Poa nakaribisha maswali yote si ya Malta tu nchi zote kasoro Africa na Middle East lakini kwa Israel unaweza uliza tu coz naijua vizuri sana nchi hii
Kuna mdau ali share hii, bora kwenda kupata full details at least kuwa na general concept about that placeAgent mkuu tunawapata vipi, maana issue ni kwenda process zinahitaji mtu anayejua vizuri issue hizo
Jambo lolote la kutumia akili lina vitu 3Mkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiria
Bachelor degree, natafuta scholarship ya Masters.Una level gani ya elimu ?
Jeshi mpaka miaka 32 kwani kwa wenzetu Jeshi si kazi ni service si kama Africa jeshi wanachukulia kama ajira So kama ni Service kwa taifa ndio maana kuna nchi ni lazima upitie jeshi ni lazima ndio maana ni mkataba wa miaka 5 then utasaini tena kama utapenda kuendeleahongera sana kwa unachokifanya hapa izzo!
maelezo yako ya mambo ya jeshi nafikiri ambacho hukugusia ni mambo ya umri wa kuingia may be na elimu.
asante.
nimeipenda sana, nimejaribu kupitia profile ya hii nchi ya malta ila ningependa kujua zaidi maisha yao kwa maana ya socialization huduma za kijamii kwa wageni ukiwa kwao kama afya je lazima uwe na health insurance package?Jeshi mpaka miaka 32 kwani kwa wenzetu Jeshi si kazi ni service si kama Africa jeshi wanachukulia kama ajira So kama ni Service kwa taifa ndio maana kuna nchi ni lazima upitie jeshi ni lazima ndio maana ni mkataba wa miaka 5 then utasaini tena kama utapenda kuendelea
Pia elimu bora inapatikana jeshini mfano mm nimesoma uchumi na fedha , mambo ya intelligence na vifaa vya kijeshi na mahusiano ya kimataifa ila napendekeza kama mnataka kusoma someni programming
Yupo serious? ???Wadau mimi nipo Uganda, kuna jamaa yangu alienda Turkey 2013. Nimeongea nae kanipa no za Agent aliyempeleka. Nimeongea na Agent anadai Malta ni 8m Ugandan money. Visa na nauli kwa asylum seekers. Mwezi mmoja issue ni uaminifu km mjuavyo
Mrejesho wako ni muhimu kwangu saaana.Nitakupa mrejesho kesho asubuhi
Izzo anamfanyia utafiti ngoja tusubiri feedback. Alimpeleka jamaa yangu nje 2013 na ndio shughuri zake. Ila unajua ya dunia broYupo serious? ???
Unataka nikutumie vyeti... Au roho inakuuma, au nikwambie chuo ujue identity yangu...kumbe public health ina degree!!!!!!
Mkuu umechelewa kidogo kulikuwa na Scholarship za Sweden Mwezi Dec, Kama vipi vumilia hadi Dec tena wanafunguaMkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiria
Duh, mkuu yote hayo yametoka wapi aisee. Au kuuliza ni vita? sio kila kilichomo jamii forums kila mtu anajua.Unataka nikutumie vyeti... Au roho inakuuma, au nikwambie chuo ujue identity yangu...
Ahsante sana, zinaitwaje hizo scholarship, utakua umenisaidia sanaMkuu umechelewa kidogo kulikuwa na Scholarship za Sweden Mwezi Dec, Kama vipi vumilia hadi Dec tena wanafungua
Ndugu unatakiwa ujifunze mbinu za kuuliza maswali, kuna kebehi na swali, ya kwako ilikua kebehiDuh, mkuu yote hayo yametoka wapi aisee. Au kuuliza ni vita? sio kila kilichomo jamii forums kila mtu anajua.
Swedish institute study scholarship.Swedish Institute Study Scholarships Link hii hapo waweza soma mwenyewe na course za public health zipo. Ila hii ni kwa level ya Masters peke yakeAhsante sana, zinaitwaje hizo scholarship, utakua umenisaidia sana
UbarikiweSwedish institute study scholarship.Swedish Institute Study Scholarships Link hii hapo waweza soma mwenyewe na course za public health zipo. Ila hii ni kwa level ya Masters peke yake
sawa mkuu, one loveNdugu unatakiwa ujifunze mbinu za kuuliza maswali, kuna kebehi na swali, ya kwako ilikua kebehi
Kuna fursa gani huko?Vipi kwa dubai na abu dhabi pana faa kutoboa kimaisha?
Jeshi mpaka miaka 32 kwani kwa wenzetu Jeshi si kazi ni service si kama Africa jeshi wanachukulia kama ajira So kama ni Service kwa taifa ndio maana kuna nchi ni lazima upitie jeshi ni lazima ndio maana ni mkataba wa miaka 5 then utasaini tena kama utapenda kuendelea
Pia elimu bora inapatikana jeshini mfano mm nimesoma uchumi na fedha , mambo ya intelligence na vifaa vya kijeshi na mahusiano ya kimataifa ila napendekeza kama mnataka kusoma someni programming.
Hapo kwenye umri nimekidhi kigezo hicho,issue visa.