Kesho nitaenda ofisini kwake nitaleta feedbackYupo wapi(anapatikana wapi) ili tumuibukie ofisini kwake au km vipi tuwekee contacts zake.
Weka contact zake na km kuna mtu anamjua vizuri amuelezee km alivyofanya izzo ili watu wasije kutapeliwa.
Nikisema nina ndugu yangu anafanya kazi qatar naenda kumtembelea hawawez nipa passport?Mkuu kupata passport sio kazi kihivyo. Mimi niliwaambia naenda kuwatafuta watoto wa bro wangu hapo nchi jirani kwa M7 wakaniambia kalete living certificates za secondary ili wahakiki background yangu na yale niliyoojiwa na kujaza ktk form. Niliwapatia hizo doc kisha wakanihoji kidogo nikapata pass yangu ndani ya siku chache just 3 - 5 days. Sikutoa rushwa wala nini. Kutoa rushwa ni mapenzi yako tu na mazoea mabaya.
Israel huwa wanatimua wahamiaji haramu wote, sio sehemu ya kujilipua hata kidogo. Soma hapa chini kidogo.Hivi Israeli hii nchi inafaa kujilipua kweli??nafanya kazi za hotel kitambo.mwaka jana na mwaka huu tumepata wageni wengi wa ki israel.
1:ni wasumbufu sana kama warabu wa oman na wana force vitu hata kama vipo nje ya uwezo wetu
2:wanaonekana wana ubaguzi wa hali ya juu.
3:wanabaguana na mataifa mengine.
Kifupi wanatisha kwa tabia zao kwenye nchi zetu sasa sijui huko kwao itakuaje?
Mkuu naomba utuelezee unawafaham vipi kwa kifupi
Safari za kwenda Israel kila mwaka ninakwenda kwani kule yupo shemeji yangu ambae ni Myahudi na anakaa Tel aviv Dizengoff street so nimekaa Israel na nawajua vizuri sana na ndo maana mada zote zinazohusu Israel lazima utakutana na chapisho langu na ninaongea vitu ninavyovijua si kwa mapenzi ya kidini au mapenzi binafsiHivi Israeli hii nchi inafaa kujilipua kweli??nafanya kazi za hotel kitambo.mwaka jana na mwaka huu tumepata wageni wengi wa ki israel.
1:ni wasumbufu sana kama warabu wa oman na wana force vitu hata kama vipo nje ya uwezo wetu
2:wanaonekana wana ubaguzi wa hali ya juu.
3:wanabaguana na mataifa mengine.
Kifupi wanatisha kwa tabia zao kwenye nchi zetu sasa sijui huko kwao itakuaje?
Mkuu naomba utuelezee unawafaham vipi kwa kifupi
mkuu nimeona hiyo wanafanya sana hapa SA bt sikujua kama na Tz inawezekana. Me ninaplan ya kurudi bongo mwezi wa Sita cz Work permit yangu imeisha na sina mpango wa kurenew kutokana na hali ilivyo kwa sasa. Nahisi kumbe naweza nikafanya hiyo program bongoNdugu zangu Watanganyika baada ya kuja na Option number one ya Malta sasa ni Option number 2 nia ni kutaka ndugu na jamaa zetu muweze kutimiza ndoto zenu za kutafuta maisha nje ya JPM empire ambako kumeonekana kama mwiba kwa ajira za vijana na maendeleo ya hasa vijana
Baada ya Option ya Malta kuonekana ni ngumu japo sijui ugumu wake ni nini lakini si mbaya kuna Option namba 2 mpaka 3 lakini leo tunaendelea na Option number 2
OPS (Mission)
Mission hii inahusu nchi za Canada, USA, Germany , Denmark, Norway, Sweden na Malta
Kuhusu USA mm binafsi sipendelei mje US coz siasa za US dhidi ya wageni zimebadilika sana kumekuwa na siasa za utengano dhidi ya wageni
