Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Yote ya yote wabongo muda mwingine tunawakatisha waliopo mbele kutusaidia. Unakuta unamsaidia mtu mwisho wa siku anakuibia au anafanya mambo ya kishenzi mbele na wewe mwenyeji wake unabakia kulaumiwa . Huu ni upuuzi ni kuwaharibia wengine wanaohitaji misaada kama hiyo.

Ila wito wangu. Kwa walio mbele binadamu wanatofautiana. Kosa la mmoja lisiwe la kufanya ushindwe kusaidia kiumbe kingine chenye roho ya ubinadamu kisicho na hatia. Naamini kuna ambao wanasaidiwa na wanafanya vizuri. All in all nikuwa makini tu hasa kwenye kumjua unamsaidia ikiwezekana uwe na baadhi ya docs zake.
 
Asante mkuu!!!
 
Yote ya yote wabongo muda mwingine tunawakatisha waliopo mbele kutusaidia. Unakuta unamsaidia mtu mwisho wa siku anakuibia au anafanya mambo ya kishenzi mbele na wewe mwenyeji wake unabakia kulaumiwa . Huu ni upuuzi ni kuwaharibia wengine wanaohitaji misaada kama hiyo. <br /><br />Ila wito wangu. Kwa walio mbele binadamu wanatofautiana. Kosa la mmoja lisiwe la kufanya ushindwe kusaidia kiumbe kingine chenye roho ya ubinadamu kisicho na hatia. Naamini kuna ambao wanasaidiwa na wanafanya vizuri. All in all nikuwa makini tu hasa kwenye kumjua unamsaidia ikiwezekana uwe na baadhi ya docs zake.
 
Mkuu kwanini hizo nguvu usielekeze huko moja kwa moja? Kuna site ya kusaka wapenzi DK nitaiweka hapajaribu bahati yenu...
Ni vema kuwa na malengo ya mbali lakini Denmark wana sheria yao mpya ya uhamiaji iliyoanza kutumika tangu 2008 au 2010 nadhani, Sheria hiyo inamtaka raia wake anapoanza mahusiano ya kudumu na raia wa kigeni kama wanandoa wawe wameishi nje ya Denmark kwa kipindi cha miaka 10, Kwa mfano mtanzania ukipanga kujishikiza kwa mdanish awe wa kike au wa kiume kabla ya kuruhusiwa kuomba uraia wa Denmark kwa kigezo cha wanandoa ni lazima muwe mmeishi pamoja kwa miaka kumi iwe hapa Tanzania au nchi nyingine kabla ya kuanza kusotea uraia wa Denmark.
 
Asante sanaaa mkuu Mwenyez Mungu ukujalii maisha marefuu na yenye baraka telee najifunza mengi kupitia busara zako na upendo wako kwetu. Lazima nifike niondoke tz safarii hii naenda ku Re new passport yangu next week
 
Kwa kuongezea hapo Ni kwamba zingatieni maswala ya dini PIA.
Kwa mfano my sister alikua akiishi sweden,but wakati akitafuta shule ya msingi kwa ajiri ya dogo akabaini kwamba vyakula wavitumiavyo school kwa 90% ni haram kwa muislam na yeye binafsi ni muslim,so ikabidi aondoke na kuelekea Finland.
So zingatieni hilo pia hasa kwa wenye familia.For me USA-(Texas,DC,NY) is the best,pia UK(Birmingham,Bedford,Leicester)
 
Hyo ni sheria ya mwaka 2010 lakini sheria hyo inawabana nchi zinazoendelea au nchi maskini lakini sheria hyo aitumiki kwa watu wanaotoka Australia , NZ ,Europe yote kasoro nchi 4 ikiwamo UK na Uturuki , US na Canada sheria hii ni kubana zile ndoa zenu za ujanja ujanja ndo maana nikasema mwenye wazo la kuja kuoa ni ngumu sana zipo njia 4 tu zilizobaki kwa watu wanaoamia huku kufanikiwa kipata makaratasi moja ikiwamo hyo niliyoitoa ya Malta
 
Asante sanaaa mkuu Mwenyez Mungu ukujalii maisha marefuu na yenye baraka telee najifunza mengi kupitia busara zako na upendo wako kwetu. Lazima nifike niondoke tz safarii hii naenda ku Re new passport yangu next week
Fanya mpango haraka kwani kuanzia mwaka 2022 Bunge la Ulaya watatunga sheria mpya ya uhamiaji ambayo itakuwa ni pingu tena ya miguu na mikono dhidi wa wahamiaji hasa kutoka Africa na Asia na Middle East
 
nijuavyo denish/Sweden law ya hio ndoa, mmojawapo ndio anatakiwa kua ameishi humo si chini ya miaka 10, but ikiwa wote ni wageni hio ni rahisi mno kwakua mtahitahijika kujiandikisha kwa ajili ya ndoa tu
 
