MrProsecutor
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 280
- 275
Ohh. KumbeUnataka ukaishi mji gani kule? Then sio lazima pass kubwa unaweza kukata zile za elfu 10
Bhana hayo mambo ulio andika ndo kikwazoBinafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,
Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.
Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao
HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
Sawa boss nashkuru sana. Hyo pia naweza ata kuitumia kwenye udereva ee kupeleka mzgo labda Congo au wapNenda uhamiaji waaambie nataka pass ndogo watakupatia bila shida hyo unaweza itumia kwa nchi za EAC na SADC
naomba kuuliza vipi wana ruhusu pombe na club yanii kama nikiamua kuanza kunywa bia saa 10 mpaka saa kumi usiku inawezekana?Apart from each and everything ukisafiri bwana unajifunza mambo mengi sana kwenye nchi za watu, nilisafiri Dubai for almost 3 months just to visit and refresh my mind, kitu nilichojifunza kule watu wanafanya kazi kama hawana akili nzuri, watu wanaenda makazini mpaka jumapili, kitu kingine tofauti na matarajio yangu Kule watu wanaishi kwa kujibana sana tofauti na nilivyofikiria kuwa watu wanakula bata sana, Dubai accommodation is very expensive unakuta chumba kimoja wanakaa watu wanne mpaka sita yani humo humo wasichana na wavulana, in short watu wanajinyima ili wa make money, kitu kingine chakula is very cheap n affordable, ukienda Dubai then ukalala na njaa nitakushangaa sana.
Upweke kama ulivyosema ndo challenge kubwa sana, unakuta sometimes unakaa unakumbuka home mpaka unatamani kulia, though kuna access ya wifi that you can do and watch kila kitu kinachoendelea ulimwenguni but still loneliness is there ,marafiki hakuna kabisa, sema ikifika wakati wa kula bata walahi unasahau kama una familiar nyumbani, Dubai is awesome, kuna na malls ya kutisha in short Dubai is the place you should be but sio kwa kuzamia, utaumbuka mchana kweupeee
Kitu kingine wale watu wana sheria kali sana aiseeh, kule hakuna wizi wa kijinga kijinga, waarabu wanapenda sana na kuheshimu dini, ikifika ijumaa tu saa sita kila kitu kinafungwa, maduka yote yanafungwa wanakimbilia msikitini
Scandinavia ni nchi zenye raha kupita zote EuropeSASA JAMANI HEBU FANYA HIVII MAAANA NAONA UZI NI MREFU NA KUSOMA HADI UMALIZE NI KAZI
KAMA UKIONA COMMENT HII pLZ REPLY (Quote) NCHI UNAYO PENDEKEZA MTU KWENDA AU MTU KUTO KWENDA ILI TUJUE NCHI GANI NI NZURI KWA MAISHA YA MTANZANIA AU MABAYA YA MTANZANIA AU NA SEHEMU AU NCHI ZENYE BATA SAFI AMBAYO MTANZANIA ANA WEZA KU ENJOY.
kwa wenye uelewa tu. mimi nimependa scandnavia
Ahahahah njoo unisalimie mie nakutumia mwaliko then gharama za viza na nauli juu yako.... ila ukija nakuhost fully.Sijui nlikuwa wapi mie,mpaka page zimekuwa nyingi sana,anyway lusungo huna rafiki mzungu uniunge nae,niende kumsalimia trump mie
Ahahahah njoo unisalimie mie nakutumia mwaliko then gharama za viza na nauli juu yako.... ila ukija nakuhost fully.
Haha kama upo kipotabo utampata ukitua tu airport ila kama tukunyema itabidi usubiri sana! [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sasa Nkija sitaki kurudi itabidi nipate danga moja fasta nipate karatasi,ili nsikuharibie wewe?nauli viza kama sh ngapi ivi?
ngoja nimalize ujenzi mbezi huko nihamishie mtoto na wazee nije,mwakani lusungo nitakutafuta ila itabidi unichangie hata 300 usd jamani remember i am your friendHaha kama upo kipotabo utampata ukitua tu airport ila kama tukunyema itabidi usubiri sana! [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nauli plus visa ni around 1000$
Ahahaha hautasubiri sana asee unafaa kwa matumizi ya binadamu. Karibu sana home sweet home CopenhagenMwenzangu maumbo yetu ya kibantu si unayajua,hiyo avatar ndivo nlivyo tumeshabihiana unaonaje nitasubiri sana au?
ngoja nimalize ujenzi mbezi huko nihamishie mtoto na wazee nije,mwakani lusungo nitakutafuta ila itabidi unichangie hata 300 usd jamani remember i am your friend
Kujua nauli ingia mtandao huu www.momondo.comJamani msaada nimepewa invitation Na shirika la dini marekani mwezi September Na barua nimepewa ya kuombea visa ila upande wa nauli nauli sjajipanga Na sijajua gharama zikoje Na usawa uliopo kwakweli nashindwa cha kuwajibu