Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Wakuu mm ntk niende UK,
Kuna barua nilipata ya kaz but muda wa kuijibu nilichelewa kwa 7bu, mbalmbal hvyo nkapoteza chance.
Nn nifanye ili niweze kwenda huko?
 
  • Thanks
Reactions: D23
Kupata visa ya shengen kama ww ni muajiriwa wa serikalin au shirika binafs Inatakiwa muajiri wako akuandikie barua ya kukutambulisha ubalozini na aeleze ofisi imekupa ruhusa ya kwenda kwa muda falni matembezi au mapunziko na Inatakiwa viwepo vielelezo vinavyoonyesha mshahara wako na mkataba wa ajira. Baada ya hapo inabidi ufanye bookin ya hotel na flight na utafute mawakala wa bima za wasafiri ufanye malipo na lazima uwe na bank statement iliyo Shiba . Ukimaliza ambatanisha doc zako zote ubalozini na uombe apointment ya visa.kama unampango wa kuzamia sweeden pitia embassy ya Italy Lakin kwa sasa tobo lipo France kwa wazamiaji nenda France embassy ukikosa visa una gundu.ukifika Paris pale kuna treni au ndege hadi sweeden ukifika sweeden kama Kuna washikaj watakubeba kwa siku chache.

Ila ukiwa sio mwajiriwa wa sehemu yeyote Kuna MA agent wanakutengenezea doc zinazokuwezesha kuingia ubalozini lazima uwe na passport, card ya bank active, gharama ya mwanzo si chini ya laki 8 ili michakato ianze ya visa, ukifanikiwa kuingia embassy na kupata visa lazima ulipie si chini ya 3m ~3.5m. Nauli ya kukufikisha France si chini ya 1.8m kwa sababu ni go and return kutoka France hadi sweeden si chin ya laki 2. Na mwisho kabisa uwe na pesa ya dharura kama dola 500 au zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hizo hela zote unashindwa kufanya kitu bongo ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanye experience na ichi ya uturuki na dennmark na upatikanaji wake wa visa na fursa za kazi
 
Pole sana, woga wako ndo umaskini wako. Wengi wamefanikiwa kupitia uzi huu na hawakuwahi toa hata senti kwangu achilia mbali kunijua.

Wewe endelea kupiga mbeta wenzako wakisonga mbele.
broo awa ndio ambao awana nia wanasikia to fuln yupo mahari fuln ila anaona kila kitu ni uongo so muhm kuchukua maamuzi sahihi siku zote kwenye mafnikio kuna kupata na kukosa uwende ikawa yes mipango ikatick hata ikiwa no usichoke kujarbu wala kukataa tamaa uzii ushasaidia watu wengi kupata njia sahihi za kufanikiwa bila kutoa pesa yoyote ile
 
Pole sana, woga wako ndo umaskini wako. Wengi wamefanikiwa kupitia uzi huu na hawakuwahi toa hata senti kwangu achilia mbali kunijua.
Wewe endelea kupiga mbeta wenzako wakisonga mbele.
Ahahaaaah...
Umepanic Kiongozi wangu...
Wala sikuwa na maana mbaya..!
Fine...
Kuna watu wamefanikiwa kupitia huu uzi, lakini nina uhakika pia kuna watu wameibiwa kupitia uzi huu pia..!
 
Muongozo wa kufika na kuishi Mayotte.
Hawa jamaa ZETU warundi wanakimbilia huko je kuna uwezekano wa kutoboa France kiurahisi kupitia mayyote.
 
Mkuu kama umri wako ndo huo na umezaliwa 1965 kwanini usiwe na busara maana we ni miongoni mwa wenye matusi makubwa na ya nguoni humu,tunaiga ni kutoka kwako?
 
Back
Top Bottom