Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Weka hapa basi hizo scholarship zao nasi tuchangamkie fursa
 
Mimi nataka kwenda Denmark. Naomba jinsi ya kuingia na fursa zilizopo huko zisizohitaji elimu.yaani nguvu kazi.
Mkuu kuna njia ya kuamsha via scout. Mwaka huu kuna Denmark National Scout Jamboree wanapokea mpaka internationals. Una hela mkuu? Pia una jamaa huko? Hii njia ni rahisi na nafuu hutatumia ma pesa mengi. Wanangu wengi wamesepa kwa njia za scout.
 
Ni mwezi wa ngapi mkuu
 
Weka hapa basi hizo scholarship zao nasi tuchangamkie fursa
Google andika Brunei Scholarship 2017/2018 utapata full data. Mitihani ya ngeli ni ya kupima fluency yako ya kiingereza. Centre zipo hata hapa bongo. Nakuencourage omba hzo skolashp za Brunei. Ni rahisi na hakuna prerequisites ngumu.
 
Jaman mimi mbona naona mambo magumu sana.ngoja kesho naenda uhamiaji ya bagamoyo.ila ujinga wao watakwambia wanataka barua ya mualiko
Na tiketi ya kwenda na kurudi hapo ndipo patamu.

Mkuu kwa ajili ya passport, are you serious?!
Inawahusu nini?
 
Mkuu kuna njia ya kuamsha via scout. Mwaka huu kuna Denmark National Scout Jamboree wanapokea mpaka internationals. Una hela mkuu? Pia una jamaa huko? Hii njia ni rahisi na nafuu hutatumia ma pesa mengi. Wanangu wengi wamesepa kwa njia za scout.
Mkuu tupe ufafanuzi mzur pesa itapatikana tu Bongo kumechosha
 
Kama nipo sahihi ni July. Ila kama waweza nipm nkupe namba ya mhusika ukamuone ofisini kwake. Mm nawinda ya kwenda Sweden.
July mbali [emoji4]. ..

Hiyo ya dollar linakera saana mkuu.
 
Kwa mfano nikiwa na tiketi.naenda Zambia.Nina passport. Wataniuliza ticket ya kwenda na kurudi?

Zambia sio tatizo ni nchi ya SADC na ukiwa Mtanzania huhitaji viza na unaruhusiwa kukaa hadi siku 30.
 
Mkuu naomba unisaidie Mimi nataka nikafanye kazi flani hivi kenya next week so kama kuna uwezekano wa hata wa letter itakuwa flesh
Tengeneza barua mwenyewe kamanda, hii bongo usiogope kabisa, kaa chini andika barua yako, tena ukiweza shuka ngeli ngumu kwelikweli hawataisoma. Ukishindwa ingia google andika sample invitation letter, utapata kila kitu. Jiongeze
 
Daa! jamaa umemuremba wewe au unataka akushike mkono ee πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜› nakutania bro usipanic
Ni kweli mkuu hata ivyo jamaa is very humble nimekuwa nikimfuatilia for long time he's very honest too.
Credit kwake.
 
Haya kila lenye heri mkuu, ila tu fanya kuwa kumbuka wajomba inapofika x-mass.
Haswaa. kila mwisho wa mwaka huwa narudi home kuwasalimia ndugu na jamaa plus mzazi wangu mmoja aliyebaki. siko mbali saana na tz lakini inshallah namshukuru Mwenyezi Mungu..
 
Haswaa. kila mwisho wa mwaka huwa narudi home kuwasalimia ndugu na jamaa plus mzazi wangu mmoja aliyebaki. siko mbali saana na tz lakini inshallah namshukuru Mwenyezi Mungu..
Ni swala jema sana mkuu kama unafanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…