izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,409
Kila chuo kina vitu vyake vya kukamilisha hili kupata Adm lakini Mitihani ya kingereza ndio shart kubwa ambavyo vyuo ninavyovijua wanataka lazima ufanye mitihani ya TOEFL® na TOEIC®Mkuu izzo, baada ya kuwa mtu amesoma hii kozi ya English na kupata 70 or above, unahisi ni kitu/vitu gani muhimu unatakiwa kukamilisha?
Vijana wengi wanahangaika na scholarships (nikiwemo mwenyewe) pamoja na wengi kuwa na admission za vyuo wanavyotatajia kusoma.
Msaada wako ni muhimu sana kwani wengi wanadhani unaweza kusoma hizo kozi za english na bado wakakunyima scholarship.
Nilichogundua tatizo kubwa kwa Watanganyika wengi ni kitendo cha kutoa kitu kutoka kwenye wazo mpaka kwenye makaratasi yenye thamani (fedha) au maendeleo yani kutoa kitu ambacho uwezi kukishika mpaka kwenye kuweza kukishika au kukiona kwa macho
Kila kitu duniani kinaanza na
1 Wazo
2 Draft(maandishi au michoro)
3 kitu chenyewe aidha kinashikika , kuonekana au kusikilizika
Hapa tupo stage ya pili tumeshatoka kwenye wazo tumekuja kwenye draft tatizo litakuja kwenye kutransform Draft to Reality
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike