Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu izzo, baada ya kuwa mtu amesoma hii kozi ya English na kupata 70 or above, unahisi ni kitu/vitu gani muhimu unatakiwa kukamilisha?

Vijana wengi wanahangaika na scholarships (nikiwemo mwenyewe) pamoja na wengi kuwa na admission za vyuo wanavyotatajia kusoma.

Msaada wako ni muhimu sana kwani wengi wanadhani unaweza kusoma hizo kozi za english na bado wakakunyima scholarship.
Kila chuo kina vitu vyake vya kukamilisha hili kupata Adm lakini Mitihani ya kingereza ndio shart kubwa ambavyo vyuo ninavyovijua wanataka lazima ufanye mitihani ya TOEFL® na TOEIC®

Nilichogundua tatizo kubwa kwa Watanganyika wengi ni kitendo cha kutoa kitu kutoka kwenye wazo mpaka kwenye makaratasi yenye thamani (fedha) au maendeleo yani kutoa kitu ambacho uwezi kukishika mpaka kwenye kuweza kukishika au kukiona kwa macho

Kila kitu duniani kinaanza na
1 Wazo
2 Draft(maandishi au michoro)
3 kitu chenyewe aidha kinashikika , kuonekana au kusikilizika

Hapa tupo stage ya pili tumeshatoka kwenye wazo tumekuja kwenye draft tatizo litakuja kwenye kutransform Draft to Reality

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
 
Its like u spoke by my voice ila ntakuja kujieleza na mimi kivyangu kwa herufi kubwa

Kwakweli nimejifunza mengi sana kupitia huu uzi heshima kwako muanziasha uzi na wachangiaji hai kama mkuu izzo, tokyo, chillah, kaka, kaveli and mkuu Daby ofcoz na wengine ambao sijawataja salute sana;
May God bless u guys maana naona kama ndoto zangu za mda mrefu zinaelekea kutimia

amsr
Safi sana mkuu.... Kila la kheri kwako.
 
Ninakumbuka pia kulikua na Commonwealth visa ambayo ilikua kwa vijana wote chini ya miaka 27 watembelee nchi mama ya Commonwealth kwa miaka miwili hii ilikuwa ni jitihada za kudumisha ushirikiano na kuwapa vijana exposure. Wakenya waliitumia sana hii, baada ya miaka miwili wadada wengi unakuta walishaolewa na wazungu.
Wakenya kila jambo wako mbele,hivi nini kinafanya sisi watanzania tusiwe wengi ughaibuni like amerika na Ulaya ukilinganisha na nchi kama Kenya na Nigeria?
 
Sasa huna sababu ya kwenda inje ya inchi passport KUBWA ya nn?kama ni suala la kwenda Kenya na Burundi.. Utapewa tu hata WILAYANI..ile ya karatasi
.ila passport kubwa sometimes materials yanakwisha...na watu wenye malengo na safari wanashindwa kusafiri lakini kuna watu mamilioni wameziweka passport chini ya MCHAGO.hawana malengo ya kusafiri..wao passport ni kama fashion tu...ndy maana lazima ueleze una mipango gani na passport... na sio kwl kwamba hata huko inchi zilizoendelea unapata tu kama KUNUNUWA VOCHA...hapana...huna sababu ya kuwa na passport kama huna safari... ID tu...inatosha kusafiri..ULAYA..kwa ULAYA..
Nchi inakosaje karatasi za kuchapa passport? Halafu kwani zinatolewa bure? Hiyo elfu 50 si ndiyo gharama zote na karatasi?
 
Sio karatasi..materials ya passport... Sijuwi wanaagiza wapi...ila mara nyingi tunambiwa materials yameisha..
 
Kila chuo kina vitu vyake vya kukamilisha hili kupata Adm lakini Mitihani ya kingereza ndio shart kubwa ambavyo vyuo ninavyovijua wanataka lazima ufanye mitihani ya TOEFL[emoji768] na TOEIC[emoji768]

Nilichogundua tatizo kubwa kwa Watanganyika wengi ni kitendo cha kutoa kitu kutoka kwenye wazo mpaka kwenye makaratasi yenye thamani (fedha) au maendeleo yani kutoa kitu ambacho uwezi kukishika mpaka kwenye kuweza kukishika au kukiona kwa macho

Kila kitu duniani kinaanza na
1 Wazo
2 Draft(maandishi au michoro)
3 kitu chenyewe aidha kinashikika , kuonekana au kusikilizika

Hapa tupo stage ya pili tumeshatoka kwenye wazo tumekuja kwenye draft tatizo litakuja kwenye kutransform Draft to Reality

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Vizuri kamanda.
Kuna vijana kadhaa ambao mm nawajua. Tulitengeneza kama network flan hivi yakupeana habari ya mambo ya scholarships. Hali ilikuwa nzuri sana, mambo yalienda murwa sana.

