Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ndugu zangu Watanganyika baada ya kuja na Option number one ya Malta sasa ni Option number 2 nia ni kutaka ndugu na jamaa zetu muweze kutimiza ndoto zenu za kutafuta maisha nje ya JPM empire ambako kumeonekana kama mwiba kwa ajira za vijana na maendeleo ya hasa vijana

Baada ya Option ya Malta kuonekana ni ngumu japo sijui ugumu wake ni nini lakini si mbaya kuna Option namba 2 mpaka 3 lakini leo tunaendelea na Option number 2

OPS (Mission)
Mission hii inahusu nchi za Canada, USA, Germany , Denmark, Norway, Sweden na Malta

Kuhusu USA mm binafsi sipendelei mje US coz siasa za US dhidi ya wageni zimebadilika sana kumekuwa na siasa za utengano dhidi ya wageni

Ok tuendelee nimekuwa karibu na kufanya kazi na taasisi ktk nchi zote nilizozitaja taasisi hzo zinadeal na vijana ktk maswala ya culture exchange ambapo kila mwaka wamekuwa wakichukua vijana kwenda nchi mbalimbali duniani kwenda kujifunza tamaduni zingine na Lugha pia kubadilishana mawazo kama vijana umri wa vijana ni kuanzia miaka 18-30 vijana wa kiume na wakike sasa ni mm kuongea na taasisi hzo waanze kuleta vijana hao Tanganyika lakini utaratibu ni

1 Wanataka Host wa nchi wanayokwenda so kila kijana anapata Host wa nchi husika kwa ajili ya kumtembeza na kuwa mwenyeji wake

2 Kama unakuwa host wake atakaa kwako kwa kipindi chote ambacho ni kuanzia mwezi 1-3 so atakaa kwako si hotel au nyumba za wageni A.K.A (machinjioni)

3 Kila siku yeye atachangia dola 100 kama mchango wa chakula na malazi

4 Kumtembeza sehemu mbalimbali za ndani ya mkoa mfno DSM lakini akitaka kutoka nje ya dar gharama za wote wawili zitakuwa juu yake na gharama kama za kwenda disco na beach zitakuwa juu yake

5 kuhusu kukaa hata uwe na chumba kimoja ila yawe ni maeneo safe choo kiwe kizuri

MISSION YENYEWE
Kama ni mtoto wa kiume utakaa na mtoto wa kike kama ni wakike utakaa na wakiume lakini wenyewe hawajali.njinsia so kama utapenda kukaa na wajinsia yako pia ni sawa tu cha muhimu ni kutengeneza conection tu


ANGALIZO
Wazungu kitendo cha kulala kitanda kimoja na mtu wa jinsia tofauti kwao si tatizo kubdilisha nguo na kubaki na chupi mbele ya jinsia tofauti pia si jambo gumu kwao so hasije fanya hvyo ukaona kakuzimia au anakutega utakuwa wrong sana

Sasa bhasi kitendo cha mtu kukaa kwako miezi 2 au 3 usipo tengeneza conection naye utakuwa mpumbavu sana na kama utakuwa mjanja unaweza kuanzisha mahusiano ya kimapenzi naye kwani wengi ni vijana wa 18-25 lakini mission ni ww kutengeneza conecton kupitia huyo mgeni kwani mtaendelea kuwasiliana na yeye kukualika kwao ni vyepesi sana so nimekupa nyavu na mtumbwi kuvua samaki ni juu yako akili kumkichwa

CHANGAMOTO
Changamoto kubwa ya hii project ni usalama wa wageni kwani humu tunajuana kwa fake id so kumpa mtoto wa watu mtu ambae umjui ni swala la ujasiri na lenye kuitaji akili ya kuvukia barabara inaitaji ujitoe akili lakini ninauwezo wa kuwasiliana na hizo taasisi kwani tunafanyanazo kazi na kuheshimiana tatizo usalama wa hao wageni na hao unaowakabidhi mgeni huyo unamjua asije mchinja mtoto wa watu usiku dah

Kila mgeni na host mmoja na uhakika ni kupata wageni 20-30 kutoka nchi nilizotaja hapo juu kwa mwaka

Kumbuka wageni ni wakike na wakiume so chance ni kwa dada na wakaka wa Tanganyika

Mnaweza kuwatag member wengine wa thread hii na ambao wameonyesha nia ya kutoka na ambao wana michango yao kwenye thread hii ambao awajachangia achaneni nao



kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Naiitaji sana hii chance ndugu yangu nisaidie kuipata hii please sana
 
Njia zingine ziko rafiki kwa waajiliwa wa serikali, safari za kidini lakini lazima uwe na strong ties Tanzania na MTU yeyote anayefanyakazi kampuni kubwa kubwa hapa Tanzania zenye majina hata wale wazungu pale ubalozini wanazijuwa hawana shida wanakupa viza bila shida yoyote.

Mdogo wangu alikuwa anafanyakazi Swiss air ilikuwa akifika ubalozini anaingiza tu passport take zamu ya kuitwa na councillor ikifika kwenye interview swali lao walikuwa wanamuuliza tu unaenda kukaa muda gani?

