Na vip kazi zilizopo nyingi ni manual or professionals work?Plan kwanza kuingia nchi za Kusini mwa Afrika chaka lingine naloona ukitaka kuanzia maisha ni Namibia. Kuna nchi hapa Africa unaweza zitumia kama daraja tu ili kufika mamtoni
Funguka hapa fursa za Malta mbali na jeshiMbinu nyepesi sana ya kufanikisha ndoto zenu coz naona wengi mnatamani kuja au kwenda Ulaya na US lakini njia mnayotumia ni ndefu ikiwamo ya ndoa za usanii siku hz wanafatilia sana na njia hii siku hz ni ngumu kwa sasa hv kwani siasa za sasa ni siasa za utengano na kufunga mipaka dhidi ya wageni
Ok njia ya kwanza ni kuingia nchi ya Malta ,Malta ndio nchi inayomkaribisha mgeni yeyote na yenye sheria nyepesi sana za uhamiaji kwa wananchi wanaotoka nchi za Commonwealth ( British colonisation)
So ukishafika Malta ukiweza kukaa ndani ya Malta ndani ya mwaka mmoja bila ya kufanya jinai huna haki ya kuomba uraia so kama utakuwa umekwenda kusoma , kufanya kazi, kutembea au kwenda kufanya kazi ya kujitolea (kazi za bila ya malipo)
Ukishapata uraia wa Malta unakuwa na uwezo wa kwenda kufanya kazi nchi yeyote ya Ulaya kwani Malta ni nchi iliyo kwenye jumuhiya ya Ulaya
So kama unabahati unaweza kupata lakini nchi nying za ulaya au nchi za dunia ya kwanza kupata kazi kwa elimu uliyosomea Africa ni ngumu sana mpaka usome kwao ndio wanakuamini
Owk kama utakuwa uko vizuri kiafya unaweza kwenda Jeshini ,nchi nyingi za ulaya zinachukua raia wa nchi za ulaya kama wanajeshi au kama umetoka nje ya jumuhiya ya ulaya ni lazima upate parmanent resident kitu ambacho ni kigumu sana kukipata kwa nyinyi mnaokuja huku kiujanja janja
Nchi zinazochukua raia wa nchi nyingine kwenye majeshi yao nitakuja na list yao muda si mrefu
lakini ni nchi ambazo zipo kwenye kundi la A list duniani zikiwamo nchi zote za Scandinavian
Ushaingia jeshini ,majeshi mengi ya Ulaya wanapaga watu ambao si raia wa nchi hyo mkataba miaka mitano mitano ndani ya hyo miaka mitano unaruhusiwa kusoma chochote utakachopenda gharama ni za jeshi so utachagua cha kusoma kama umetoka bongo na ka degree chako utasoma masters kama umetoka manyoya utatafuta cha kusoma ndani ya miaka mitano ni mingi sana na unapata faida mbili moja kulipwa mshahara ,huduma za Afya na uhakika wa kupata uraia kama utaitaji
So ukimaliza miaka mitano tu usiongeze tena mkataba ongeza tena kama umeipenda kazi ya jeshi so kama umeona ni manyoya unaiacha so unalipwa mafao yako na unakwenda kuomba uraia na unapata hata bila ya kufanya mtihani wa kuomba uraia na hii kuna nchi hawataki uraia pacha kama Germany au Norway so kama nchi hawataki uraia pacha basi unachagua mmoja ukishamaliza kupata uraia wa nchi hyo uliyoichagua ww from there unatafuta kazi kwa vyeti ulivyosomea jeshini na tena wakijua ulikuwa mwanajeshi wanakuheshimu sana kwani unaonekana umejitoa kwa nchi so unapata kazi na maisha yanaendelea ndani ya miaka 6 tu mission inakuwa imekwisha ukipita Airport ukionyesha gamba la mzungu unapita tu hupekuliwi pekuliwi kama mwenye passport ya Bongo
Kuna website ambazo watu kutoka sehemu zote za dunia wanatafuta watu wa kuja kumfanyia kazi ya kujitolea ambapo yeye atakupa chakula na sehemu ya kukaa bure kipindi chote utakachokuwa pale kwake mwaka mmoja tu ndani ya Malta bhasi
