Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Wapi naweza piga nzuri kwa ajili ya dv lottery

Mwaka huu sio ya kukosa
 
Zifuatazo ni nchi ambazo wamepigwa ban kushiriki Dv lottery 2021 inayofanyiia mwaka huu

1.Bangladesh

2.Brazil

3.Canada

4.China

5.Colombia

6.Dominican Republic

7.El Salvador

8.Guatemala

9.Haiti

10.India

11.Jamaica

12.Mexico

13.Nigeria

14.Pakistani

15.philipines

16.South Korea

17.UK

18Vietnam

Sababu ya kupigwa ban ni kuwa na watu wengi waliohamia marekani zaidi ya 50000

So hii fursa kwetu wa bongo kuapply
 
Mkuu nitoe tongotongo kidgo kuhusu hii kitu.
Zifuatazo ni nchi ambazo wamepigwa ban kushiriki Dv lottery 2021 inayofanyiia mwaka huu

1.Bangladesh

2.Brazil

3.Canada

4.China

5.Colombia

6.Dominican Republic

7.El Salvador

8.Guatemala

9.Haiti

10.India

11.Jamaica

12.Mexico

13.Nigeria

14.Pakistani

15.philipines

16.South Korea

17.UK

18Vietnam

Sababu ya kupigwa ban ni kuwa na watu wengi waliohamia marekani zaidi ya 50000

So hii fursa kwetu wa bongo kuapply
 
Kweli mkuu..inchi nzr Belgium.. Swiss... Austria... Kajilipuwe pale...miaka mitatu tu uraia..na unalipwa kama euro 800 za UKIMBIZI.. Kila mwezi kama sijakosea...Yale makaratasi yao yatakusaidia kuingia inchi nzuri zaidi kwa kigezo cha uraia....na utapata kazi...au kuishi..Nina mjomba wng yupo Greece tangia 1992..hadi Leo..hana uraia...na bado hana documents za UKIMBIZI.... kabla sijakimbia pale..nilinunuwa passport ya kufananisha ya KIFARANSA...ili niende inchi nzr zaidi..nilipofika AIRPORT..nilipoonyesha tu passport yangu nikaitiwa MTU niongee nae KIFARANSA... NIKACHEMKA....walinikamata wakaniweka ndani miezi mitatu...nilipotoka JAIL POLICE wakanambiya NENDA KANUNUWE passport NYINGINE...UJE..nikatafuta vijisent Fulani....nikakimbia bongo...ila sio ulaya yote nzr mkuu...kwanza ulaya INA lawama sana...wewe unaungaunga tu lakini kwenu VIRUNGU kila siku...na pesa huna ila unaonekana kama vile hutaki kumsaidia MTU wa Africa...NDY MAANA MTU ANAJIKALIA MIAKA YOTE...labda atapata ksho.. Arudi...
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], vipi mahabusu zao zipoje?
 
Hili bandiko lako linafurahisha na kutia moyo mno chief,hasa kwa wale kwenye mpango wa kwenda kusaka tonge abroad..!
Lakini bahati mbaya mengi uliyoandika katika bandiko hili hayana ukweli,hivyo kama msaka tonge atafuata haya uliyoyaandika bila kufanya research basi atakuwa ameumia vibaya sana..!
Ila bandiko lako linatia moyo sana,shukrani kwa hilo..!
kama amepotosha basi weka taarifa zilizo sahihi mkuu
 
[HASHTAG]#jembelamkono[/HASHTAG] bado tulianza harakati na daby pamoja nikaishia njiani kuna mambo yalijitokeza, mwenzangu akafanikiwa, nilitaka nikucheki tuyajenge kama tulivyofanya na daby tujue tunaanzia wapi,
Utashikishwa ukuta wewe
 
Habari zenu wapendwa?Bado natafuta mtu wa kunivuta Canada.najilipia kila kitu ntaka makaratasi tu basi.Natanguliza shukrani
Canada pamekuwa pagumu nako karatasi hazitoki kirahisi,kwa uzoefu wangu America pamoja karatasi kupata ni ngumu pesa ipo,canada Kodi kibao
 
Nataka niende botswana nikaanzishe biashara huko je nifaate utaratibu upi?
Je itanibidi niaandae mtaji kama wa shilingi ngapi za tanzania?
Ni mitaa ipi nitatoboa kwa jiji la gaborone na biashara ipi italipa zaidi?
Je vitu gani niandae kabla ya kwenda?
YAANI HAPA INABIDI UENDE KWANZA UKAFANYE TATHIMINI MWENYEWE NDIO UJIPANGE SASA NA SIO KUAMBIWA NA NA MTU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom