Kupata visa ya shengen kama ww ni muajiriwa wa serikalin au shirika binafs Inatakiwa muajiri wako akuandikie barua ya kukutambulisha ubalozini na aeleze ofisi imekupa ruhusa ya kwenda kwa muda falni matembezi au mapunziko na Inatakiwa viwepo vielelezo vinavyoonyesha mshahara wako na mkataba wa ajira. Baada ya hapo inabidi ufanye bookin ya hotel na flight na utafute mawakala wa bima za wasafiri ufanye malipo na lazima uwe na bank statement iliyo Shiba . Ukimaliza ambatanisha doc zako zote ubalozini na uombe apointment ya visa.kama unampango wa kuzamia sweeden pitia embassy ya Italy Lakin kwa sasa tobo lipo France kwa wazamiaji nenda France embassy ukikosa visa una gundu.ukifika Paris pale kuna treni au ndege hadi sweeden ukifika sweeden kama Kuna washikaj watakubeba kwa siku chache.
Ila ukiwa sio mwajiriwa wa sehemu yeyote Kuna MA agent wanakutengenezea doc zinazokuwezesha kuingia ubalozini lazima uwe na passport, card ya bank active, gharama ya mwanzo si chini ya laki 8 ili michakato ianze ya visa, ukifanikiwa kuingia embassy na kupata visa lazima ulipie si chini ya 3m ~3.5m. Nauli ya kukufikisha France si chini ya 1.8m kwa sababu ni go and return kutoka France hadi sweeden si chin ya laki 2. Na mwisho kabisa uwe na pesa ya dharura kama dola 500 au zaidi..
Sent using
Jamii Forums mobile app