Lakini leo kunambia sijui mnapanga kuondoka kwenda nchi ambayo huna mwenyeji naona mnacheza nyinyi na mnadanganyana Ulaya na US ya sasa si kama ya zamani utaishia jela au kufa tena na balozi zenu zilivyo ngumu kwa raia wake utakoma na kujuta kuja tena mkuu wenu amesema muachwe njia nyepesi kabsa ndani ya miaka 6 tu umefanikisha mwaka mmoja Malta miaka 5 jeshini mwaka wa sita unapassport ya mzungu
Na hii ni kwa wanawake na wanaume sehemu pekee ni kufika Malta tu mwaka mmoja tatizo nililogundua Waafrica wengi akili yetu tunawaza ulaya tena zile nchi tajiri tu lakini mmeshindwa kujua dunia nzima wanawaza hvyo hvyo njia hii ya malta bado wengi awajaijua then tafuta mtu wa malta kafanye kazi ya kujitolea kwa mwaka mmoja kwanza unapata pa kukaa kula na mwenyeji lakini kwenda sehemu kwa mipango mipango mtakuwa mnadanganyana tu wanawake hasa wa Tanganyika wamekuwa wanaogapa sana kuchukua maamuzi ya kuondoka lakini nataka kuwambia tena wanawake ndio njia nyepesi sana kwani wazungu wanawaheshimu sana wanawake cha kwanza kwa heshima kwa wazungu
1 Wanawake
2 Mbwa au wanyama
3 Mwanaume
So kwa dada zangu kwa njia hii ya Jeshi ni bora sana kwao tena sana naongea hv kwa kujua ninachosem
Ningependa kuwambia ndugu zangu Watanganyika kwamba dunia ya sasa maendeleo yamehama kutoka kwenye nchi zinazoongea kingereza na kuhamia kwenye nchi ambazo haziongei kingereza kwani dunia nzima robo tatu wanajifunza au wanajua kingereza na target yao ni kwenda kukaa nchi zinazoogea kingereza sasa utakuta nchi zinazoongea kingereza zimeshajaa wahamiaji kibao lakini niwape siri kubwa kuwa nchi zisizo ongea kingereza zinaitaji sana watu kwani watu wamekuwa wakienda kwenye nchi zinazoongea kingereza
MALCOM LUMUMBA
ingia kwenye website yao then ufate maelekezoWakuu kuna diversity green lottery 2020 zimetoka.. Ila sasa namna ya kuomba wengine ndo atujui.
Ivyo kwa anayejua namna ya kuomba anisaidie wakuu
True,wasichofahamu ni kuwa Visa consulancy/agency ni biashara iko dunia nzima,kusaidia wale wasioweza procedure na technics za kuapply na wale wasiokuwa na supporting documents za kutosha au muda.hawa Agents baadhi wanakuwa na connections balozini hivyo success rate inakuwa kubwa tafauti na ukienda mwenyewe kichwakichwa,ingawa kuna matapeli wengi kwenye hyo tasnia na watu washaliwa sana hela.Nafikiria kuanza kuitumia hii fursa na mimi nianzishe Agency hapa bongo ambayo itakuwa ni Travel agency lakini pia na kushuhulikia Visa,maana naona nawafanyia washkaji bure lakini fadhila hawana wakishapata Viza wakasepa ndo ntolee,hata vizawadi zawadi hata vipafyumu hawatumi,kazi kutamba insta tu.Haha kinachoendelea kwenye hii game wabongo wengi hawakijui. Cha ajabu hao wanaoona ubahili kulipa hao agents ndo hao hao wanaochezea Pesa bar/mtaani kutafuta heshima.
True,wasichofahamu ni kuwa Visa consulancy/agency ni biashara iko dunia nzima,kusaidia wale wasioweza procedure na technics za kuapply na wale wasiokuwa na supporting documents za kutosha au muda.hawa Agents baadhi wanakuwa na connections balozini hivyo success rate inakuwa kubwa tafauti na ukienda mwenyewe kichwakichwa,ingawa kuna matapeli wengi kwenye hyo tasnia na watu washaliwa sana hela.Nafikiria kuanza kuitumia hii fursa na mimi nianzishe Agency hapa bongo ambayo itakuwa ni Travel agency lakini pia na kushuhulikia Visa,maana naona nawafanyia washkaji bure lakini fadhila hawana wakishapata Viza wakasepa ndo ntolee,hata vizawadi zawadi hata vipafyumu hawatumi,kazi kutamba insta tu.
