Shyshii
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 439
- 542
Weka hapa basi hizo scholarship zao nasi tuchangamkie fursaUmetoa mawazo mujarabu ,Mimi nataka niondoke kupitia shule, kuna hii nchi inaitwa Brunei au Darusalaam, nimetumiwa scholarship zao lkn wanataka mitihani ya kiingereza nami sijafanya ila nilisoma hbr zake ni nzuri sana hata marupurupu ni mengi wkt wa masomo.
Ebu nisaidieni nchi ambazo unaweza kusoma bila kujali hivyo vyeti vyao vya kiingereza