda nchi ambayo kila siku anaisikia na kuiona kwenye BBC,CNN wakati kufika huko ni lazima uwe na vigezo na nchi hzo siku hz wanafunga mipaka kwa wahamiaji leo sijui kujilipua hakuna nafasi tena ukikamatwa tu ni safari hapo hapo ulipo sasa kama utaweza ukiona gari la LAPD au NYPD au POLICE ukajificha kwa miaka yote sawa lakini siku wakikukamata tu unarudi home kwenu bila hata kubeba sindano uje nayo home kuwaonyesha
Wewe utakuwa upo China, na unaona soo kusema.[emoji3] [emoji3]
Mtu asiyejulikana.
Mtu kabla ya kuomba huwa anainterest na anakopenda kwenda.
Mimi niliomba Norway, Australia, UK, Japan na China.
Kila mtu atapambana na hali yake kama ataona hapafai
Mimi nimeona mataifa mengine wanavyotoka watz tupo 3 tu Chuo Chenyr foreigners zaid ya 360.
Haya ndugu yang
We boya niniWewe utakuwa upo China, na unaona soo kusema.
Hata ningekuwa Nepal au Kenya, kama ningeweza kusrma nasema Kwani nini, uliye na matatizo ni wewe mwenye tafsiri hafifu kama Bashite. Kwa taarifa yako China sio ya kulinganisha na nchi yetu kwa namna yoyote, ukipata fursa ya kusoma huko ni kujivunia sio kuona aibu.Wewe utakuwa upo China, na unaona soo kusema.
sanaUzi uko poa
Usiwe mchoyo ndugu saidiaHata ningekuwa Nepal au Kenya, kama ningeweza kusrma nasema Kwani nini, uliye na matatizo ni wewe mwenye tafsiri hafifu kama Bashite. Kwa taarifa yako China sio ya kulinganisha na nchi yetu kwa namna yoyote, ukipata fursa ya kusoma huko ni kujivunia sio kuona aibu.
Pambana na maisha yako bongo , Mimi ngoja nisome then nalipwa mshahara Mara tatu ya mshahara wa magu nilioucha unaflow huko nyumban. Tutakutana 2020 ktk uchaguzi.
Sijawa mchoyo ila huwezi nilazimisha kufanya nisivyotaka.Usiwe mchoyo ndugu saidia