Aventus
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 2,011
- 2,168
Akuuu!!mi thijui chochote ila nataka mpeane hapa hapa baba kwa faida ya wote.dhumun la uzi huu ni kwa ajil ya umma.pm wengine tutakosaHaya nipe Information nitaipata vipi hiyo Barua ya mwaliko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuuu!!mi thijui chochote ila nataka mpeane hapa hapa baba kwa faida ya wote.dhumun la uzi huu ni kwa ajil ya umma.pm wengine tutakosaHaya nipe Information nitaipata vipi hiyo Barua ya mwaliko?
Hahahaha, jiongeze kamanda hii bongo usipokuwa makini wafwaaaa.Mimi niliomba scholarship sasa kimbembe passport kuanzia ofisi unayofanyia kazi ukimwambia HR niandikie barua ya kupata passport mtu anahisi unaenda Ulaya kesho
Ukienda ofisi za Uhamiaji nako mbinde ila thanks Lord nilimpata rafiki akanielekeza km unataka kuipata haraka passport.
Nimeipata tena passport kubwa ya miaka kumi kilichobaki ni ku apply scholarship mpaka usiku wa manane Halmashauri kumenichosha mwenzenu.
Nimetumia mfano huo wa MSudan kwasababu kuna kijana wa kutoka Sudan ambae aliamua liwalo na liwe na akaingia ndani ya njia ya reli ya Channel Tunnel (kama sikosei) ili atembee na atokee pale Ash ambacho ni kijiji kilichopo maili tatu kutoka Dover.
Polisi walimsubiri na alitumia masaa zaidi ya 24 kuja kutoka lakini alikuwa tayari yupo ndani ya ardhi ya UK na akajisalisha akajieleza na kakubaliwa Asylum hapohapo na akaelekea kwenye nyumba za muda.
Sasa huyu alikuwa ni msudan na wanajulikana hivyo haikuwa kazi ngumu kukaa na kusikiliza kesi yake.
Ila bado mfumo wa kupokea Asylum cases upo na ukipita hapo kwenye (Asylum claim) ndiyo baadae unaingia hatua ya kupewa hadhi ya ukimbizi na baadae mkazi ya kudumu.
Hatua ngumu ni hiyo ya kujilipua yaani asylum seeking ambayo huenda ukawekwa kizuizini (detention) au ukiwa na bahati unawekwa kwenye nyumba maalum wakati kesi yako inachunguzwa, hapo unakuwa unatakiwa kuwa unakwenda kusaini kila mwezi au kila wiki kwenye kituo cha uhamiaji kilichopo karibu.
Pia kwenye hatua hii ya kujilipua unakuwa huruhusiwi kufanya kazi na unakuwa uko kama kifungoni vile.
Kuna aina mbili za kukubaliwa kesi yako yaani unakuwa unapewa ukaazi wa kudumu uitwao "humanitarian protection" kwamba kwa huruma ya wewe kupatwa na maswahibu yalokukuta basi ni uamuzi wa busara kukulinda na kukusaidia kwa muda na hiyo unaweza kupewa miaka 3 au 5 ambayo baadae inaweza kuongezwa au unaweza kurudishwa kweu kutokana na hali ya nchi ulikotoka kuwa shwari. hii mara nyingi hupewa watoto walo chini ya miaka 18.
Aina ya pili ni ile iitwayo "Refugee Status" ambayo unaweza kupewa ya muda mfupi inayoweza kuangaliwa upya au ya muda mrefu ambayo hupelekea mkimbizi kuwa raia wa nchi hiyo.
Ukikubaliwa kesi yako ndiyo unapewa hadhi ya ukimbizi au refugee status na unakuwa unaruhusiwa kufanya kazi, kwenda shule na kadhalika ili uweze kuzoea zaidi mazingira ya nchi yako mpya.
Ila kama unavyosema kesi nyingi za ukimbizi zilikuwa kati ya 2000 hadi 2008 na baaada ya hapo zimekuwa ni ngumu sana kufanikiwa khasa kama hazitokei kwenye nchi kama Eritrea, Syria, na Sudan.
Ila bado waafrika wanakwenda na kujaribu si tu Marekani bali hata katika nchi kama Canada, Uingereza, Italy, Ujerumani, Sweden, Denmark na Holland.
Ukiondoa Uingereza nchi za Italy, Ujerumani, Sweden, Holland, Denmark wao wanataka uwe tayari kujifunza lugha zao ikiwa ni moja ya masharti ya kupewa uraia kabisa.
Kweli bongo nyosoHahahaha, jiongeze kamanda hii bongo usipokuwa makini wafwaaaa.
