Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu lusungo nitumie mwaliko basi na mimi nijilipue!! Shule ishaisha huku!
tatzo katika mualiko ukijilipua yeye anakuwa hatiani... yeye umuombe tu akutafutie huo mualiko uende upate job hata ya kijungu jiko... umtolee kiwingu na familia yake...
 
sema kuna shida moja tuna ambiana kuwa hizo nchi ni masikini alafu wabaguzi kinyama... hapo kuanzia georgia, spain, portugal na waitaly japo hta wajerumani nao ni wabaguzi kimtindo...

hivyo kuingia ktk nchi zao bila kuwa na mwenyeji si una weza ingia choo cha kike mzee... au kuna kona zipi zina saidia kuingia na kuepuka baadhi ya maeneo ya nchi husika... ambayo ni hatarishi
 
 
Huu uzi umenifundisha na kunipa uelewa wa mambo mengi sana na kuna watu humu kwenye thread hi wameni-inspire sana!!!!Big Up japo nmeanza progress lakini still bado nahitaji madini mingine...
 
Hizo nchi nilizotaja ni njia za kuingilia Europe mfano Viza ya Spain inakuruhusu kusafiri nchi zote za ulaya the same way na Portugal na nimezitaja hizo sababu ya urais wa kuipata hiyo Viza sababu nchi nyingine zote za western ni ngumu kupata visa ni vilevile Spain sio maskini kama unavyodhani kuna life Pale Kama ukitaka kulikita kuhusu Georgia hiyo pia ni njia ya kukwepa ugumu wa visa kuhusu kukosa mwenyeji hiyo isikutishe kuna namba za kupiga then unapata malazi bure na chakula hiyo system iko kwenye kila nchi ya ulaya
 
hayo malazi na chakula kwa muda gani mkuu...?
 
Asee hii thread imeni motivate sana...Vipi kuhusu Australia wakuu...nikitaka kuapply postgraduate degree then naweza kupata PERMANENT stay kweli?
 
hahaaaaaa
 
Mkuu vipi harakati zako ulifanikiwa?

Mkuu, inshort harakati zangu za kutafuta sponsor wa kunisomesha bachelor degree zilikwama. Dizaini nikapagawa, lakini siku-lose control of the situation. Life sucks! Na umri nao hausubiri... gadem!
Nikakata shauri... nilikimbie jiji la Dar for a moment, nijaribu kwenda kusaka riziki kwenye ardhi nyingine. Now nipo Mwanza since two weeks back... hustling from the scratch.
Nimejiattach kwa mshkaji wangu (homeboy) kwenye bizna yake ya mkaa... tunafuata mkaa interior kabisa (remote areas) kupeleka mwanza mjini.
Ni harakati ngumu sana with a lot of risks za kukamatwa by maliasili. Jamaa hana leseni, so bizna inaendeshwa kimagumashi. Ni kawaida kabisa kusafirisha usiku kucha kukwepa maliasili.
It's a week now tumeweka kambi kwenye kijiji fulani, aisee the whole village kaya zote hazina vyoo! Watu wote ni kujisaidia vichakani. Hakuna duka wala mgahawa. Hahahaa really it's a horrible & hectic life-experience but it builds me stronger!
So far, that's the latest ground kuhusu harakati zangu za kimaisha. Now nipo Mwanza for sometime, trying to carry-on the struggle in the sunny Africa!
However, ndoto yangu ya kusoma bachelor degree still remains intact... ipo siku tu things will eventually unfold na nitatimba class. Always in hope-mode. Thanks mkuu lusungo for asking. Pia nitamtafuta kiongozi wangu Lizarazu anipe ramani za rockcity.
Much respect to y'all brothers in this thread. We are soldiers of the same struggle!

-Kaveli-
 
okay safi sana nimefarijika kusikia hivyo mkuu. Mungu akutetee katika mapambano yako.
Nimecheka sana hapo kwenye vyoo hivi wasukuma mpaka leo huo utamaduni wa kubeba majembe hawajaacha?
 
Kweli kila mtu na ndoto zake kila mtu na malengo yake . Kiukweli mimi Ktk kitu kimenishinda ni kukaa mbali na Tanzania hadi kuna jamaa zangu hunishangaa.

Nimeshasafiri US walinipa Visa 1 Year nikakaa siku 5 nikarudi na sikusafiri Tena hahaha Kwa Africa nilienda South Africa Visa Free nikakaa Wiki moja nikarudi, Nimeenda UK wamenipa VISA ya 6 Months nimekaa siku 5 nikarudi, Germany etc

Mke wangu niliyemuoa ni Raia wa Ujerumani na tuna watoto wawili na wao ni Wajerumani lakini mimi katika kitu sifikirii ni kubadili Uraia wangu.

Kweli kila mtu na Malengo na Mapenzi yake.
 
Jaman mm hapo npo Tu nimelala kila nikiamka asbh na nashika passport yng mkononi nasali Mungu anitoe nchi hii am tired at the maximum hata nikisikia Kuna kaz nyuma ya nyumba ctaki kabsa coz kaz tembo mshahara sungura.plz yeyote mwnye kujua namna ya kuondoka anisaidie .nimesikia hbr za Malta cjui nianzie WP my email endrew91@hotmail.com
 
Kwenda sehemu kwa mihemuko haifai mkuu, lazima ujipange uangalie unaenda kufanya nn na ww kama utapamudu huko
 
True definition of mwanaume wa kweli pambana tuu mkuu road to destiny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…