Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mawazo mazuri sana mkuu tukipeana mirejesho itasaidia wengi kujifunza njia walizotumia na changamoto walizokutana nazo mpaka kufanikiwa na uhakika tukifanya hivyo baada ya miaka nchi tutaijenga kwa kuenda kuvuna mali ughaibuni nakuzileta hapa nyumbani mungu ibariki tanzania na wbariki pia vijana wanaotaka kujilipua ughaibuni.
 
BEI YA VIFURUSHI VYA KUANZA BIASHARA YA ADSCASH BAADA YA UZINDUZI RASMI

Kuna VIFURUSHI vya nyota saba. Nyota 7 ndicho kifurushi cha juu zaidi kikiwa na coin 4000

Bei ya coin kwa sasa ni USD 0.025 sawa na shs 50 hivi!!

Hivyo sasa vifurushi vya Adscash vitakuwa kwa bei ifuatayo kabla na Baada ya uzinduzi coin moja inatarajiwa kupanda hadi dollars 10 sawa na shs 25,000 hivi!

Kifurushi cha Nyota 7 kitakuwa na coin 4000. Bei yake itakuwa ni USD 100 sawa na shs 215,000 hivi

Kifurushi cha nyota 6 kitakuwa na coin 2000. Bei yake itakuwa ni USD 50 sawa na shs 115,000

Kifurushi cha nyota 5 kitakuwa na coin 1000 zenye thamani ya USD 25 au Tshs 50,000! Kwa hiyo kifurushi cha nyota saba kitauzwa si chini ya shs 50,000

Kifurushi Cha nyota 4 kina coin 400 zenye thamani ya dollars 10 sawa na shs 20,000 hivi! Ili kununua kifurushi Cha nyota 4 utatakiwa utoe siyo chini ya shs 20,000!!!

Kifurushi Cha nyota 3 kina coin 200 zenye thamani ya USD 5 sawa na shs 10,000 !

Kifurushi Cha nyota 2 kina coin 100 zenye thamani ya USD 2.5 sawa na shs 5,000 hivi!

Kifurushi cha nyota 1 kina coin 1 yenye thamani ya USD 0.03 sawa na shs 50 hivi!

Hivyo ndivyo VIFURUSHI vya Adscash kabla ya UZINDUZI wa kampuni hii!UTAJIRI UTAKAOUPATA KUTOKA ADSCASH COIN BAADA YA UZINDUZI MWISHO WA MWEZI HUU WA MACHI 2017 KULINGANA NA KIFURUSHI CHAKO!

Sarafu ya Digitali iitwayo Adscash inaanza kufanya kazi mwezi huu wa Machi mwishoni!! Wote ambao wamejiunga na ADSCASH mwezi ujao wa April watashindwa kuamini ukubwa wa pesa watazopata kila siku au kila wiki au kila mwezi!!!

Kama wewe utakuwa umewekeza kwenye kifurushi cha Nyota 7 utakuwa na coin 4000+100

Bei ya coin kwa bei ya Ufunguzi kwa wote ni USD 0.025 sawa na shs 50 hivi!! Hii imetulia sana!! Maana yake ni kwamba watu watapata coins kibao kwa bei ndogo sana!!

Baada ya uzinduzi coin moja inatarajiwa kupanda hadi dollars kutoka 0.025 USD siku ya uzinduzi hadi $10 Sawa na shs 50 hadi shs 25,000 hivi kwa coin moja!!

Tuanze mfano wa kwanza!

Kama utanunua kifurushi cha Nyota 7 utakuwa na coin 4000. Bei yake itakuwa ni USD 100 sawa na shs 215,000 (BTC 0.09)hivi utakazotoa!! Sasa piga hesabu za chini Adscash coin inapanda baada ya uzinduzi na kufikia $2. Hizo coin zako zitakuwa na thamani ya $8,200 sawa na Tshs 17,000,000 hivi!

Mfano wa pili:

Kama utanunua kifurushi cha nyota 6 utakuwa na coin 2000+100 utakazozipata kwa USD 50 sawa na shs 115,000!! Baada ya uzinduzi coins ikiwa na thamani ya $2 utakuwa na $2 x 2,100 = $4,200 sawa na zaidi ya shs 10,000,000 hivi! Amazing!!

Mfano wa tatu:

Kama utanunua kifurushiifurushi cha nyota 5 chenye coin 1000 +100 utazipata kwa USD 25 takribani Tshs 50,000! Kwa hiyo kifurushi hicho kitakuingizia Dollars $2 x 1,100 = $ 2,200 Sawa na zaidi ya shs 5,000,000!!

Watu wengi wanauliza swali eti hizo pesa zote wazitoa wapi?

