dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,276
- 1,309
Humu kuna kenge wanataka kutuharibia mada yetu. Tulishasema sisi watanzania wengi roho zetu mbaya sana. Lijitu halikibalinkuona kuwa hapa kuna tija itapatikana yeye anakuna na sera zakisiasa zilizoshindwa kuondoa hata kuharisha damu kwa mji kama wa dar for more than 50 years.Wewe unaishi Africa ipi....
unazungumzia Nchi ambayo Raisi anajigeuza kuwa mungu anachosema yeye ndio mwisho Tanganyika hii tuna zaidi ya miaka 50 tangu Uhuru hivi unayohabari Mwaka wa Jana wakulima wa Nyanya walivuna nakulisha Ng'ombe...au Mwenzetu ni miongoni mwa wanufaika wa Nchi hii kiasi kwamba hamjui Taabu wanazokutana nazo wadanganyika.....
Wapumbavu hawa wanashindwa kuandaa mada zao wakazileta ili watu wachangie wao kutwa kuzichafua nyuzi za maana, watu wako speed 250 yeye anaweka ligogo la mbuyu njiani. Yote haya ni kutokana na roho mbaya.
Kwani nani kamwambia kuwa lazina watanzania wote waondoke waende ulaya. Halafi kila anayeona kuna haja ya kuondoka ujue tayari ameshajaribu mambo kadhaa na kuona hayamtoi na hawezi toka. Wapo wenye ramani zao bongo wanaiba pesa daily huwezi kumwambia anaqeza kwenda kuiba pesa england, watamkata makende kweupee na hafimishi hata siku mbili.
Watu wanajifanya wachambuzi wa mambo ya kilimo na ujinga mwingine usio na maana wakati babu zetu walilima for than century wamepata nini kwa bongo hii zaidi yakupinga viuno tu. Wewe uliona wapi mbolea izalishwe tz alafi mfuko wa parking uandikwe made in kenya? Hii nchi si wazimu mtupu?
Machungwa muheza yabaharibika, sasa unataka watu zaidi waendelee kulima machungwa na peasi watauza wapi? Dumila nyanya zilioza mashambani hakuna pakupeleka, leo unataka watu zaidi walime nyanya watauza wapi?
Vijana graduate wapo mitaani, hawana mitaji, hawakopesheki, hawana lakufanya, mkilala mkiamka mnawaambia fanyeni kazi, mnatumia viungo gani kufikiti jamani?
Hawa jamaa wanakera sana,