Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu labda wewe unaweza kumwelewa DUBE maana hata mimi na kuishi kwangu kote Scandinavia nimeshindwa elewa ayasemayo.... Ndo maana nimemuuliza anaishi Sweden au anasimuliwa tuu?

Coz pale DK tulikua na raia wengi mno wa other EU countries na wanaishi na kupata fursa sawa na raia wa nchi husika sasa hiki asemacho huyo bwana namshangaa....

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]usimshangae kaka,inawezekana ameishi miaka 24 lakini akili haijafunguka maana vitu anavyoongea hata me haviniingii akilini kabisa.Nilikuwa na rafiki yangu tena muhindi(kitambo kidogo)tukawa tunafanya kazi pamoja,me nilikuwa nimetumwa kufanya kazi na agent wa kazi ya mda chache(temporary work),sasa hiyo kazi ndo nikakutana na huyo muhindi,tukaanza kupiga stori,sasa me nikafikiri hana permit maana hata French alikuwa haingei vizuri,sasa siku tukawa tunaongea anasema ana mpango wa kwenda U.K,hapo nikashituka,ikabidi nimuulize unaendaje,ndo akafunguka na kunionyesha card yake ya uraia wa ureno,sikuamini mpaka akanionyesha kabisa,nikaishika kabisa(katika akili yangu nasema huyu muhindi Ana akili sana)kumbe aliishi ureno miaka 6 na kufanya kazi,sasa nikamuuliza unasubiri nini??akaniambia anasubiri familia yake(mke na watt waje halafu ndo anaenda nao U.K.),na siyo huyo tu,nilishakuwa na rafiki pia mtaliano tulikutana kwenye manispaa ya Paris na alikuwa anafanya hapo kazi kwenye manispaa ya Paris,na akiwa na uraia wake wa Italy,alikuwa rafiki yangu sana na tulikuwa tunapiga sana stori,EU wanabebana sana na kazi nyingi hata za serikali Kama za manispaa wanaomba wenye uraia yani wenyeji au mtu yeyote mwenye uraia wa nchi nyingine ya EU,ndo mana kaka DUBE nikawa me mwenyewe simuelewi kabisa,labda wewe lusungo utakuwa umemuelewa maana ushaishi pia Scandinavia
 
Ninachokijua ukishakua raia wa nchi yoyote iliyopo EU... Unaweza ishi popote ndani ya EU na unakua na haki zote!! Ingekua hivyo asemavyo DUBE waingereza wasingeichukia EU
 
Ndugu zangu jana nilitoa list ya balozi ambazo unaweza kuomba visa ya Malta kwani nchi ya Malta ina balozi chache sana kwa nchi za Africa balozi zipo Africa ya kaskazini so wanachofanya kuna balozi ambazo unaweza kuomba visa ya Malta kwa Tanzania ni balozi ya Italy ndio unaweza pata visa ya Malta njia ya kwenda Malta ni tatu kusoma,kutalii,kutembea hii inahusisha kufanya kazi kwa kujitolea ambapo yule unayefikia kwake anakutumia barua ya mwaliko

Kama unakwenda kwa ajili ya kufanya kazi ya kujitolea mara nying ni kazi za mikono ambazo unatakiwa kuwa unazijua ni
1 ufundi wa mbao au saidia fundi
2 kuchunga na kuangalia wanyama {mifugo}
3 kupika hii ni kwa wanawake
4 kutunza watoto hii ni kwa wanawake
5 kutunza bustani hii ni kwa wote

Napendekeza kama kazi ya kujitolea ukafanye kijijini au kwenye miji midogo faida yake ni
1Kwanza utajua Lugha zaid ya moja yani lugha ya wenyeji
2 unakuwa unaply low profile{kwani watu ni wachache na wengi ni wazee ambao mala nying hawana mpango na mtu}
3 Ni vyepesi kupata mdhamini wa kukuombea uraia endapo utakaa mwaka mmoja
4 Wengi kule ni wazee so mzee siku zote wanaaminika sana kwa serikali na taasisi zake so kama akikuombea uraia process zako zitakuwa fupi tofauti na akikuombea kijana

Vijiji na miji ya Valletta,Mdina, Zabbar,Cospciua na st paul"s bay

Wale wakina John kisomo kule scholarship nyingi ni kwa level ya masters na PhD ambazo nying ni za serikali BT ninazo scholarship za Sweden,Canada,Denmark , Australia ,Austria ,Germany , Finland, NZ lakini nying ni Masters na PhD lakini mission yetu ni Malta so tunajikita kwenye Malta