Ok tuendelee nimekuwa karibu na kufanya kazi na taasisi ktk nchi zote nilizozitaja taasisi hzo zinadeal na vijana ktk maswala ya culture exchange ambapo kila mwaka wamekuwa wakichukua vijana kwenda nchi mbalimbali duniani kwenda kujifunza tamaduni zingine na Lugha pia kubadilishana mawazo kama vijana umri wa vijana ni kuanzia miaka 18-30 vijana wa kiume na wakike sasa ni mm kuongea na taasisi hzo waanze kuleta vijana hao Tanganyika lakini utaratibu ni
1 Wanataka Host wa nchi wanayokwenda so kila kijana anapata Host wa nchi husika kwa ajili ya kumtembeza na kuwa mwenyeji wake
2 Kama unakuwa host wake atakaa kwako kwa kipindi chote ambacho ni kuanzia mwezi 1-3 so atakaa kwako si hotel au nyumba za wageni A.K.A (machinjioni)
3 Kila siku yeye atachangia dola 100 kama mchango wa chakula na malazi
4 Kumtembeza sehemu mbalimbali za ndani ya mkoa mfno DSM lakini akitaka kutoka nje ya dar gharama za wote wawili zitakuwa juu yake na gharama kama za kwenda disco na beach zitakuwa juu yake
5 kuhusu kukaa hata uwe na chumba kimoja ila yawe ni maeneo safe choo kiwe kizuri
MISSION YENYEWE
Kama ni mtoto wa kiume utakaa na mtoto wa kike kama ni wakike utakaa na wakiume lakini wenyewe hawajali.njinsia so kama utapenda kukaa na wajinsia yako pia ni sawa tu cha muhimu ni kutengeneza conection tu
ANGALIZO
Wazungu kitendo cha kulala kitanda kimoja na mtu wa jinsia tofauti kwao si tatizo kubdilisha nguo na kubaki na chupi mbele ya jinsia tofauti pia si jambo gumu kwao so hasije fanya hvyo ukaona kakuzimia au anakutega utakuwa wrong sana
Sasa bhasi kitendo cha mtu kukaa kwako miezi 2 au 3 usipo tengeneza conection naye utakuwa mpumbavu sana na kama utakuwa mjanja unaweza kuanzisha mahusiano ya kimapenzi naye kwani wengi ni vijana wa 18-25 lakini mission ni ww kutengeneza conecton kupitia huyo mgeni kwani mtaendelea kuwasiliana na yeye kukualika kwao ni vyepesi sana so nimekupa nyavu na mtumbwi kuvua samaki ni juu yako akili kumkichwa
CHANGAMOTO
Changamoto kubwa ya hii project ni usalama wa wageni kwani humu tunajuana kwa fake id so kumpa mtoto wa watu mtu ambae umjui ni swala la ujasiri na lenye kuitaji akili ya kuvukia barabara inaitaji ujitoe akili lakini ninauwezo wa kuwasiliana na hizo taasisi kwani tunafanyanazo kazi na kuheshimiana tatizo usalama wa hao wageni na hao unaowakabidhi mgeni huyo unamjua asije mchinja mtoto wa watu usiku dah
Kila mgeni na host mmoja na uhakika ni kupata wageni 20-30 kutoka nchi nilizotaja hapo juu kwa mwaka
Kumbuka wageni ni wakike na wakiume so chance ni kwa dada na wakaka wa Tanganyika
Mnaweza kuwatag member wengine wa thread hii na ambao wameonyesha nia ya kutoka na ambao wana michango yao kwenye thread hii ambao awajachangia achaneni nao
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Shukrani mkuu.... Nitarejea kwaajili ya hii.... Nami nitoe wazo.Ndugu zangu Watanganyika baada ya kuja na Option number one ya Malta sasa ni Option number 2 nia ni kutaka ndugu na jamaa zetu muweze kutimiza ndoto zenu za kutafuta maisha nje ya JPM empire ambako kumeonekana kama mwiba kwa ajira za vijana na maendeleo ya hasa vijana

Mkuu nipe hii fursa aseeh nimekamilika niamshe ndani ya mwezi huuSo unataka kidemu cha Malta ila sharti ni moja je utaweza ?