Mm nilivyoona usumbufu umezidi nilipiga moyo konde nikaachini nikafanya kazi. Nilitengeneza offer letter ya ajira kutoka kampuni moja yakibumba ya nchini Marekani. Ile offer letter ilikuwa inatisha ukiiangakia lazima upagawe, mshahara na marupurupu ya maana sana. Nikatika zangu uhamiaji.
Nikajaza mafomu yao nikasogea dirishani, kuingalia tuu, wakashangaa, vipi, nikawaambia kuna anko yupo mbele ni baharia kanisukia dili, na nikamwambia kama una dogo wewe muandae tu mm namsaidia mbona.
Kwenye barua nimeonyesha zimebaki siku 5 kuondoka so pass inatakiwa ndani ya siku 3. Akaniambia haiwezekani. Nikamwambia nielekeze kwa bosi nimpe contacts za anko antwangie na ukumbuke anko hewa yuko USA. Haaa basi ntakusaidia. Mwanangu ndani ya siku 3 nikakamata pass.
Ilifikia mahali kutokana na usumbufu nikaamua kujichongea mihuri mwenyewe. Nikitakiwa barua ya serikali za mitaa, nazama kwa pc naprint, naigonga muhuri nakuletea. Bongo tunachoshana sana jamani.
Haya kila lenye heri mkuu, ila tu fanya kuwa kumbuka wajomba inapofika x-mass.Hapana mkuu! nikishapata citizenship ya nchi nyingine, uraia wa tz una cease automatically. Btw, napata shida kurudi ku-rew passport inapoisha ama kujaa...
Europe kumekua kugumu sana kuingia siku hizi, ninaona wadada wengi wanaopata mwaliko wa miezi sita wanaingia online dating wakifika nchi hiyo kwani ni rahisi kukutana na mhusika wakati ukiwa pale, wakishaonana dinner mbili tatu anamweleza kuwa amekuja for visiting na inabidi arudi bongo. Kama date amekolea basi atamfuata bongo na mambo yanaendelea kutoka pale.
Europe kumekua kugumu sana kuingia siku hizi, ninaona wadada wengi wanaopata mwaliko wa miezi sita wanaingia online dating wakifika nchi hiyo kwani ni rahisi kukutana na mhusika wakati ukiwa pale, wakishaonana dinner mbili tatu anamweleza kuwa amekuja for visiting na inabidi arudi bongo. Kama date amekolea basi atamfuata bongo na mambo yanaendelea kutoka pale.
We jamaa ni noma sana. Tiririka kmanda wabongo sisi roho za korosho sana. Mbongo anaweza kukata mikono ili nyoka akugonge ufilie mbali.Mchina hajawai kuwa rafiki wa kweli kwa Africa mzungu akisema promise basi ni promise kweli lakini Mchina anakwambia promise huku nyuma amekunja vidole
Nataka kukwambia mm nawajua wajerumani vizuri na marafiki zangu ni wajerumani wengi tu na nataka kukwambia Wajerumani wana akili sana kuliko hata wazungu wengine we jiulize mjerumani alichukuliwa makoloni yote vita ya kwanza vita vya pili akapigana na dunia nchi zote kubwa zilikuwa zinapigana na Mjerumani pamoja na Mjapani lakini pamoja na kupigwa lakini leo Ujerumani ndio baba wa EU Mwingereza kamkimbia EU lakini yeye anawambia yeye ataibeba EU bila ya wasiwasi bila ya msaada wa UK au US na kuonyesha hvyo tayali jamaa kupitia bunge la ulaya wamefuta Free visa kwa raia wote wa US kuingia Ulaya
Mkoloni wetu wa ukweli ni Mjerumani na hilo hata wajerumani wanalijua ila sisi ndio tumewatenga tu na kumwoma Mwingereza ndio mkoloni wetu wakati Mwingereza alipewa tu kutusimamia na kama leo Tanganyika ingekuwa chini ya Wajerumani trust me tungekuwa mbali sana kimaendeleo na tungekuwa tunafanya kazi kweli kweli Mjerumani si mvivu kama Mwingereza sheria nying lakini hakuna kitu
Mjerumani yeye ndio anabeba mzigo wote wa EU kwa sasa baada ya Ufaransa kuyumba na kukimbia kwa Mwingereza
Nilisikia ukioa au kuolewa na mtu kutoka developing countries lazima uonyeshe income ya kuanzia £25,000 kwa mwaka kabla hujamfile, hii ni kuthibitisha hatapata shida wala kutegemea social funds. Sijui kama ni ya kweli, mbona majanga.siku hizi hata hawakubali kabisa wadada chini ya 25 yrs old, au mtu asiye na elimu wa miaka chini ya 40 kuingia ulaya kwa sababu wanajua watatafuta wachumba vibabu, au vi bibi juu ya ujanja ujanja ili wapate makaratasi. na pia inakuwa ni migo kwa taifa kuanza kukuhuduma au kukusomesha, na siku hizi kazi za bila elimu hazipo siku hizi, juu ya wahamiaji ni wengi na wakimbizi ni wengi, wameongeza msharti sana jamani hadi huruma kwa wale wanajipanga sasa kuingia ulaya wanabidi wawe na sababu haswa yenye kueleweka ili wapate Visa ya kuingia.
