Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Poa nakaribisha maswali yote si ya Malta tu nchi zote kasoro Africa na Middle East lakini kwa Israel unaweza uliza tu coz naijua vizuri sana nchi hii

hongera sana kwa unachokifanya hapa izzo!
maelezo yako ya mambo ya jeshi nafikiri ambacho hukugusia ni mambo ya umri wa kuingia may be na elimu.
asante.
 
Agent mkuu tunawapata vipi, maana issue ni kwenda process zinahitaji mtu anayejua vizuri issue hizo
Kuna mdau ali share hii, bora kwenda kupata full details at least kuwa na general concept about that place
 
Attachments

  • Malta.png
    Malta.png
    280.8 KB · Views: 97
Mkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiria
Jambo lolote la kutumia akili lina vitu 3
1 Master plan
2 Time
3 Option number 2

So ww huna vyote nilivyovitaja hapo unatakiwa kwaza ujue unakwenda nchi gani kitendo cha kunambia nchi yeyote ya Ulaya inamaana bado ujashauriana na ubongo wako juu ya kufanya njoo na detals kamili unataka kwenda wapi kama kusoma au vipi na hyo njia utakayotumia kuzamia kumbuka na ninataka kuwambia katika njia zilizokuwa zinatumiwa miaka ya 1990-2010 hazifanyi kazi tena ukizamia kijinga jinga utakwenda jela ukitoka ndege ya asubuhi tu kuja Africa utakuwa ndani yake
 
hongera sana kwa unachokifanya hapa izzo!
maelezo yako ya mambo ya jeshi nafikiri ambacho hukugusia ni mambo ya umri wa kuingia may be na elimu.
asante.
Jeshi mpaka miaka 32 kwani kwa wenzetu Jeshi si kazi ni service si kama Africa jeshi wanachukulia kama ajira So kama ni Service kwa taifa ndio maana kuna nchi ni lazima upitie jeshi ni lazima ndio maana ni mkataba wa miaka 5 then utasaini tena kama utapenda kuendelea

Pia elimu bora inapatikana jeshini mfano mm nimesoma uchumi na fedha , mambo ya intelligence na vifaa vya kijeshi na mahusiano ya kimataifa ila napendekeza kama mnataka kusoma someni programming
 
nimeipenda sana, nimejaribu kupitia profile ya hii nchi ya malta ila ningependa kujua zaidi maisha yao kwa maana ya socialization huduma za kijamii kwa wageni ukiwa kwao kama afya je lazima uwe na health insurance package?
 
Wadau mimi nipo Uganda, kuna jamaa yangu alienda Turkey 2013. Nimeongea nae kanipa no za Agent aliyempeleka. Nimeongea na Agent anadai Malta ni 8m Ugandan money. Visa na nauli kwa asylum seekers. Mwezi mmoja issue ni uaminifu km mjuavyo
Yupo serious? ???
 
Mkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiria
Mkuu umechelewa kidogo kulikuwa na Scholarship za Sweden Mwezi Dec, Kama vipi vumilia hadi Dec tena wanafungua
 
Unataka nikutumie vyeti... Au roho inakuuma, au nikwambie chuo ujue identity yangu...
Duh, mkuu yote hayo yametoka wapi aisee. Au kuuliza ni vita? sio kila kilichomo jamii forums kila mtu anajua.
 
Vipi kwa dubai na abu dhabi pana faa kutoboa kimaisha?
 
Jeshi mpaka miaka 32 kwani kwa wenzetu Jeshi si kazi ni service si kama Africa jeshi wanachukulia kama ajira So kama ni Service kwa taifa ndio maana kuna nchi ni lazima upitie jeshi ni lazima ndio maana ni mkataba wa miaka 5 then utasaini tena kama utapenda kuendelea

Pia elimu bora inapatikana jeshini mfano mm nimesoma uchumi na fedha , mambo ya intelligence na vifaa vya kijeshi na mahusiano ya kimataifa ila napendekeza kama mnataka kusoma someni programming.
Hapo kwenye umri nimekidhi kigezo hicho,issue visa.
 
Back
Top Bottom