Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Pole sana, woga wako ndo umaskini wako. Wengi wamefanikiwa kupitia uzi huu na hawakuwahi toa hata senti kwangu achilia mbali kunijua.

Wewe endelea kupiga mbeta wenzako wakisonga mbele.
Bro fanya kutusaidia na sisi wadogo zako. Namna bora ya kufika apo mbele kupambana na hii life mkuu..
 
mkuu umeandika kwa hisia mpaka umenigusa aise dah kuna vitu vinatia Hasira kishenzi
 
Dah nimekata passport ya USA cjui itachukua muda gani mpaka niipate ee Mungu saidia..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…