Binaadamu wengi shukrani hawanaKabisa mkuu mi mwenyewe nilisaidia sana watu mwishowe nikanyoosha mikono juu!
wale ambao mlikuwa mnafatilia huu uzi tangu mwanzo tupeni mrejesho mmefikia wapiKabisa mkuu mi mwenyewe nilisaidia sana watu mwishowe nikanyoosha mikono juu!
Me ninampango wakujilipua SA,vp wakuu naombeni mwongozo Wa hautua gani za kufuata kuanza safari yangu kwa njia ya basi na pindi nitakapofika kule.
Je kuna boda ngapi mpaka nafika kule?je nini chakuzingatia nifikapo boda au nikiwa safarini?Je nichange pesa hapa au mbele kwa mbele?
Me ninampango wakujilipua SA,vp wakuu naombeni mwongozo Wa hautua gani za kufuata kuanza safari yangu kwa njia ya basi na pindi nitakapofika kule.
Je kuna boda ngapi mpaka nafika kule?je nini chakuzingatia nifikapo boda au nikiwa safarini?Je nichange pesa hapa au mbele kwa mbele?
Aupair nimetafta (kwa njia ya kawaida) sana sijapata, kama unaweza kunisaidia kupata Scandinavia nitashukuru anko lusungo.Aupair ni njia rahisi mno kusecure visa ya schengen nje ya mambo ya ndoa.
Jamaa uliyemjibu hapo juu yupo Capetown kwa sasa, ana kama siku nne tokea afikeNamna ya kuanza safari yako kwenda South Africa.
Mahitaji ya safari.
1. uwe na hati ya kusafiria
2. Uwe na kadi ya manjano. hii ni muhimu saana maana kupita pale nakonde/tunduma lazima uionyeshe la sivyo watakupiga pesa.Hii wa south africa huwa hawaiulizii saana. wazambia na wazimbabwe ndiyo wasumbufu.
3. Nauli.
-Nauli ya kutoka Dar hadi Harare ni 120000 moja kwa moja. hapo utalala kwenye basi maana safari inaanza usiku wa siku ya pili.
-Nauli ya kutokaHarare hadi South africa haipo flexible maana hata private unapata muda wowote kuelekea Jozi ila tenga 120000.
-Pesa ya matumizi njiani 150000
Jumla ukiwa na laki 400000 kamili unafika J'berg vizuri tu na change inabaki...Kikubwa uwe na mtu anayekupokea. Kama hauna inamaana gharama zitaongezeka.
4.Lingine boda hasa kwa wazambia na wazimbabwe watakusumbua tuambie unaenda kufanya nini unakoelekea...sharti uwe na barua ya mwaliko au anuani ya mtu aliyepo SA. Kama hauna unaomba transist ila Wazambia wanapenda rushwa saana.
Boda inategemea na Njia unayopitia.
Ukipitia Nakonde-lusaka-harare-SA kuna Nne.hii ni Rahisi zaidi.
Ya kuzingatia
-Kwenye Boda kuna wizi kwenye kubadilisha pesa nitakushauri badilisha kwenye western za Bongo.
-Uwe na target South africa sio pazuri kwa maana unaweza kulizwa wahuni wa Afrika wote wapo Jozi.
-Unaweza kuniuliza maswali mengine zaidi.
Ni mwanzo mzuri amefanikisha kufika alipotaka afike. Haya achakarike sasa.Jamaa uliyemjibu hapo juu yupo Capetown kwa sasa, ana kama siku nne tokea afike
Hivi South Africa zaidi ya kuuza unga unaweza vipi kumake pesa?Jamaa uliyemjibu hapo juu yupo Capetown kwa sasa, ana kama siku nne tokea afike
Ni kweli South ni pakavu saana ukilinganisha na Ulaya. Panakalika zaidi kwa ishu za kibiashara.Hivi South Africa zaidi ya kuuza unga unaweza vipi kumake pesa?
Mimi nadhani South Africa tuiangalie zaidi kwa fursa za kibiashara lakini siyo kwa deiwaka otherwise Bongo uwe umepigika hasa sasa unamuuwa kutokomea mazima hapo South Africa utaenjoy sana kuliko waliopo ulaya.
Wa south nasikia wana husudu hawakawii kukupotezaHivi South Africa zaidi ya kuuza unga unaweza vipi kumake pesa?
Mimi nadhani South Africa tuiangalie zaidi kwa fursa za kibiashara lakini siyo kwa deiwaka otherwise Bongo uwe umepigika hasa sasa unamuuwa kutokomea mazima hapo South Africa utaenjoy sana kuliko waliopo ulaya.