Kwanza mpaka upate RP kwa Denish si kazi ndogo pia anaweza kukupa uraia au RP ni raia wa Den kama ni wageni mmekuja mnataka kufunga ndoa hyo sawa lakini ndoa yenu haiwezi kubadili chochote juu ya ukazi wenu ndani ya Den
 
Mkuu umechanganya madesa!! Usikatishe watu tamaa haiko hivyo hata kidogo....

Sio uishi nje no.... Ukiingia leo DK ukafunga ndoa na mzawa unapata stay visa ya 2 years then unapewa tena ikifika 4 years unapata resident permit...
 
Kwanza amechanganya!! Hayo aloeleza ni tofauti... Miaka kumi ya uraia ni kama ndoa yenu mmeishi DK au kokote!! Si kwamba lazima uwe nje ya DK!!

Halafu si lazima uwaze uraia... Si tunaongelea benefits... Mfano leo mtu akienda kule akafunga ndoa na kupats long stay visa anaanza kula neema.
 
nijuavyo denish/Sweden law ya hio ndoa, mmojawapo ndio anatakiwa kua ameishi humo si chini ya miaka 10, but ikiwa wote ni wageni hio ni rahisi mno kwakua mtahitahijika kujiandikisha kwa ajili ya ndoa tu
Halafu yeye kaenda mbali kwenye uraia si tunazungumzia fursa.... Ukifunga ndoa kule ukapata ile long stay visa yao unaweza faidi mengi tuu
 
Mkuu umechanganya madesa!! Usikatishe watu tamaa haiko hivyo hata kidogo....

Sio uishi nje no.... Ukiingia leo DK ukafunga ndoa na mzawa unapata stay visa ya 2 years then unapewa tena ikifika 4 years unapata resident permit...
Mkuu sijamkatisha tamaa mtu kwa bandiko langu hapo juu,Nadhani umepitia bandiko la Mkuu izzo said pia. Kwa kauli yangu na yake fanya kautafiti kadogo tu uwasiliane na maafisa ubalozi wa Denmark hapa Dar utapata ufafanuzi mzuri zaidi.
 
Tatizo Watanganyika wanawaza Uraia lakini ukipata PR tofauti yako na raia ni sehemu moja tu ww uwezi kupiga kura tu vingine vyote ni sawa tu na faida ya uraia ni kuwa hata iweje uwezi kufukunzwa ndani ya nchi lakini PR unaweza kufukuzwa kama ukifanya makosa ambayo yapo 5 wanaweza kukufukuza

hyo ya miaka 10 ndio sheria Den ndio na Norway ndio nchi ngumu kupata uraia tena sana kuanzia mwaka 2010 wametunga sheria ngumu sana yani hata kama uliingia DEN au Norway kwa hadhi ya ukimbizi huwezi kupata uraia hata ukae miaka 100 au hata ukioa mtoto wa mfalme huwezi pata uraia

GwaB
 
Mkuu sijamkatisha tamaa mtu kwa bandiko langu hapo juu,Nadhani umepitia bandiko la Mkuu izzo said pia. Kwa kauli yangu na yake fanya kautafiti kadogo tu uwasiliane na maafisa ubalozi wa Denmark hapa Dar utapata ufafanuzi mzuri zaidi.
Niwasiliane na ubalozi wakati naenda huko kama kariakoo? Ndugu ongea kwa experience usilete nadharia.... Hayo uloyasema hayapo.
 
Kweli hata kwa vikundi vya ngoma... Izuri wa hizo nchi raia wake wana upendo na huheshimu sheria sana... Hizo nchi wakuja mnaheshimika kama wenyeji alimradi uwepo kihalali.
Hivo vikundi wanazichangamkia wanaijeria Na wakenya mfano kupitia ubalozini mfano via Belgium embassy Dar Kuna BTC uwa wanatoa scholarship though Kuna ukiritimba adui wa mbongo ni mbongo mwenzake so ukitegemea ubalozini Kuna urasimu kibao .
 
Then si wote wapendao kuukana uraia wao... Watu wanaenda saka fursa tu.... Leo sweden au DK ukipata long stay visa unakula mema ya nchi alimradi ujue lugha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…