Wazee hebu tupeane information yaani hili life na hali ya biashara hapa Tz imenifanya niwaze kuhamisha mtaji wangu huko south ila sasa kila nikiwaza nakwenda kufanya biashara gani kichwa kinauma. Mwenye info na connections asaidie hata kwa uchache
Nafanya Logistics na poultry farming MkuuHapa bongo unafanya biashara gani?
Mbona poultry wenzako ndio wanatokea hapo kibongobongo?Nafanya Logistics na poultry farming Mkuu
Mkuu nashkuru sana kwa hints, but amini hyo poultry sasa hivi soko halieleweki. Hebu tuongee vzuri kwenye hili la kupeleka dagaa south. imekaaje na unainfo zozote labda kuhusiana na permit zinazohitajika wakati wa kuingiza mzigo south, price yao kule wanauzaje, any potential customers na info nyingine zinazoweza saidia kupata taswira ya soko. ThanksMbona poultry wenzako ndio wanatokea hapo kibongobongo?
Kwa upeo wangu mimi na ninavyoijuwa South Africa fani zako zote mbili hazina nafasi, kwa sababu kuhusu ufugaji wao hawabeep wanafuga kwelikweli na wanaexport kuku nyama.
Kwenye logistic pia naona kwa South Africa bado ni chenga kwa new comer, ingekuwa Marekani Logistcs unasavive baada ya muda fulani tu.
Tafuta connection ya kupeleka dagaa wa kigoma na wa ziwa Victoria
Mkuuuu tupo hapa ili kujifunza, wengine tunataka tuanze process za ku apply America visa hizo techniques unawez ukatu juza hapa ili tuzijueMimi nina uwezo wa kusaidia watu humu kupata US Viza lakini naogopa mwisho wa siku humu watakutangaza ni tapeli.
Mtu anayejuwa kingereza vizuri ukimwambia fomu inabidi ajaziwe hapohapo anakuhisi wewe ni tapeli hata Mimi zamani nilidhani hivyo, kumbe zile fomu zina technics zake za ujazaji.
Kwa mfano Sheghen viza kwangu ndio viza rahisi kwangu ukiwa na cash tu maana wao wanahitaji documents tu, hata Canadian viza haina shida ukiwa na cash unatengezewa karatasi zilizosimama unang'oa viza kama umesimama.
Canada inahitaji sana raslimali watu ila huwa sielewi ni kwa nini Watanzania hii fursa tumeshindwa kuitumia kikamilifu, tena zamani wajanja wote waliotaka kuingia Marekani walipitia Canada kwanza then wakaingilia na border viza kabla Osama hajaharibu utaratibu wa maisha na sept 11 yake.
Kuna Wahindi Fulani niliwachongea mchongo wa Canada waliingiza passport za familia nzima golini kwa invitation moja na wote wamepata viza. Tatizo naliona pale Toronto wabongo wengi hawajielewi.
MTU yeyote anayekutana na magumu Leo kutusua kwenda mbele mnapaswa kumlaani Osama bin Laden kwa nguvu zote, tuliowahi kwenda mamtoni kabla sept 11 haikuwa kama sasa, hata London tulikuwa tunapita na BA free kutoka Heathrow kwenda Gatwick airport bila transit viza. Maisha yalikuwa ni mazuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amakwel mtu hupewi vyote mm nina Barua ya mualiko ila sina documents za kuonyesha kua ntarudi bongo [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Mkuu, mpaka muda huu naisi kuwa sina Bahati ya kwenda Ulaya, nikamilika kila kitu tatizo Barua ya mualiko tu nashindwa kupata , mabest zangu ambao wa Ulaya kila ukimwambia anakuzungusha tu, mwisho unakata tamaa.
mkuu kama utaweza kunisaidia Naomba unifuate PM tuongee vizuri sawa.
Hawasumbui sana kuolewa na ngozi nyeusi?Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Ulifanikiwa?Sawa mkuu inshalah
Kuingia kwenye hii project ina process zipi nduguNaiitaji sana hii chance ndugu yangu nisaidie kuipata hii please sana
Uzi mzuri sana
Mohammed hajui kusoma wala kuandika
Mkuu umechoma nyara za serikali,utashikiwa na Jamhuri..Wangefanya hivyo.siku nyingi ningekuwa sauzi.walinipa form zao zile.zina maswali hatari.zikazichoma moto.