Hahahaha. Utapata tu usiwe na wasiwasi. Hii ndio nyuzi ngumu kuliko zote. Hapa ni waelewa watupu ndio wanagusa humu. Utasaidiwa kaa mkao wakulaNisaidie nipate.
Hahahahaa...Hapo sawa baada ya kumeki akawarushia vichele vyao yeye akabaki na pesa za noti.
Akuuu!!mi thijui chochote ila nataka mpeane hapa hapa baba kwa faida ya wote.dhumun la uzi huu ni kwa ajil ya umma.pm wengine tutakosa
ni kweliNilisikia ukioa au kuolewa na mtu kutoka developing countries lazima uonyeshe income ya kuanzia £25,000 kwa mwaka kabla hujamfile, hii ni kuthibitisha hatapata shida wala kutegemea social funds. Sijui kama ni ya kweli, mbona majanga.
Mambo ya scholarship jamani mtuwekee, mm hadi naona kero, ukijipanga kuomba vyuo kama 10 duuu utazuguka kwenda kuchukua barua za reference kwa malecturer hadi ukome. Mm nilitaabika sana, kila siku nipo chuo kuomba reference letter, jamaa hawapatikani, email zao kama za maroboti hazijibiwe.Nikipata sehemu pa kujilipua, najilipua mpaka akili.. Tanzania maisha yanakua magumu kila siku, mwenye namna ya kupata scholarship aweke hapa nijaribu hizo bahati..
Binafsi nafikiri kwenda Malta tujilipueTwenzetu malta mkuu au dernmark!
Dah mkuu embu nielekeze hayo maujanja yako ili kesho morning tu nitie maguu migration coz nasafari ya kenya halafu migration wanizingua tu.Hahahaha, jiongeze kamanda hii bongo usipokuwa makini wafwaaaa.
Mm nilivyoona usumbufu umezidi nilipiga moyo konde nikaachini nikafanya kazi. Nilitengeneza offer letter ya ajira kutoka kampuni moja yakibumba ya nchini Marekani. Ile offer letter ilikuwa inatisha ukiiangakia lazima upagawe, mshahara na marupurupu ya maana sana. Nikatika zangu uhamiaji.
Nikajaza mafomu yao nikasogea dirishani, kuingalia tuu, wakashangaa, vipi, nikawaambia kuna anko yupo mbele ni baharia kanisukia dili, na nikamwambia kama una dogo wewe muandae tu mm namsaidia mbona.
Kwenye barua nimeonyesha zimebaki siku 5 kuondoka so pass inatakiwa ndani ya siku 3. Akaniambia haiwezekani. Nikamwambia nielekeze kwa bosi nimpe contacts za anko antwangie na ukumbuke anko hewa yuko USA. Haaa basi ntakusaidia. Mwanangu ndani ya siku 3 nikakamata pass.
Ilifikia mahali kutokana na usumbufu nikaamua kujichongea mihuri mwenyewe. Nikitakiwa barua ya serikali za mitaa, nazama kwa pc naprint, naigonga muhuri nakuletea. Bongo tunachoshana sana jamani.
China kuzuri kununulia simu na nguo lakini ukitaka kujilipua mmmh!uhakika wa kutoboa ni mdogo sana.Inategemeana. kuna kijana tunatoka kijiji kimoja (Ingawa niliwaacha wakiwa bado watoto wadogo) ameenda china and it seems maisha siyo mabaya. huko anamiliki saloon na business zingine. huwa tunachart kwenye hizi social media...so, inategemeana na jinsi ya kukabiliana na ugumu/risks...
Mkuu ndio njia ya Malta au?Unaingia wapi wewe....??
Binafsi pia nipo tayari...
Siku hizi polisi wanapiga simu hoteli uliyobook.
Ya moja kwa moja mkuu. ..vip unataka kuliunga auMkuu ndio njia ya Malta au?