Mkuu Izzo ubarikiwe mno, mnoooo. Nimekuelewa sana.Ndugu zangu Watanganyika baada ya kuja na Option number one ya Malta sasa ni Option number 2 nia ni kutaka ndugu na jamaa zetu muweze kutimiza ndoto zenu za kutafuta maisha nje ya JPM empire ambako kumeonekana kama mwiba kwa ajira za vijana na maendeleo ya hasa vijana
Baada ya Option ya Malta kuonekana ni ngumu japo sijui ugumu wake ni nini lakini si mbaya kuna Option namba 2 mpaka 3 lakini leo tunaendelea na Option number 2
OPS (Mission)
Mission hii inahusu nchi za Canada, USA, Germany , Denmark, Norway, Sweden na Malta
Kuhusu USA mm binafsi sipendelei mje US coz siasa za US dhidi ya wageni zimebadilika sana kumekuwa na siasa za utengano dhidi ya wageni
Ok tuendelee nimekuwa karibu na kufanya kazi na taasisi ktk nchi zote nilizozitaja taasisi hzo zinadeal na vijana ktk maswala ya culture exchange ambapo kila mwaka wamekuwa wakichukua vijana kwenda nchi mbalimbali duniani kwenda kujifunza tamaduni zingine na Lugha pia kubadilishana mawazo kama vijana umri wa vijana ni kuanzia miaka 18-30 vijana wa kiume na wakike sasa ni mm kuongea na taasisi hzo waanze kuleta vijana hao Tanganyika lakini utaratibu ni
1 Wanataka Host wa nchi wanayokwenda so kila kijana anapata Host wa nchi husika kwa ajili ya kumtembeza na kuwa mwenyeji wake
2 Kama unakuwa host wake atakaa kwako kwa kipindi chote ambacho ni kuanzia mwezi 1-3 so atakaa kwako si hotel au nyumba za wageni A.K.A (machinjioni)
3 Kila siku yeye atachangia dola 100 kama mchango wa chakula na malazi
4 Kumtembeza sehemu mbalimbali za ndani ya mkoa mfno DSM lakini akitaka kutoka nje ya dar gharama za wote wawili zitakuwa juu yake na gharama kama za kwenda disco na beach zitakuwa juu yake
5 kuhusu kukaa hata uwe na chumba kimoja ila yawe ni maeneo safe choo kiwe kizuri
MISSION YENYEWE
Kama ni mtoto wa kiume utakaa na mtoto wa kike kama ni wakike utakaa na wakiume lakini wenyewe hawajali.njinsia so kama utapenda kukaa na wajinsia yako pia ni sawa tu cha muhimu ni kutengeneza conection tu
ANGALIZO
Wazungu kitendo cha kulala kitanda kimoja na mtu wa jinsia tofauti kwao si tatizo kubdilisha nguo na kubaki na chupi mbele ya jinsia tofauti pia si jambo gumu kwao so hasije fanya hvyo ukaona kakuzimia au anakutega utakuwa wrong sana
Sasa bhasi kitendo cha mtu kukaa kwako miezi 2 au 3 usipo tengeneza conection naye utakuwa mpumbavu sana na kama utakuwa mjanja unaweza kuanzisha mahusiano ya kimapenzi naye kwani wengi ni vijana wa 18-25 lakini mission ni ww kutengeneza conecton kupitia huyo mgeni kwani mtaendelea kuwasiliana na yeye kukualika kwao ni vyepesi sana so nimekupa nyavu na mtumbwi kuvua samaki ni juu yako akili kumkichwa
CHANGAMOTO
Changamoto kubwa ya hii project ni usalama wa wageni kwani humu tunajuana kwa fake id so kumpa mtoto wa watu mtu ambae umjui ni swala la ujasiri na lenye kuitaji akili ya kuvukia barabara inaitaji ujitoe akili lakini ninauwezo wa kuwasiliana na hizo taasisi kwani tunafanyanazo kazi na kuheshimiana tatizo usalama wa hao wageni na hao unaowakabidhi mgeni huyo unamjua asije mchinja mtoto wa watu usiku dah
Kila mgeni na host mmoja na uhakika ni kupata wageni 20-30 kutoka nchi nilizotaja hapo juu kwa mwaka
Kumbuka wageni ni wakike na wakiume so chance ni kwa dada na wakaka wa Tanganyika
