Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

nafikiri hujanielewa swali langu,namaanisha hivi wakati huo unakwenda canada kufuatilia hizo mission utaenda kwa expenses zako mwenyewe au kutakuwa na sponsor wa kukugharamia kila kitu?

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app

Boss lazima uwe na salio kidogo kwa ajili ya hii michakato Approxi.. 10m hivi
 
Mkuu vipi, mimi nmefanikiwa kupata visa ya mwaka mmoja, toka mwezi wa Tatu nko hapa, naomba nkutafute PM, nkuulize kitu.
 
Kozi zipo kwa vyuo vingi tu ila ada zinalingana kwa Msc na Diploma

Kwa nilivofatilia sana

Canada wao wanakupa Work permit ya miaka 3 baada ya kumaliza chuo then baada ya hapo unaweza kurudi au kuomba PR
Mkuu 10mil inatosha?fresh na course gani wame ku admit
 
Kwa nini mkuu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Mkuu leo ndio nime thibitisha hili baada ya kupiga story na class mate Wangu, yupo uarabuni ana certificate tu ya biashara ya bongo ila ana fanya kazi huko , nilipo muuliza fursa za huko jibu alonipa , ata hamu ya mazungumzo ikaisha hapo hapo, ni bora mtu akae na information zake kuliko kukupa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…