Note ; ni uhakika kama ukifanikiwa kukaa ndani ya MALTA mwaka mmoja kupata uraia ni vyepesi na ukifata process zote utafanikiwa lakini pia Mungu ni wa kumuomba kwa kila jambo pia

Kama utafanikiwa nchi za kwenda kwa ulaya ni za Scandinavian country na Ujerumani,Canada, USA kwa sasa hakuna free visa kwa nchi za ulaya mpaka pale watakavyobalisha Luxembourg nchi ambazo usiende kwani ni kimeo ni Italy,Spain, Ufaransa kwani kazi hakuna na maisha ni magumu UK wamejitoa EU so sidhani kama kuna free visa

kuhusu jeshi nilishazungumzia labda kama kuna swali naweza ulizwa

Kumbuka jeshi la wenzetu mafunzo si magumu sana kama huku kwetu najua wengi wanaweza ogopa kutokana na mafuzo huku ni kukomoana kule ni kufundishana majeshi ya wenzetu wamewekeza kwenye technology si katika nguvu za mwili mambo ya kuvunja matofali au kuvuta gari kwa meno hakuna labda uwe kwenye vikosi maalumu kama special force na commando wenzetu siku hizi ni kubonyeza botton tu vinatoka vitu mpaka sijui mkutane mpigane mieleka siku hz hakuna room hiyo siku hiz zinatumwa spy UAV{Unmanned aerial vehicle} inapiga picha jion pilot mmoja au wawili wanachukua chombo aidha fighter jet au bomber ambazo hazionekani kwenye rada na kwenda kudrop madude then baada ya masa 6 au 10 wamerudi huku uko walipo kwenda wakiacha vilio tu na kazi ya ambulance kwa ajili ya kubeba majeruhi au maiti na fire kwa ajili ya kuzima moto

Pia kwa wenzetu jeshi ndipo vitu bora vinapatikana kuanzia elimu bora na huduma bora za afya kwani viongozi wote wa serikali wakiumwa utaskia wamepelekwa kwenye hospital za kijeshi wanasema kitu chochote bora duniani kinapatikana jeshini kwa wale wanaotaka kuomba kazi moja kwa moja unaweza pita hapa www.maltajobport.com

mwenye swali aulize bt no pm kwani sito jibu msg ya mtu yeyote

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
https://www.google.com/url?sa=t&rct...sg=AFQjCNH9Pvbb83aZc4r_XxpdH36SWqh9aA&cad=rja
Naomba link za scholarship ambazo hazihitaji hiyo mitihani ya kiingereza. Nina documents tyr
 
Waungwana msisahau pia kuchungulia hii link hapa chini. Fuateni maelekezo kwa makini na kuangalia tarehe husika. Kwa kuwa gharama za kutuma maombi si kubwa jitahidi kutuma maombi mengi kadri muwezavyo ili kuongeza probability ya kuchaguliwa. Kila la heri na baraka katika maombi yenye.

Electronic Diversity Visa Lottery
ishu ya kutuma maombi mengi walisharekebisha.ukuapply more than once system inadetect hivyo unakuwa disqualified.......njia nzuri ni kutumia familia nzima lets say una mwambia mzee,mama sisters,brothers,waaply,akipata mmoja huyo huyo ndo atawavuta wenzake as a family
 
Kwa wale mpo uko ughaibuni sisi tuliopo bongo tungependa kujua kuhusu fursa za mbegu bora za mazao ambazo Ni hybrid zinapatikana vp, iyo ndo michongo mingine ya kuleta, mnapokua kwenye misele jaribuni kuchungulia fursa za kilimo bongo hali ya mbegu imekua sio kabisa,​
 
Izzo anamfanyia utafiti ngoja tusubiri feedback. Alimpeleka jamaa yangu nje 2013 na ndio shughuri zake. Ila unajua ya dunia bro
Nimefanya utafiti ni kwamba huyu jamaa ndio alikuwa ni Agent lakin mtu wa mwisho kumpeleka ilikuwa mwaka 2015 na aliyempeleka anaitwa Hassan Baswale ambae alimfanyia mpango wa kwenda Spain bt jamaa hakufanikiwa kuingia alirudishwa airport palepale so toka mwaka huo jamaa ajapeleka mtu tena na leseni yake inaonyesha ameshapeleka watu 136 ni watu 56 tu ndo walifanikiwa kuingia wengi walirudishwa aidha airport au walikamatwa na kurudishwa na jamaa anamtandao Uturuki si nchi za ulaya sana na kumbuka Uturuki si mwanachama wa EU lakini pia kuna ukaribu sana na huyu jamaa na mtu aliyeanzisha thread hapa ambae anatumia id hizi