Mnaweza kuwatag member wengine wa thread hii na ambao wameonyesha nia ya kutoka na ambao wana michango yao kwenye thread hii ambao awajachangia achaneni nao
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Bro nimekuelewa sana.Asante inatoshaSafari za kwenda Israel kila mwaka ninakwenda kwani kule yupo shemeji yangu ambae ni Myahudi na anakaa tel aviv Dizengoff street so nimekaa Israel na nawajua vizuri sana na ndo maana mada zote zinazohusu Israel lazima utakutapa na chapisho langu na ninaongea vitu ninavyovijua si kwa mapenzi wa kidini au mapenzi binafsi
Israel uchumi wao ni USD 305 billion wakat uchumi wa South africa ni USD 416 B na Naigeria ni USD 568 So Israel amezidiwa hata na nchi za Africa na mbinu au njia moja wapo kabla ujazamia sehemu lazima uangalie uchumi wa nchi unayozamia kwanza
Mpaka kufikia 2004 tayali Israel ilikuwa imepokea misaada karibu usd 121 billion na kila mwaka jeshi pekee linapokea usd 3-8 billion kumbuka ni msaada si mkopo kutoka USA
Ok Siwezi kuendelea kuichambua Israel sana kwani si mada yake lakini kwa kukushauri hakuna nchi inayokataa na kupinga wahamiaji hasa wa kutoka Africa duniani kama Isreal
Mkuu Option namba 2 nimeiweka baada ya kuonekana Option number 1 ni ngumu japo mm sijaona ugumu wake so Option namba mbili ni host na kutengeneza conection wa nchi za Canada, USA, Germany , Denmark, Norway, Sweden na Malta so unatengeneza mtandao wa kwenda nchi ambayo unataka ww kwa kupitia mgeni wako utakae muhost so akili ni yako miezi 3 umekaa na mtu ushindwe kutengeneza mambo duh utakuwa unaitaji maombi bt nitakuja na Option number 3 ambayo ni XXL
Haki ya mama siku wameifunga jamii forum nitajinyonga nimekuwa nikipata faida kila kukicha mkuu izzo naona kama wewe ndo umetumwa na mwenyezi mungu uokoe maisha ya tanganyika kazi imebaki jinsi gani tunakutumia hapo nafikiri tunahitaji utufumbue zaidi je,gharama zinaweza kufika kiasi gani ili kufanikisha mchakato mzima?Ndugu zangu Watanganyika baada ya kuja na Option number one ya Malta sasa ni Option number 2 nia ni kutaka ndugu na jamaa zetu muweze kutimiza ndoto zenu za kutafuta maisha nje ya JPM empire ambako kumeonekana kama mwiba kwa ajira za vijana na maendeleo ya hasa vijana
Baada ya Option ya Malta kuonekana ni ngumu japo sijui ugumu wake ni nini lakini si mbaya kuna Option namba 2 mpaka 3 lakini leo tunaendelea na Option number 2
OPS (Mission)
Mission hii inahusu nchi za Canada, USA, Germany , Denmark, Norway, Sweden na Malta
Kuhusu USA mm binafsi sipendelei mje US coz siasa za US dhidi ya wageni zimebadilika sana kumekuwa na siasa za utengano dhidi ya wageni
Ok tuendelee nimekuwa karibu na kufanya kazi na taasisi ktk nchi zote nilizozitaja taasisi hzo zinadeal na vijana ktk maswala ya culture exchange ambapo kila mwaka wamekuwa wakichukua vijana kwenda nchi mbalimbali duniani kwenda kujifunza tamaduni zingine na Lugha pia kubadilishana mawazo kama vijana umri wa vijana ni kuanzia miaka 18-30 vijana wa kiume na wakike sasa ni mm kuongea na taasisi hzo waanze kuleta vijana hao Tanganyika lakini utaratibu ni
1 Wanataka Host wa nchi wanayokwenda so kila kijana anapata Host wa nchi husika kwa ajili ya kumtembeza na kuwa mwenyeji wake
2 Kama unakuwa host wake atakaa kwako kwa kipindi chote ambacho ni kuanzia mwezi 1-3 so atakaa kwako si hotel au nyumba za wageni A.K.A (machinjioni)
