Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Vigezo ni vipi kupata hizo scholarship ...mfano mambo ya kufanya mtihani wa English,G.P.A ,experience.Mkuu, tukumbashane tu ikifika Septemba katikati nikupe Link.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vigezo ni vipi kupata hizo scholarship ...mfano mambo ya kufanya mtihani wa English,G.P.A ,experience.Mkuu, tukumbashane tu ikifika Septemba katikati nikupe Link.
Dah ..hio link mtu aisubiri hadi September kweli? Watanzania ndio mana hatuendelei hatuna utamaduni wa kusaidiana...kama link tu mtu anakuambia atakupa mwezi Fulani ..just a link..Mkuu, tukumbashane tu ikifika Septemba katikati nikupe Link.
Nafkiri Hii Itakua Ile Bahati nasibu ya marekaniDah ..hio link mtu aisubiri hadi September kweli? Watanzania ndio mana hatuendelei hatuna utamaduni wa kusaidiana...kama link tu mtu anakuambia atakupa mwezi Fulani ..just a link..
Nafkiri Hii Itakua Ile Bahati nasibu ya marekani
Aha ilo halina shaka nitafanya ivyo.Mkuu, tukumbashane tu ikifika Septemba katikati nikupe Link.
DV Lottery ni mwezi wa kumi bro!Nafkiri Hii Itakua Ile Bahati nasibu ya marekani
Ndio maana Jamaa akasema akumbushwe September ili amielekeze vizuri hiyo ndio maana yanguDV Lottery ni mwezi wa kumi bro!
Mkuu, wala hakuna hiyana kabisa. septemba ndo hiyo link inakuwa updated.Dah ..hio link mtu aisubiri hadi September kweli? Watanzania ndio mana hatuendelei hatuna utamaduni wa kusaidiana...kama link tu mtu anakuambia atakupa mwezi Fulani ..just a link..
Teh, teh, siyo kihivyo mkuu. Ni kwa roho safi kabisa bila hiyana yoyote.Nafkiri Hii Itakua Ile Bahati nasibu ya marekani
Bro fanya kutusaidia na sisi wadogo zako. Namna bora ya kufika apo mbele kupambana na hii life mkuu..Pole sana, woga wako ndo umaskini wako. Wengi wamefanikiwa kupitia uzi huu na hawakuwahi toa hata senti kwangu achilia mbali kunijua.
Wewe endelea kupiga mbeta wenzako wakisonga mbele.
Unataka kuikimbia bongo Ollachuga Oc?Bro fanya kutusaidia na sisi wadogo zako. Namna bora ya kufika apo mbele kupambana na hii life mkuu..
Eee mkuu bongo jua kali kinoma[emoji23][emoji23][emoji23]Unataka kuikimbia bongo Ollachuga Oc?
Korea kusini mpango mzima.Oooh, vizuri! Vp kuhusu Korea ya kusini
mkuu umeandika kwa hisia mpaka umenigusa aise dah kuna vitu vinatia Hasira kishenziBinafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,
Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.
Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao
HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.
Vipi mkuu ulipata DvDV Lottery ni mwezi wa kumi bro!
Bado mkuu ndo mwezi huu October nafikiri leo tarehe tatu ndo mchakato wa kuomba umefunguliwaVipi mkuu ulipata Dv
Dah nimekata passport ya USA cjui itachukua muda gani mpaka niipate ee Mungu saidia..Binafsi uzi huu nauunga mkono 100% Lakin pamoja na hayo bado kuna changamoto nyingi kufikia hatua ya kuondoka nchini, kuna mambo mengi ambayo niya msingi hasa upande wa Serikali yetu tukufu hasa upande wa Idara ya uhamiaji. Tz yetu mtu kupata the tu cheti cha kuzaliwa ambacho ni haki ya Mzawa mpaka jasho likutoke, na ikiwezekana na rushwa juu utoe. Ukienda Migiration ili kuanza mchakato wa passport utahenya vibaya,
Kupata card ya chanjo ya homa ya manjano mpaka utahenya.
Lakini pia changamoto nyingine ni mtu kupata Nauli kamili ya kukufikisha mahari unako taka kwenda.
Binafsi ninacho elewa wakirahisisha hayo mambo ya juu, naona Tanzania inaweza kubaki na wazee tu,
Sasa nchi gani hii isiyo toa ajira, Mali asili ni nyingi lakini hatujui wala hatuoni uthamani wake, Vyeo vya juu wanapeana wao kwa wao
HAKI YA MUNGU MIMI SIKU NIKIONDOKA NDO BASI TENA. BORA NIKAFIE KWA FARAO KULIKO KANANI AMBAKO SIJAWAHI FIKA.