Mara ya tatu aliondoka na demu kama mke wake hats makaratasi ya ndoa hawakuuliza na ndio ikawa kimoja mpaka Leo na ni American citizen na anatumia American passport, na amepiga Public health kule yuko mtamu sasa hivi kupita maelezo na ameshawavuta karibu vijana 7 mpaka sasa na ana health center yake analipwa na Federal government, ukifika unaanzia maisha hapo kabla hujapata kazi sehemu nyingine.

Tatizo kubwa wanaotaka viza ya Marekani wengi ni majobless au watu wasio na shughuli maalum za kueleweka na hawana hata kampuni za kuzitumia kama bonye, huu ndio ukweli.

Lakini MTU yeyote anayetoka taasisi ya kueleweka ni lazima wakupe viza.

Note: Watanzania ni wachache sana Marekani ukilinganisha na wahamiaji kutoka nchi zingine za Africa, Waethiopia wanaongoza wamejaa tele.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ni demu wazuri *****
 
Mimi nina uwezo wa kusaidia watu humu kupata US Viza lakini naogopa mwisho wa siku humu watakutangaza ni tapeli.

Mtu anayejuwa kingereza vizuri ukimwambia fomu inabidi ajaziwe hapohapo anakuhisi wewe ni tapeli hata Mimi zamani nilidhani hivyo, kumbe zile fomu zina technics zake za ujazaji.

Kwa mfano Sheghen viza kwangu ndio viza rahisi kwangu ukiwa na cash tu maana wao wanahitaji documents tu, hata Canadian viza haina shida ukiwa na cash unatengezewa karatasi zilizosimama unang'oa viza kama umesimama.

Canada inahitaji sana raslimali watu ila huwa sielewi ni kwa nini Watanzania hii fursa tumeshindwa kuitumia kikamilifu, tena zamani wajanja wote waliotaka kuingia Marekani walipitia Canada kwanza then wakaingilia na border viza kabla Osama hajaharibu utaratibu wa maisha na sept 11 yake.

Kuna Wahindi Fulani niliwachongea mchongo wa Canada waliingiza passport za familia nzima golini kwa invitation moja na wote wamepata viza. Tatizo naliona pale Toronto wabongo wengi hawajielewi.

MTU yeyote anayekutana na magumu Leo kutusua kwenda mbele mnapaswa kumlaani Osama bin Laden kwa nguvu zote, tuliowahi kwenda mamtoni kabla sept 11 haikuwa kama sasa, hata London tulikuwa tunapita na BA free kutoka Heathrow kwenda Gatwick airport bila transit viza. Maisha yalikuwa ni mazuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ukiwa na masters ukiomba visa ya Canada from Europe hata kama ni mwafrika unapigwa miaka 10
 
Nakweli schengen visum ni rahisi mno kama una maelezo yakueleweka na mshiko mnene. Ni rahisi mno kupewa visa na ni rahisi mno kunyimwa visa! Tofauti na Canada ambapo kama umekamilika ktk docs ni nadra kukunyima visa wale jamaa.

Wengine wanalia na UK visa ilhali wenzao twaenda kama kariakoo...

Ila ktk yote jambo kuu litalomfanya mtu apate visa kirahisi nje ya issue za ndoa ni kupresent ushahidi mzito kuwa una sababu za kukufanya urudi bongo.
Hv UK mnapapendea nini though sijawahi fika ila nahisi kupata work permit ni ngumu sana
 
Wengi hufanya hivyo coz wabongo hamuaminiki!! Nimesaidia watu kuja Denmark kama Au pair bila tozo yoyote but walipopata walichokitaka na nyodo zikaanza!!

Wengine husaidiwa ila akishapata visa tu hela ya watu halipi!! Sasa why usiwalipe ilhali ukijua visa ni uhakika?
Wabongo ni vizibo mi nina wapa michakato ilivyo na link watapambana wenyewe
 
Kuna nyau mmoja tulimsaidia kumpenyeza msafara wa foreign affairs kudadeki alivyopata viza niliambiwa tu mwanangu mmoja wa KLM pale airport kwamba ameliona jina la mshikaji kwenye orodha ya wasafiri walioondoka na KLM ya jana yake usiku. Alituachia manyoya na ni lawama kwa watu inaonekana umekula pesa yao na wakati lengo lako lilikuwa kusaidia tu.

Down payments ni lazima, if you don't take risk usijaribu hata chembe kufikiria mambo haya ya safari.

Mimi nafanyabiashara na watu sijawahi kuonana nao hata siku moja, natuma pesa natake risk na mambo yanakwenda vizuri tu. Ila cha msingi jiridhishe kwanza kabla ya kufanya uamuzi wowote.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu naomba mawasiliano yako kama hutajali
 
Hv UK mnapapendea nini though sijawahi fika ila nahisi kupata work permit ni ngumu sana
Student viza ndio mchongo wa work permit UK.

UK Wanaigeria ndio wamekata network ya papers za vyuo wana vyuo vyao vya kutakatisha ukaazi wako bila kusoma chuoni.
 
Back
Top Bottom