Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Mkuu kama nakuona vile unavyopakata kiuno cha mswedish 😛😛😛😛Ni kweli mkuu wakati naingia Sweden niliingia kwa lengo la kusoma via scholarship ya shirika fulani lengo lilikuwa Ni after three years nitarudi Bongo kuendelea na mambo mengine according to their principles kumbuka by then nilikuwa nimefukuzwa Chuo na sikuwa na hili wala lile but uncle wangu alinichomeka katika hiyo chance wakati naendelea na masomo nilimpata rafiki wa kike Swedish ambaye tulijaliwa kupata mtoto then ikawa nimepewa uraia wa Sweden ila uraia wa Bongo sijaukana bado but nilichofurahi Ni kwamba Sweden Kuna watanzania wengi Sana I'm feeling like I am in Tabata.