Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Jamani Mwenye uwezo anisaidie Mimi niondoke hapa Tanzania nikaishi zangu ng'ambo na sitarudi tena maisha yangu yote. Huu ujinga wanaofanya akina Magufuli na wenzie siwez kuvumilia nitakuja kupiga mtoto Wa MTU.
USOME HUU UZI KUANZIAA MWANZO WAMEELEZEA KILA KITU
 
Kwa wale walio jaza Green card lottery Mwaka jana
2016 majibu yametoka.ingia Hapa
www.dvlottery.state.gov. Hii Tovuti inatumika ukitaka kujiandikisha.Kumbuka NIBURE,ZERO HAULIPII.
Ukiulizwa kulipia kimbia lazima uwe kwenye .GOV
Ukiwa .com Au .org usipoteze muda
mkuu hii lotetery green ku apply kwa mwaka huu ni lin tena?
 
Kaveli,Myahudi Jr ll vipi hamjaondoka tu??

[HASHTAG]#jembelamkono[/HASHTAG] bado tulianza harakati na daby pamoja nikaishia njiani kuna mambo yalijitokeza, mwenzangu akafanikiwa, nilitaka nikucheki tuyajenge kama tulivyofanya na daby tujue tunaanzia wapi,
 
wakuu kwa mim ninayetaka kwenda ujerumani ..sijajua pa kuanzia mpk sasa. Naomba kwa anayefahamu anipe muongozo
 
msiogope wala msikatishwe tamaa na wanga waliojaa humu ndani.kama una nia thabit njoo utafute maisha kwenye nchi za watu utatoka.mimi mtoto wa kike nilianza kwa trump kisha ndio nikadondoka sauz.huwez amini nimeosha kuanzia magari mpaka maiti.hakuna kazi nilioacha ikanipita kama inaingiza hela.tokeni bongo.hakuna ishu zaidi ya kupiga mizinga na kungojea ugali wa shkamoo.muda si mrefu nitahama nchi ila napenda niwasaidie wataopenda kabla sijaondoka.tokeni bongo mfunguke akili.

Nipe ramani namimi nataka kutoka bongo niende nchi yoyote ile yenye maslai
 
wakuu kwa mim ninayetaka kwenda ujerumani ..sijajua pa kuanzia mpk sasa. Naomba kwa anayefahamu anipe muongozo
soma uzi wote kisha uliza swali usipopaelewa mkuu....


kuuliza hivi utawapa watu wakati mgumu kuanza kuelezwa kila kitu
 
Yeah hicho ndo cha umuhimu... Niliona wakenya huko Sweden wanauza ndoa... Yaani milion tano ya bongo ukimlipa anakubali kufunga ndoa ya kimkakati nawewe then baada ya hapo unapita hivi.... Wengi sana wanaingia huko kwa njia hii na visa za nordic ni rahisi mno kupata.
I need this
 
Wakuu mim nahitaji kwenda hapo kenya tu kuishi kama miaka miwili na nusu hiv ni vitu gani natakiwa kuzingatia.
 
Back
Top Bottom