Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Upo sawa mkuu ila swala la makazi si la kuumiza kichwa sana kama unalengo unaweza kumtafutia hoteli nzuri ya kati au ukalipia chumba kwa muda ambachoa atakitumia mgeni wako mtakapokuwa naye.Sasa mkuu tuombe tu Mungu amfanyie wepesi mwenzetu Izzo....halafu ingekuwa vema spate listi ya ambao wako tayari ili kwake na sisi kuweza kujipanga maana naimani hao wageni kuna vitu vya msingi sana wataviconsider kama vile
1: bedroom type
2:number of people in a house
3: neighborhood
4: transport za kuelekea town kama ni nje ya mji kidogo
5: cultural aspects
6: chakula if shared or not
7:sehemu za kutembelea maana hawaji kukaa ndani tyu
8: toiletries na bathroom so unajua mkuu aina za vyoo vyetu tunashare tyu mpaka na wapangaji
Mkuu Tumwombee wepesi Bwana izzo kwa ambao tumeamua kwanza na hii option ya pili jlya hosting
Pia swala la chakula mgeni hachagui na hata akichagua pia nae anachangia kiasi kidogo cha pesa hivyo hilo lisikupe taabu.