Wengi tulipata admission na hatukuwahi kufanya mitihani ya english kwani vyuo tulivyoomba walikuwa na option kama ulifanya undergraduate english ikiwa language of instruction and examination, ukitoa uthibitisho basi wanakupa admission (kwa wale waliopitia ud ukienda adm wanakupa barua yakuthibitisha kuwa english was language of instruction and examination.) ingawaje utaratibu huu hautumiki kwa vyuo vyote.

Baada ya kukamata admission, harakati zakuomba scholarship zilianza na bahati nzuri hatukufanikiwa hata mtu mmoja.

Katika kutafuta ushauri wengine walisema mara nyingi hamkidhi vigezo hasa katika eneo la personal statement na vipengele vingine.
 
Wakenya kila jambo wako mbele,hivi nini kinafanya sisi watanzania tusiwe wengi ughaibuni like amerika na Ulaya ukilinganisha na nchi kama Kenya na Nigeria?

Among other factors, nadhani baadhi ni:

- Uoga wa maisha. We are extremely fearful of life. We can't take risk ktk utafutaji, tunasahau kwamba there's nothing risk-free in life struggle.

-Lack of international exposure kwa wazazi wetu. Most of us tumezaliwa na kukulia kwenye families ambazo hazikuwa 'global goers'. As such, na sisi tunaishia in the same circle... mtu anapanda Ngorika all the way from sitimbi to Darisalamu, then hiyo ndo maximum exposure ya ndoto zake... kutia maguu Daresalamu.

-language barrier. Hili liko wazi. Wabongo wengi 'kutema yai' ni shuhuli nzito. English is amongst of international languages that highly connect the world. Sisi tumekomaa na kiswahili, lugha ambayo bado haijatoboa kimataifa even at regional level. So ni ngumu sana kujichanganya kwenye international avenues za kutafuta maisha. Mfano tu, jaribu kupitia international forums kwenye social media, wabongo hawasogezi pua huko, utawakuta wachache sana.

Mfano mwingine, mtu ni Masters holder lakini spoken English ni zero! Hawezi kutema 'yai'. Mtu huyu anaogopa na hawezi kuapply kazi at International entities like NGOs, UN Agencies, etc. Human personnel from East africa to UN Agencies... Kenya na Uganda make the majority. Intl languages competence bado ni shida kubwa kwa watanzania.

-Poor education. Wabongo wengi tunaenda class kukaririshwa vitu, na sio kueleweshwa materials. Hivyo inakuwa ngumu sana kupenya abroad under 'professional job' umbrella.

Kuna mtu namfahamu kabisa personally ... kahitimu Bachelor Degree mwaka jana. Cha kushangaza sasa... hajuwi jinsi ya kufungua/kuandika email na kuweka attachment. Hawezi kabisa! So mtanzania kama huyu, anaweza ku-compete kwenye international professional jobs/opportunities?

Nadhani hizo ni miongoni mwa factors zinazosababisha wabongo tusiwe courageous wala aggressive kufukuzia international money.

Wacha tuendelee kulima mchicha ili kupata hela ya dona na rent ya chumba uswazini. Ila ukipata viza, then pasua anga. Bongo hakuna mwanga. Waya mkali mbuzi analamba reli.

Baby don't cry, keep ya head up until the end of time. Life goz'on.

-Kaveli-
 
Uko sahihi mkuu
 
Kabisa mkuu... Kitu kingine wivu... Wabongo siku zote tunatamani wengine waanguke tukiamini ndo tutainuka!!

Wengi hatupendi mafanikio ya ndugu hata tuliozaliwa nao...
 
njoo kigoma kuna kambi zawakimbizi kama tatu na milango iko wazi yani wanasajili wakimbizi wapya kila uchao maswali ni kwa lugha unayoijua ww hasa kiswahili kirundi au kibembe unaulizwa umetokea wapi unataja inchi mojawapo yenye migogoro hasa drc yani ni simple
 
MziziMkavu, post:
FURSA ZA OMAN

KAZI ZENYEWE HIZI HAPA CHINI.PAMOJA NA MISHAHARA YAKE WANAUME NA WANAWAKE WANATAKIWA

Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169

Source: mzizi mkavu
 
njoo kigoma kuna kambi zawakimbizi kama tatu na milango iko wazi yani wanasajili wakimbizi wapya kila uchao maswali ni kwa lugha unayoijua ww hasa kiswahili kirundi au kibembe unaulizwa umetokea wapi unataja inchi mojawapo yenye migogoro hasa drc yani ni simple
Ukishaandika DRC, Uraia wa Tz si ndio umeshaukana tayari??
Itakuaje ishu zikibuma na unataka kurudi home?
 
Back
Top Bottom