Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza


Ni kweli mkuu, niliokuwa nikiwa-host walikuwa wanafurahia maisha, halafu wenzetu wanakwambia kabisa mimi nataka kujaribu hiki na kile, yaania wanakuwa wazi sana.

Kaka ...
 
passport njoo mikoani mkuu ,mie wakati naomba passport huku mkoani yaani maafisa wa uhamiaji wanatoa ushirikiano kupita maelezo, hata usipomkuta ofisini unampigia simu anakuja fasta kukushughulikia.
 
TENGENEZA SHS 17,000,000 NDANI YA MIEZI 6

Ukijiunga na ADSCASH kuanzia sasa hivi unaweza Kupata kipato cha zaidi ya Tshs 17,000,000 ndani ya muda mfupi ujao wa miezi 6 tu!

Kwenye kampuni ya ADSCASH Kuna vifushi vipatavyo 7 vyenye nyota zenye coin hadi 4000!!

Naomba kwa kifupi tu nikufafanulie kifurushi cha nyota 5 na kifurushi cha nyota 7 tu uone maajabu ya kipato kwenye Sarafu hii mpya ambayo inazinduliwa mwisho wa mwezi huu wa Machi!!

Ukinunua Kifurushi cha nyota 5 maana yake wewe utakinunua kwa zaidi ya shs 50,000 kama uwekezaji wako kwenye kampuni na hapo utapata coin 1000!!!!

Hizo coin 1000 + 100 utakuwa na coin 1,100. Endapo utazibadilisha kuwa dollars au Bitcoins hapo ndipo utapewa fedha!!

Kama coin moja itakuwa $1 utalipwa $ 1,100 takribani shs 2,600,000 hivi!

Kama coin itakuwa ni $5 wewe hapo utakuwa na utajiri wa $5,500 au shs milioni 13,000,000 hivi!

Na kama coin moja itapanda bei hadi kufikia$10 ( eeeeh Mungu saidia ipande haraka) mtu mwenye kifurushi cha nyota 5 hicho atakuwa na $11,000 sawa na zaidi ya shs 25,000,000!!

Kwa hiyo mtu mwenye kifurushi cha nyota 5 huo ndo ushuhuda wake utakavyokuwa kwa mwaka mmoja huu ndani ya Adscash business!!

Mambo matamu sana yanakuja!! Wajasiriamali wa ukweli huwahi fursa za ukweli!!

Ukiwa na kifurushi cha nyota 7 chenye coin zaidi ya 4000+100 utakuwa na uwezo wa Kupata team bonus zote za team yako!!

Hadi siku ya UZINDUZI coin za adscash zitakuwa na bei ya centi 2.5 za kimarekani!! Coin 4000 utazinunua kwa USD 100 !! Baada ya uzinduzi wa kampuni hii coin zako 4100 utaweza kuzitoa au withdraw 4100 kwa rate ya $1 au $2! Hapo sasa coin zako 4100 zitakuwa na thamani ya $4,100 sawa na Tshs 9,500,000 hivi kwa rate ya $1 kwa coin!

Kama coin moja itakuwa$2 hapo utakuwa na
$8,200 sawa na Tshs 17,000,000 hivi!

Endapo mtu mwinye team kubwa hatanunua package yoyote hatapata pesa hiyo! Ataambulia coin 100 tu hizo za Bure!

Na huu utakuwa ujinga wa hali ya juu kuamua kujiunga na wajinga wasioona mbali!! Yaani wewe unaweza kuanzia wapi kwa mfano kuacha kuwekeza kwenye Sarafu za adscash kwa shs 250,000 ambazo zaweza kukupatia Tshs 17,000,000 baada ya miezi mitatu au sita?

Jiunge sasa kwa Link hiyo chini na upate coins 100 bure kisha utakuja kuamua uwekeze katika kifurushi gani kulingana na uwezo wako.

(AdsCash a new secure ,decenralized cryptocurrency exclusively for the Adworld. A new advertising payment system.)
 
Mkuu amini usiamini nimejiunga Masaa 3 yaliyopita na nimepata watu watatu wa kuwahost wanakuja kutembea Cape town.
 
Ni kweli, Denmark imeshika namba moja kwa nchi zenye furaha zaidi duniani.
Usiniambie mkuu,
Nyie si ndio ONECOIN DIGITAL CURENCY najua mmekuja kivingine mulize watu...hizi technic zinabatilishwa majina kila leo na wanaojiunga wengi wao huambulia patupu punguzen utapeli tutawakamata muda si mrefu humu ndani kuna CIA wametulia tu.
 
NAULI NA BUDGET YA KUJIKIMU SIKU ZA MWANZONI!
 
Kilam vizuri kamanda, endelea kutoa msaada kwa vijana huwenda tukapata ahueni ya maisha baada ya hili tanuri la moto la miaka 10 tutakuwa na vijana kadhaa waliokimbia bongo.

Nina admission ya MSc in Geo information science and earths observation specialisation in Natural Resource Management, nasubiria matekeo ya scholarship niliyoomba.

Thanks kamanda
 
Great bro, ingekuwa enzi za jk tungemshauri uwe balozi mdogo kuwasaidia vijana wakatafute maisha mbele huko. Duuuuu ufalme ni enzi zikipita hazirudi nyuma
 
Hahahahaha XXL, hii hatari kamanda. Hii mada kuna watu wakiamka asubuhi kabla hajaenda kumwaga anaingia jf kuona mkuu izzo amesema nini kipya, akifika job ikifika break time anazama jf vipi kuna jipya huko? Akirudi kwa ofisi anaweza akatumia more than 3 hrs anasoma comment na kufurahi tu. Wenzake wanamuuliza we vp anajibu aaaaaa najiandaa kusepa zangu malta.

Ubarikiwe sana kiongozi
 
Hahahahaha, Dr nakuhakikishia ukienda uhamiaji pale ukiuliza watu 20, utakuta 10 wamekuwa influenced na hii mada kwenda kutafuta pass wasepe zao. Kuna wengine wanajuta sana kwanini waliwahi kuoa wakati wangeweza kupata vimwana wakahost for 3 months then wakaweka mipango sawa wakasepa baadae.

Ushauri kwa wadada, msiwazingue waune zenu, hii yakuhost inaweza ikatumika mkwagwa then watu wakasepa, bongo pamoto sana kwa sasa
 
Hahahaha nimecheka sana. Hali ni tete...
 
Mm naomba kila atakaefanikiwa kuondoka kwa msaada wa huu uzi alete mrejesho mubashara kabisa. Tunataka kuweka kumbukumbu ni vijana wangapi wametimka hadi ikifika mwaka 2020 tufanye kongamano tumualike mzee izzo na lusungo tufanye kasherehe na kuwaamsha vijana zaidi na zaidi.
 
Great bro, ingekuwa enzi za jk tungemshauri uwe balozi mdogo kuwasaidia vijana wakatafute maisha mbele huko. Duuuuu ufalme ni enzi zikipita hazirudi nyuma
Nimekuja huk nondo ilizotoa za maana sana ni nataka rafiki awe na ujuzi kama ufund simu computer,ili aje tufanye uwekezaji bongo ya jpm
 
Mkubwa hivi kigezo cha Elimu ili uweze kufanya hii mithian kikoje maana hua naisikia tu. msaada tafadhali
 
Umepotea njia. Hapa hatutengenezi pesa, ni njia zakwenda kutafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…