Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Kuhusu Australia aka OZ ni bonge la chimbo kwa watu ambao wameshawahi fika au wako wanafahamu nisemacho,kiukweli sio wabongo wengi wanapazungumzia hata humu kwenye jukwaa sijaona mijadala ya kuhusu kufanya plan za OZ.Poa mkuu karibu sana....
Kiufupi ni kuwa OZ ni moja ya nchi za ulimwengu wa kwanza ambapo wazungu wako 90% yawakaazi wote na wana uchumi mzuri. Kiufupi ukifanikiwa kupata PR na citizenship ya hii nchi bwana unakua umeshawin life sio mchezo.... am talking with experience.
Njia rahisi ya kuweza kupenya OZ ni kwa kupitia student visa (visa 572, 573 etc), tatizo linakuja how to rise $25,000 ili utumie kama mtaji wa kupenya. Wanachotaka wao ni rahisi tu utoe one semester ada kama $9,000 (zinachajiwa kwa module yaani kila somo lina bei yake na foreigner lazima usome module 4 kwa semester). Pia uwe na kama 18,100 kwenye A.C yako kuprove unaweza kuishi mwaka mzima bila kufanya kazi (hapa unaweza hata kuazima kwa mtu akaweka kwa ac yako alafu baada ya kupata mapepa unazirudisha) ndio hata majiran wetu huko Kenya ndio wanafanya. Cha mwisho ni bank statement ya mtu wa karibu (next of kin) ya miezi 3 ambayo inaweza kua na flow of income ya 30m-50m basi.
Kazi zinazolipa kwa sasaivi ni kazi za hospitality (nurses, carers,etc) kuna dada analipwa $56/hr na weekend kuna malipo ya penalties yaani kama unalipwa $20/hr siku za kawaida then jumamosi unalipwa (50% more) $30/hr na jumapili unalipwa (100%) $40/hr
Ukiweza tu we ingia Acacia | Immigration Australia uanze process za kujiripua,
Pia ingia hapo hapo utatakiwa kulipia $135 ili kupata consultation ya nusu saa (inalipa kwani unaambiwa option zote kwa ufasaha kabisa kabisa na unapewa na nafasi ya kuuliza maswali utakavyo) na baada ya maongezi utaprintiwa ile convo yote