Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Naiitaji sana hii chance ndugu yangu nisaidie kuipata hii please sana
 
Na ni demu wazuri *****
 
Yani ukiwa na masters ukiomba visa ya Canada from Europe hata kama ni mwafrika unapigwa miaka 10
 
Hv UK mnapapendea nini though sijawahi fika ila nahisi kupata work permit ni ngumu sana
 
Wabongo ni vizibo mi nina wapa michakato ilivyo na link watapambana wenyewe
 

Mkuu naomba mawasiliano yako kama hutajali
 
Hv UK mnapapendea nini though sijawahi fika ila nahisi kupata work permit ni ngumu sana
Student viza ndio mchongo wa work permit UK.

UK Wanaigeria ndio wamekata network ya papers za vyuo wana vyuo vyao vya kutakatisha ukaazi wako bila kusoma chuoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…