Britanicca ,DR RWEYENDERA, Katelelo so uamuzi ni wako Good luck kwa ushaidi au kujua kama ninachokisema ninauhakika nacho ukitaka ninaweza kukupatia kama utaiji coz siwez kuweka hapa jukwaani
 
Britanicca ,DR RWEYENDERA, Katelelo so uamuzi ni wako Good luck kwa ushaidi au kujua kama ninachokisema ninauhakika nacho ukitaka ninaweza kukupatika kama utaiji coz siwez kuweka hapa jukwaani
Mkuu asante saana. Kama hiyo ndiyo historia yake na anaukaribu na Britanicca basi hafai.
 
Nimefanya utafiti ni kwamba huyu jamaa ndio alikuwa ni Agent lakin mtu wa mwisho kumpeleka ilikuwa mwaka 2015 na aliyempeleka anaitwa Hassan Baswale ambae alimfanyia mpango wa kwenda Spain bt jamaa hakufanikiwa kuingia alirudishwa airport palepale so toka mwaka huo jamaa ajapeleka mtu tena na leseni yake inaonyesha ameshapeleka watu 136 ni watu 56 tu ndo walifanikiwa kuingia wengi walirudishwa aidha airport au walikamatwa na kurudishwa na jamaa anamtandao Uturuki si nchi za ulaya sana na kumbuka Uturuki si mwanachama wa EU lakini pia kuna ukaribu sana na huyu jamaa na mtu aliyeanzisha thread hapa ambae anatumia id hizi

Britanicca ,DR RWEYENDERA, Katelelo so uamuzi ni wako Good luck kwa ushaidi au kujua kama ninachokisema ninauhakika nacho ukitaka ninaweza kukupatia kama utaiji coz siwez kuweka hapa jukwaani
Kuna huyu jamaa naye ni mbogo yupo Dar anadai ni agents wa Canada na ulaya. Garama zake visa ya Canada ni 2500usd na ulaya ni 2000 usd.
 
Kuna Agent aina tatu
1 Agent wa visa
yani yeye ndo atakushugulikia visa mpaka unapata kwani kwa wenzetu swala la visa ndio linaingiza kipato kikubwa sana ubalozini kwani ktk nchi ambazo ni A list kati ya watu kumi wanaoomba visa ni wa nne tu ndo wanafanikiwa kupata na visa unalipia so ukikosa na fedha imekwenda

2 Kuna Agent wa kazi
Huyu mara nying lazima anakuwa na leseni so cha kwanza ni lazima akuonyeshe leseni yake huyu anakuwa anakusanya watu wa kuwapeleka wakafanye kazi ambazo mara nying ni kazi za mikono kazi ambazo aliyekwenda shule au ambaye ajaenda shule wote wanaweza zifanya

3 Agent wa kukutafutia Host
huyu atakuonganisha na mtu ambae yuko ndani ya ile nchi unayotaka kwenda then utatumiwa barua ya mwaliko kwa ajili ya visa na mala nying ukifika kule yule host atakuifadhi miezi 2 tu wakati ww unatafuta mishe mishe so baada ya miezi 2 atakwenda police kureport kuwa umetoroka kwake na ajuhi ulipo so ni kazi ya police kukutafuta na yeye anakuwa ameshajitoa juu yako

So huyo agent unayemzungumzia ni yupi kati ya hapo?
 
Nimefanya utafiti ni kwamba huyu jamaa ndio alikuwa ni Agent lakin mtu wa mwisho kumpeleka ilikuwa mwaka 2015 na aliyempeleka anaitwa Hassan Baswale ambae alimfanyia mpango wa kwenda Spain bt jamaa hakufanikiwa kuingia alirudishwa airport palepale so toka mwaka huo jamaa ajapeleka mtu tena na leseni yake inaonyesha ameshapeleka watu 136 ni watu 56 tu ndo walifanikiwa kuingia wengi walirudishwa aidha airport au walikamatwa na kurudishwa na jamaa anamtandao Uturuki si nchi za ulaya sana na kumbuka Uturuki si mwanachama wa EU lakini pia kuna ukaribu sana na huyu jamaa na mtu aliyeanzisha thread hapa ambae anatumia id hizi

Britanicca ,DR RWEYENDERA, Katelelo so uamuzi ni wako Good luck kwa ushaidi au kujua kama ninachokisema ninauhakika nacho ukitaka ninaweza kukupatia kama utaiji coz siwez kuweka hapa jukwaani
duh kama ana ukaribu na Britannica basi hafai huyo.
 
