Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu izzo kweli upo serious yaan transformation ndio shidah
Hv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkoo

Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA

Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM

STUNTER

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
 
Mkuu izzo shavu umempa STUNTER safi sana mkuu nami nipo karibu sana sitakuangusha namba tayari nilishakutumia mkuu tangu uzi uanzishwe.
Angalizo mkuu STUNTER kumbuka umeteuliwa usije ukatuangusha mkuu tunakuombea sana ili tufanikiwe wote.
 
Kama ishu ikifanikiwa basi ninauhakika Watanzania wote tutakuwa tumetoka, manake niko makini sana na hope hakuna kitakachoharibika,
 
izzo usijali kuhusu suala la namba, mimi yangu nitakutumia PM,
Na ingependeza kama Hosts wote tukijulikana na mikoa tuliyopo ili kufanyike mgawanyo mzuri wa hao wageni,
All in all tupo pamoja wazeiya
All the best brethren.
Mcheze salama tu na tumieni fursa vizuri. Acheni mimi ni deal na ile njia nyingine.
Mkuu izzo shavu umempa STUNTER safi sana mkuu nami nipo karibu sana sitakuangusha namba tayari nilishakutumia mkuu tangu uzi uanzishwe.
Angalizo mkuu STUNTER kumbuka umeteuliwa usije ukatuangusha mkuu tunakuombea sana ili tufanikiwe wote.
 
Asante mkuu Daby nami ndo nimerejea kutoka kwenye pilika pilika

Nikitulia nami nitaweka link ya kusaka hosts huko nje na kualika wanaohitaji kuwa hosted.....

Tuendelee kutembelea hapa.
Waheshimiwa lusungo na izzo ninawaheshimu sana sijui kama ningefunguka kuhusu kijilipua.thanx kwa wote mlochangia huu uzi na mnaoendelea.nimesindwa kuendelea kuandika mzuka nlionao adi moyo unadunda.[emoji122] [emoji122] [emoji122] lusungo kwa kuanzisha uzi
 
Kujibu swali lako kwa ufupi kwani hapa tumekuwa na Mission na Vision Mission ni kwenda kusaidia ndugu zetu Watanganyika kuja kutafuta maisha nje ya JPM empire so starting point ni nchi ya Malta tukaanza na Option number 1 now ni option number 2

Kujibu swali lako kama nilivyosema nimekuwa na ushirikiano na taasisi za vijana katika nchi hzo yani Nonproft org ambazo wao wanafanya kitu kinaitwa culture exchange ambapo wanachukua vijana kwenda sehemu mbalimbali duniani kwenda kujifunza tamaduni na lugha za nchi mbalimbali duniani lakini hawajawai kuja Tanganyika so ninauwezo wa kuongea nao na kuwashawishi juu ya kuleta vijana Tanganyika lakini vigezo ni vile nilivyovitaja

Wanakuja kwa mafungu mafungu kwani wengine wanakwenda nchi nyingine so wanaweza kuja 5 then wakaja tena 6 lakini kwa mwaka wanaweza fika 20-30 huku Tanganyika lazima kuwepo na mtu ambae atawapokea na kuwapeleka kwa hao host kila host mgeni mmoja mmoja sema sasa project hii inachangamoto kama nilivyosema kwenye bandiko hapo juu
Changamoto kweli zipo ila vp muheshimiwa najua upo vizuri umekaa nje upeo utakuwa mkubwa hasa kwa swala la usalama.naiman kuna kitu najua kinawezekana ilo swala likawa kwenye mchakato naomba ulitafakari.kama umejua changa moto ni nn basi bila shaka utatuzi utapatikana .ila shukrani sana kwa msaada wako umejitolea sana
 
Shukrani sana izzo , Sikuweza kuquote comment yako ili kuepusha usumbufu kwa member wanaotumia simu,
turudi kwenye topic,
Hata jua litoke mvua inyeshe, lakini unapaswa utambue kuwa una jukumu kubwa sana la kuhakikisha huo mkakati wa hao vijana unakamilika na wanaikanyaga ardhi ya Tanganyika,
Trust me utakuwa shujaa wa kuleta mapinduzi ya kuwakomboa vijana wengi zaidi na pia kuitangaza Nchi yetu,
Labda wewe utuambie unahisi ugumu upo wapi mpaka unasita kuwaleta?
Hebu anza kujadiliana nasi, huenda labda kukaa kwako nje ya nchi kumekukosesha data na kumekufanya uamini labda kuna vikwazo lakini kiualisia hakuna
We jamaa umeelezea yote nliyokuwa najadili ubongoni au tunashare ubongo[emoji106] [emoji106]
 
Hiyo 3500 CHF ni sawa na shilingi ngapi za kibongo?

Swiss Franc (CHF) moja ni kama 2,200 Tshs hivi so hapo inatakiwa kama millioni 7 hivi za madafu. Like I said kuna scholarship, for info zaidi pitia link hii Executive Master in Development Policies and Practices (DPP) - The Graduate Institute, Geneva

au watafute vizuri hawa hapa ofisi waliyotoa tangazo

Embassy of Switzerland in Tanzania
Swiss Agency for Development and Cooperation SDC

Kinondoni Road, Plot 79
P.O. Box 2454
Dar es Salaam, Tanzania
Tel. +255 22 266 60 08/9
Fax +255 22 266 67 36
 
Hv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkoo

Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA

Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM

STUNTER

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Usisahau kunitag na mm maana nami pia ni mhitaji sana
 
Mkuu Izzo hapa Mimi hii option ya kuhost wageni ndiyo ambayo nimefikiria nikaona bora nianze nayo . Sasa mkuu namba za simu tunakupm ama tunaziweka hapa kwa jukwaa pendwa
 
izzo usijali kuhusu suala la namba, mimi yangu nitakutumia PM,
Na ingependeza kama Hosts wote tukijulikana na mikoa tuliyopo ili kufanyike mgawanyo mzuri wa hao wageni,
All in all tupo pamoja wazeiya
Mkuu stunter umesema sasa sana tuanze kujulikana mapema host na maeneo ambayo tunapatikana .
 
Back
Top Bottom