3 Kila siku yeye atachangia dola 100 kama mchango wa chakula na malazi
4 Kumtembeza sehemu mbalimbali za ndani ya mkoa mfno DSM lakini akitaka kutoka nje ya dar gharama za wote wawili zitakuwa juu yake na gharama kama za kwenda disco na beach zitakuwa juu yake
5 kuhusu kukaa hata uwe na chumba kimoja ila yawe ni maeneo safe choo kiwe kizuri
MISSION YENYEWE
Kama ni mtoto wa kiume utakaa na mtoto wa kike kama ni wakike utakaa na wakiume lakini wenyewe hawajali.njinsia so kama utapenda kukaa na wajinsia yako pia ni sawa tu cha muhimu ni kutengeneza conection tu
ANGALIZO
Wazungu kitendo cha kulala kitanda kimoja na mtu wa jinsia tofauti kwao si tatizo kubdilisha nguo na kubaki na chupi mbele ya jinsia tofauti pia si jambo gumu kwao so hasije fanya hvyo ukaona kakuzimia au anakutega utakuwa wrong sana
Sasa bhasi kitendo cha mtu kukaa kwako miezi 2 au 3 usipo tengeneza conection naye utakuwa mpumbavu sana na kama utakuwa mjanja unaweza kuanzisha mahusiano ya kimapenzi naye kwani wengi ni vijana wa 18-25 lakini mission ni ww kutengeneza conecton kupitia huyo mgeni kwani mtaendelea kuwasiliana na yeye kukualika kwao ni vyepesi sana so nimekupa nyavu na mtumbwi kuvua samaki ni juu yako akili kumkichwa
CHANGAMOTO
Changamoto kubwa ya hii project ni usalama wa wageni kwani humu tunajuana kwa fake id so kumpa mtoto wa watu mtu ambae umjui ni swala la ujasiri na lenye kuitaji akili ya kuvukia barabara inaitaji ujitoe akili lakini ninauwezo wa kuwasiliana na hizo taasisi kwani tunafanyanazo kazi na kuheshimiana tatizo usalama wa hao wageni na hao unaowakabidhi mgeni huyo unamjua asije mchinja mtoto wa watu usiku dah
Kila mgeni na host mmoja na uhakika ni kupata wageni 20-30 kutoka nchi nilizotaja hapo juu kwa mwaka
Kumbuka wageni ni wakike na wakiume so chance ni kwa dada na wakaka wa Tanganyika
Mnaweza kuwatag member wengine wa thread hii na ambao wameonyesha nia ya kutoka na ambao wana michango yao kwenye thread hii ambao awajachangia achaneni nao
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Asante mkuu Daby nami ndo nimerejea kutoka kwenye pilika pilikaMkuu lusungo asante kwa uzi. Ubarikiwe saana. Ule utaratibu wangu na wewe haujaisha maana ni moja ya plan nazotegemea saana.
izzo thank you brother kwa kuendeleza kutupatia exposure na njia za kutokea ubarikiwe. Kwangu njia ya malta is the best kwa ufafanuzi ulioutoa na nafikiri ni moja ya plan ninayopita nayo hasa hiyo ya host ama visa ya uchumba.
Naona umejikoki sana mkuu Daby umekuja mulumule mi si nilikwambia....let us go MaltaMkuu lusungo asante kwa uzi. Ubarikiwe saana. Ule utaratibu wangu na wewe haujaisha maana ni moja ya plan nazotegemea saana.
izzo thank you brother kwa kuendeleza kutupatia exposure na njia za kutokea ubarikiwe. Kwangu njia ya malta is the best kwa ufafanuzi ulioutoa na nafikiri ni moja ya plan ninayopita nayo hasa hiyo ya host ama visa ya uchumba.
Mkuu Adams vipiHaki ya mama siku wameifunga jamii forum nitajinyonga nimekuwa nikipata faida kila kukicha mkuu izzo naona kama wewe ndo umetumwa na mwenyezi mungu uokoe maisha ya tanganyika kazi imebaki jinsi gani tunakutumia hapo nafikiri tunahitaji utufumbue zaidi je,gharama zinaweza kufika kiasi gani ili kufanikisha mchakato mzima?