REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Dah nimekata passport ya USA cjui itachukua muda gani mpaka niipate ee Mungu saidia..
[/QUOT
sh.ngapi??Dah nimekata passport ya USA cjui itachukua muda gani mpaka niipate ee Mungu saidia..
mkuu utashiriki??Bado mkuu ndo mwezi huu October nafikiri leo tarehe tatu ndo mchakato wa kuomba umefunguliwa
Poa mkuu mi naona nipige kidegree changu kwanza afu niwe natafuta michongo kwa nguvu zoteBado mkuu ndo mwezi huu October nafikiri leo tarehe tatu ndo mchakato wa kuomba umefunguliwa
Zifuatazo ni nchi ambazo wamepigwa ban kushiriki Dv lottery 2021 inayofanyiia mwaka huu
1.Bangladesh
2.Brazil
3.Canada
4.China
5.Colombia
6.Dominican Republic
7.El Salvador
8.Guatemala
9.Haiti
10.India
11.Jamaica
12.Mexico
13.Nigeria
14.Pakistani
15.philipines
16.South Korea
17.UK
18Vietnam
Sababu ya kupigwa ban ni kuwa na watu wengi waliohamia marekani zaidi ya 50000
So hii fursa kwetu wa bongo kuapply
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], vipi mahabusu zao zipoje?Kweli mkuu..inchi nzr Belgium.. Swiss... Austria... Kajilipuwe pale...miaka mitatu tu uraia..na unalipwa kama euro 800 za UKIMBIZI.. Kila mwezi kama sijakosea...Yale makaratasi yao yatakusaidia kuingia inchi nzuri zaidi kwa kigezo cha uraia....na utapata kazi...au kuishi..Nina mjomba wng yupo Greece tangia 1992..hadi Leo..hana uraia...na bado hana documents za UKIMBIZI.... kabla sijakimbia pale..nilinunuwa passport ya kufananisha ya KIFARANSA...ili niende inchi nzr zaidi..nilipofika AIRPORT..nilipoonyesha tu passport yangu nikaitiwa MTU niongee nae KIFARANSA... NIKACHEMKA....walinikamata wakaniweka ndani miezi mitatu...nilipotoka JAIL POLICE wakanambiya NENDA KANUNUWE passport NYINGINE...UJE..nikatafuta vijisent Fulani....nikakimbia bongo...ila sio ulaya yote nzr mkuu...kwanza ulaya INA lawama sana...wewe unaungaunga tu lakini kwenu VIRUNGU kila siku...na pesa huna ila unaonekana kama vile hutaki kumsaidia MTU wa Africa...NDY MAANA MTU ANAJIKALIA MIAKA YOTE...labda atapata ksho.. Arudi...
Habari zenu wapendwa?Bado natafuta mtu wa kunivuta Canada.najilipia kila kitu ntaka makaratasi tu basi.Natanguliza shukrani
Mkuu mimi nina shida ya passport unanisaidiaje?Usingechoma mkuu.... Ungetafuta msaada zaidi... Kama bado unahotaji passport naweza kukusaidia ukaipata.
akikujibu unitag mkuuMkuu mimi nina shida ya passport unanisaidiaje?
kama vyeti vya wazazi havipo,kuna mbadala gani?Do it again!
Yaani ukiwa na docs sshv mbona faster tu!
Barua ya mwaliko sio issue,naona kazi ipo kwny vyeti vya kuzaliwa vya wazazi...mi nilitumia affirdavit ,walienda kuapa mahakamani! Hata sio ghali kihivyo,faster tu
Sent using Jamii Forums mobile app
kama amepotosha basi weka taarifa zilizo sahihi mkuuHili bandiko lako linafurahisha na kutia moyo mno chief,hasa kwa wale kwenye mpango wa kwenda kusaka tonge abroad..!
Lakini bahati mbaya mengi uliyoandika katika bandiko hili hayana ukweli,hivyo kama msaka tonge atafuata haya uliyoyaandika bila kufanya research basi atakuwa ameumia vibaya sana..!
Ila bandiko lako linatia moyo sana,shukrani kwa hilo..!
Nicheki PM mkuuHabari zenu wapendwa?Bado natafuta mtu wa kunivuta Canada.najilipia kila kitu ntaka makaratasi tu basi.Natanguliza shukrani
Utashikishwa ukuta wewe[HASHTAG]#jembelamkono[/HASHTAG] bado tulianza harakati na daby pamoja nikaishia njiani kuna mambo yalijitokeza, mwenzangu akafanikiwa, nilitaka nikucheki tuyajenge kama tulivyofanya na daby tujue tunaanzia wapi,
Kwa nini??Utashikishwa ukuta wewe
Canada pamekuwa pagumu nako karatasi hazitoki kirahisi,kwa uzoefu wangu America pamoja karatasi kupata ni ngumu pesa ipo,canada Kodi kibaoHabari zenu wapendwa?Bado natafuta mtu wa kunivuta Canada.najilipia kila kitu ntaka makaratasi tu basi.Natanguliza shukrani
YAANI HAPA INABIDI UENDE KWANZA UKAFANYE TATHIMINI MWENYEWE NDIO UJIPANGE SASA NA SIO KUAMBIWA NA NA MTUNataka niende botswana nikaanzishe biashara huko je nifaate utaratibu upi?
Je itanibidi niaandae mtaji kama wa shilingi ngapi za tanzania?
Ni mitaa ipi nitatoboa kwa jiji la gaborone na biashara ipi italipa zaidi?
Je vitu gani niandae kabla ya kwenda?