Jibu:
Hizo pesa hazitoki kwenye kampuni hii bali zitatoka kwako mwenyewe uliyewekeza! Ukinunua coin 12,000 kwenye kampuni hii ni zako! Kama Ukiamua kusubiri miezi 12 kwanza ili coin zako za adscash zipande hadi kufikia $10/ADS utakuta una $120,000 sawa na zaidi ya Tshs 260,000,000 baada ya miaka 2 tu!

Hii ni sawa na kusema kila mwezi unalipwa Shs 11,000,000 sawa na shs 355,000 kila siku kwa uwekezaji wa 700,000 tu.

Kumbuka kuwa hapo sijajumlisha vipato vya:

1. Gawio la kila siku kutoka kwenye faida ya matangazo ya kampuni hii!

2. Team bonus payment (kwa wale wenye team chini yao) ambayo kwa kweli kama una team yako kubwa!!!! Pesa yako waweza usiamini jinsi itakavyokuwa kubwa sana sana!!

Hivyo ndivyo watu wote waliowekeza kwenye Adscash wanavyotazamia kubadili maisha yao kuanzia April 2017!!

Bado wiki mbili tu kampuni ianze kazi rasmi sokoni!!! Tengeneza team kuuuuubwa kwenye Adscash utengeneze pesa kuuuuubwa!!
AdsCash a new secure ,decenralized cryptocurrency exclusively for the Adworld. A new advertising payment system.
 

Wao wanadhani kila anayetaka pasipoti basi anakwends ulaya au nje ya nchi kufurahia maisha.....hawajui kuwa wengine wanaenda kws matibabu......

Jamaa yangu mmoja alipata mfadhili wa kumgharamia kwenda kupata tiba ya maradhi ya moyo UK......uhamiaji walimbania pasipoti mpaka akafariki.....
 
kula 5
 
Hizi harakati kwangu ndo zina 14% tu, bado nazunguka huku na kule nakusanya kila kitu.
 
Reactions: Qj_
Nataka nikafanye kazi qatar ama dubai lakin nawaza passport nitaipataje mana inaonekana sio shughuli ndogo.nina ka diploma ka hotel.nina uhakika wa kupata kazi.nikipata kiasi cha kutosha ndo nijilipue mambele kabisaa.sasa nawaza niingie na sababu gani ya msingi kuombea hiyo pass wasinisumbue.
 
Malipo unalipa kwa kutumia njia gani mkuu
 
Mimi nilipotakuwa naitafuta nilimtafuta mtu wa uhamiaji akanipa maelekezo,kuna Fomu utapewa ujaze ambazo unatakiwa uwe na barua ya serikali ya mtaa/mwekiti wa Kijiji nk.uwe na wadhamini wawili ambao wanaweza kuwa marafiki zako.
Barua kutoka kwa mwajili japo HR wangu alizingua mwisho wa siku ikabidi niombe km Mfanyabiashara.
1.Kama utasema unaenda kusoma lazima watahitahi barua ya kuonyesha umekubaliwa chuo.
2.Kama ni kufanya biashara watahitaji TIN namba tu.
3.Picha 6 za passport ambazo ukiwaambia wapiga picha wanazijua
4.cheti chako cha kuzaliwa
5.Cheti cha mzazi wako mmoja km huna tafuta affidavit mahakamani unapewa bila tatizo
6.Uwe na stamp duty 2 ( cjui km nimeandika sahihi ) zile km ukiomba affidavit huwa wanaweka kwenye karatasi ya affidavit.
7.Andaa elfu hamsini km malipo ya passport.baada ya wiki mbili mpaka tatu utapata passport yko.
Naamani huwezi kushindwa mkuu.
 
Sema unaenda kusoma Nairobi au Uganda au hata Msumbiji kidogo inarahisisha au kibiashara
 
Nasahaulika kama masiara vile
 
Hahahahahh.... mzee anagomea i love u.... hana bahati huyo...
 
Nataka kumu host binti naanzia wapi mkuu izzo
 
hivi hamna namna ya kumremuvu katika hii mada huyu mtu maana analeta mambo yasiyohusika katka page yetu... hawa ndio wakiwa mahost wataniga watu.... halafu tuonekane kundi la majangili kwa ajili ya mse... mmoja...
 
Hizo website za kujitolea kaka zianike kama ukonazo familiar
 
Mkuu maisha yamekuwa magumu kwa moyo ulio uonyesha endelea kutusaidia kutujuza mengi Tanzania kwa vijana kumekuwa moto hakuna jipya tunarudi nyuma kila kukicha.
Kwa kuwa mna uzoefu tusaidieni maimani hatutawaangusha
Watanzania wa Zama hizi wengi wamebadirika nafasi kama hizo hakuna atakae ichezea izzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…