Huyo mkuu ni agent wa visa pamoja na host. Anakutafutia visa then anakulink na mtu aliyepo nchi husika. ...sijafika ofisini kwake lkn
 
Asante sana bro
 
Huyo mkuu ni agent wa visa pamoja na host. Anakutafutia visa then anakulink na mtu aliyepo nchi husika. ...sijafika ofisini kwake lkn
Owk fika ofisini kwake then hakikisha unauliza maswali yote hata lile swali ambalo kabla ujauliza ubongo wako unakwambia mbona hili ni swali.la kipumbavu au lakijinga ww usisikilize ubongo wako uliza tu so majibu yakatayo toka kwa maswali yako uliyouliza kama umeliza maswali 10 na majibu yatakuwa 10 So inatakiwa majibu yatakayokuridhisha ndio yawe mengi kuliko ambayo hayajakuridhisha ratio ni 6/10

Kama majibu kuanzia 6 kati ya kumi yamekuridhisha nenda

Kama majibu kuanzia 5 kati ya 10 hayajakuridhisha usiende
 
Poa poa
 
Kuna Agent aina tatu
1 Agent wa visa
yani yeye ndo atakushugulikia visa mpaka unapata kwani kwa wenzetu swala la visa ndio linaingiza kipato kikubwa sana ubalozini kwani ktk nchi ambazo ni A list kati ya watu kumi wanaoomba visa ni wa nne tu ndo wanafanikiwa kupata na visa unalipia so ukikosa na fedha imekwenda

2 Kuna Agent wa kazi
Huyu mara nying lazima anakuwa na leseni so cha kwanza ni lazima akuonyeshe leseni yake huyu anakuwa anakusanya watu wa kuwapeleka wakafanye kazi ambazo mara nying ni kazi za mikono kazi ambazo aliyekwenda shule au ambaye ajaenda shule wote wanaweza zifanya

3 Agent wa kukutafutia Host
huyu atakuonganisha na mtu ambae yuko ndani ya ile nchi unayotaka kwenda then utatumiwa barua ya mwaliko kwa ajili ya visa na mala nying ukifika kule yule host atakuifadhi miezi 2 tu wakati ww unatafuta mishe mishe so baada ya miezi 2 atakwenda police kureport kuwa umetoroka kwake na ajuhi ulipo so ni kazi ya police kukutafuta na yeye anakuwa ameshajitoa juu yako

So huyo agent unayemzungumzia ni yupi kati ya hapo?
Bro sasa km Huyo agent Wa Host akisha report ukakamatwa sio shida? Pili hao Agents Wa kazi za mkono wanapatikana Tanzania? na Tatu km kuna Agent unamfahamu kwann hutuunganishi nae bro. Mwisho kuhusu Huyo Agent Wa Uganda umewezaje jua yote hayo mkuu
 
Yah Host ni mbaya sana kama utakuwa ujafanikiwa kabla ya miezi 2 so utabaki kukimbizana na Police ukikamatwa kwaza ni jela ukitoka tu ndege ya kwaza kuja Africa na ww utakuwapo ndani yake Str8 kwa JPM empire

Kuhusu nimejuaje sidhani kama hapa naweza kwambia ila nimekwambia kama unataka utaniambia then nitakutumia

Kuhusu Agent wa kazi za mikono Tanganyika hakuna wapo wa Visa tu kwani ni ukweli usiofichika katika watu 10 waliokuwa na ndoto za kwenda nje kufanya kazi kwa Tanganyika ni 1 au 2 tu lakini toka Mr JPM kuingia na ajira kuwa ni swala la kufikirika ndio mwamko wa watu kukimbia Tanganyika umekuwa ni mkubwa ni juzi tu walikuwa wanaoitwa wabeba box walikuwa wanaonekana vibwengo na kukashifiwa sana lakini leo wao ndio wanaonekana kama wameteka kijiji

Kuhusu Agent msaada wangu unaishia pale niliposema kuwa mm nitakushauri bt siwezi kuingia in 4 Kwenye jambo hili am sorry 4 that dude
 
Back
Top Bottom