Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Job Search in Japan

Here are some sites that will help you land your dream job in Japan:

1. GaijinPot. They’ve got a ton of position listings.

GaijinPot

2. JREC-In.

Japan Research Career Information Network JREC-IN Portal

If you’ve got a Master’s degree, a few published papers, or a Doctorate, this site is your best friend. Welcome to the exciting world of Japanese academia.



3. Career-Cross.

Bilingual Employment in Japan

This is a great site for people who want to work in bilingual jobs.

5. Daijob.

www.daijob.com


Fluent in Japanese?
if so, then this site lets you compete with native Japanese people for Mechanical Engineering jobs and other professions.
 
 
 
shule kubwa
 
Dah wadau naona thread imepoa au watu mmeshasafiri nini????????????

I have good newz for you nimewasiliana na zile taasisi nilizo sema kwenye project number 2

So mwezi wa 5 Tanganyika mnaweza pata ugeni wa vijana wa 5 kutoka nchi pendwa ya Malta wa tatu wadada na wawili ni wakaka sasa kuhusu kuhost natafuta mtu mwaminifu wa kumuunganisha nao wakija yeye ndio awapokee na kuwatafutia host kama itawezekana


kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
 
Mkuu Hatupo kimya tupo kwenye maandalizi.

Tunashukuru saana.

Kwa wale wenzangu yule agent nilionana naye.
 
Daby nina mpango wa kwenda INDIA kuzisaka.je utaniunganisha na huyo agent anifanyie visa yangu na mwanangu ana mwaka mmoja?thanks in advance
 
Hahaha.... nimemwambia izzo anitafutie mchumba kanikaushia haha....

Prishaz baadae nitaweka hiyo ishu ya huyo agent hapa sijatulia fresh hapa nilipo
Hahahahaaahaaa mkuu ww hutaki mchumba bali unataka njia na njia ni kuhost then unatengeneza connection

Kwa nini unadhani nimesema ww uhitaji mchumba ww unataka njia ww nia yako ni kufika Denmark na Sweden so siwezi kukutafutia mtoto wa kimalta akainvest mapenzi na rasilimali zake kwako kumbe ww una akili zako za kwenda kwingine ukaja kuzingua wazungu wana true love si huko mna fake love so unapomfanyia uhuni unamweka ktk wakati mgumu kihisia tena kwa kipindi kirefu
 
mkuu Izzo mimi ni verified host ninatumia Airbnb kupokea wageni.nina nyumba ya vyumba vitano na usafiri wa uhakika.naomba unifikirie
Ulisha fanya kazi hyo kwa kipindi gani?
kama ni mzoefu kweli maana mambo ya ujanja ujanja wa Watanganyika na uongo uongo ndio yamefanya passport ya bongo kutoka free visa nchi 153 mwaka 1961-1980 kupungua mpaka nchi zisizozidi 71 tena zote za kijinga kijinga yenye maana ni Hong Kong na Malaysia tu

Kama kweli naweza kukuunganisha kwani unaweza kufanya hata biashara wao kila kichwa kila siku anatoa dola mia kila siku kwa mwaka wanaweza kuja mpaka 30 au zaidi ya hapo

Bt hapa tuna Project yetu tunaifanya tunataka mpaka kufikia mwaka 2025 vijana karibu 100 au zaidi wawe wameshatoka Tanganyika na wawe wanatuma dola tu huko makwao kwani wenzetu chanzo kimojawapo cha nchi kupata fedha za kigeni ni kupitia raia wao waliopo nje

So hii si biashara bali tuna mipango

Prishaz
 
Daby nina mpango wa kwenda INDIA kuzisaka.je utaniunganisha na huyo agent anifanyie visa yangu na mwanangu ana mwaka mmoja?thanks in advance
Kwa maelezo ya Jamaa anadeal na ulaya saana ila kwa msaada nitajaribu kumuuliza then nikujulishe.

BTW, kuna group ambapo kuna agents na wahitaji misaada if you're interested pm hawa watu wakuunge
ganja gal tombstone Eng Mose @Dr Adams @Wembee
 
Haha kweli mkuu nisije nikambwaga mtoto wa watu bureee... nitakuharibia cv.
 
Mkuu izzo uko sawia sana hapa ni mkakati maalum wa namna ya kutoka kupitia option no2. Na hicho ndio kipaumbele chetu kwa sasa (sio uselfish kweli huu🙁)
Daby waweza kutana na mrembo wa Malta ukasahau habari za scandnavia ujue...
 
Mkuu izzo uko sawia sana hapa ni mkakati maalum wa namna ya kutoka kupitia option no2. Na hicho ndio kipaumbele chetu kwa sasa (sio uselfish kweli huu🙁)
Daby waweza kutana na mrembo wa Malta ukasahau habari za scandnavia ujue...

Haaha Prishaz tena mrembo wa kutafutiwa duuh. Unaweza letewa kitu roho haitaki.

BTW, mimi nataka nifie sweden au Denmark
 
mkuu Izzo mimi ni verified host ninatumia Airbnb kupokea wageni.nina nyumba ya vyumba vitano na usafiri wa uhakika.naomba unifikirie
Itakuwa sawa sana kama mkuu izzo ukifanya mazungumzo na hyu verified host ili ujihakikishie usalama wa hawa wageni. Itakuwa poa kama watu wanawapata hao wageni kutoka kwa huyu mdau.
 
Izzo ondoa hofu mkuu.ndio kazi yangu hiyo nasukuma siku.japo siku hizi wageni wamepungua sana kutokana na kodi nyingi na kero kwa wageni.si unajua bongo ni ngumu sana ukiwa huna kazi na una familia.
Bongo roho za mashetani sana
Nafkiri wakati wa uumbaji kuna kinipande kadogo karoho ya shetani ilidondokea bongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…