izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,409
Hv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkooMkuu izzo kweli upo serious yaan transformation ndio shidah
Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA
Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM
STUNTER
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike