Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Unamiliki passport!? Tuanzie hapo kwanza isije ukawa hata chato hupajui
Huu uzi wetu maalumu kwa wote ambao tungependa kwenda kubeba box nje ya Nchi.

Tupeane connections, encouragement, educations na experiences za huko nje

Kwa ambao mshafanikiwa mpo nje tunaomba experience yenu ya huko, je ni kweli kuna ahueni ya kuwa dish washer katika nchi kama Australia, Canada, German, France. Uk

tupeane tips muhimu; mmefikaje, taratibu za visa, work permit, chochote ungependa ku share ku shauri, kutoa povu tufunguke.

Thanks in advance.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu waliopo kule huwa hawafunguki kisawa sawa.....mfano kwa mtu ambaye anahtaj kuzama majuu anahtaji aanzie wap, vitu gan atahtajika kuwa navyo, gharama ya kuanzia kabla hajapata mchongo pande hzo.....kias gan ajiandae kuwa nacho....ni vitu vya msingi sana....mambo ya kuzamia now day yashapitwa na wakati...sa hv unaenda kihalali na unakichafua huko huko...una vuna mtaj mwaka mmoja baada ya hapo unageuka bongo kuja kuwekeza na maisha yanasonga
 
Waliotangulia mbona hawajarudi kuwekeza?
 
Waliotangulia mbona hawajarudi kuwekeza?
Akli zao hazipo sawa....huoni akina Kusaga, Le mutuz, Luge, akna Mo, Max walirud bongo na mambo yao yapo kishkopa....kule pa kuvuna mtaji lakn kama we ni bongo lala unabaki huko huko huku unarud ukiwa mait
 
Tatizo watu waliopo kule huwa hawafunguki kisawa sawa.....mfano kwa mtu ambaye anahtaj kuzama majuu anahtaji aanzie wap, vitu gan atahtajika kuwa navyo, gharama ya kuanzia kabla hajapata mchongo pande hzo.....kias gan ajiandae kuwa nacho....ni vitu vya msingi sana....mambo ya kuzamia now day yashapitwa na wakati...sa hv unaenda kihalali na unakichafua huko huko...una vuna mtaj mwaka mmoja baada ya hapo unageuka bongo kuja kuwekeza na maisha yanasonga
Hilo nalo tatizo wengi walioko kiwanja hawafunguki kabisa kutoa ramani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sshv kadi ya chanjo elf 20 ,tena ni life time,unapigwa sindano unapewa hapohapo hauna hta shida!

Passport,same uwe na docs tu zinazotakiwa,hata wiki humalizi!

Ila ndo imepanda kutoka 50 mpk laki 170!
Binafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,

Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.

Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao

HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Do it again!
Yaani ukiwa na docs sshv mbona faster tu!
Barua ya mwaliko sio issue,naona kazi ipo kwny vyeti vya kuzaliwa vya wazazi...mi nilitumia affirdavit ,walienda kuapa mahakamani! Hata sio ghali kihivyo,faster tu
Wangefanya hivyo.siku nyingi ningekuwa sauzi.walinipa form zao zile.zina maswali hatari.zikazichoma moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uhamiaji wa
Do it again!
Yaani ukiwa na docs sshv mbona faster tu!
Barua ya mwaliko sio issue,naona kazi ipo kwny vyeti vya kuzaliwa vya wazazi...mi nilitumia affirdavit ,walienda kuapa mahakamani! Hata sio ghali kihivyo,faster tu

Sent using Jamii Forums mobile app
uhamiaji mizinguo Sanaa.
wakikuona choka choka.ngumu kukupa passport

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo watu waliopo kule huwa hawafunguki kisawa sawa.....mfano kwa mtu ambaye anahtaj kuzama majuu anahtaji aanzie wap, vitu gan atahtajika kuwa navyo, gharama ya kuanzia kabla hajapata mchongo pande hzo.....kias gan ajiandae kuwa nacho....ni vitu vya msingi sana....mambo ya kuzamia now day yashapitwa na wakati...sa hv unaenda kihalali na unakichafua huko huko...una vuna mtaj mwaka mmoja baada ya hapo unageuka bongo kuja kuwekeza na maisha yanasonga
Tupewe nini uzi umejaa madini ya kutosha.

Anzia page ya kwanza chimba madini ukifika hii page unanondo za kutosha.
 
Wakuu nipo hapa nimekamilisha nauli ya go and return from Tz to sweeden..nataka nianze kufukuzia visa na hela ya kukaa kule kama mwezi hivi, gear yangu ni kama naenda kutalii.
nina degree ya ualimu wa sanaa tena vyuo vyetu vya uchochoroni but naona kama takataka tuu, lengo ni kwenda kubeba maboksi huko sweeden badae nipate mtaji mzito after two yrs nageuka kuwekeza home.
naombeni ushaur, kama kuna mistake yyte nimefanya mpak hapo nipo tayar kurekebishwa, kitu kngine nawaza nitafanya fanyaje ili nisisumbuliwe na maafisa wa pande hzo baada ya mwez wa kukaa kule.
ili nibebe maboksi bila bugudha naombeni ushaur wenye uzoefu....na kama kuna nchi nyingine ze best kupita sweeden naomben ushaur wadau.....Bongo pamechacha
 
Back
Top Bottom