Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Asante sana mkuu izo kwa kunipa nafasi kati ya wale wenye kuitaji kua host naomba nikuondoe hofu nitakua host bora kabisa tena wa mfano
 
sorry mkuu naomba kuuliza hivi kwa mtu anayetaka kujilipua inatakiwa awe na kiwango gani cha elimu ili isimuwie vigumu huko aendako??
 
Mpaka sasa uzi ulipofikia kutokana na Maelezo ya wadau humu....wenye uwezekano wa kufanikiwa ni Watu wanaotaka Kusoma tu au kama una Hela ufate alivyoshauri Tokyo40
 
izzo lusungo asanteni sana kwa huu Uzi. Mi nimeuona juzi tu na jana ndo nimemaliza kuusoma so nianze kwa kuwaambia ASANTENI SANA. Kwa watu waliopo serious kuhusu kumkimbia mfalme nanii lazima wataondoka. Changamoto itakayofanya wengi (mi mmojawapo) wachelewe kidogo ni hela ya kufanikisha safari kwahiyo usivunjwe moyo kwa kutoona feedback immediately. Muda ukifika utafurahi wenyewe.

Daby ngoja nikupe njia rahisi zaidi ya kubaki Sweden ukifanikiwa kufika. Tafuta kabinti ka kiSwedish, usiombe uchumba wala nini, just get her pregnant!!!!!Kama una familia huku basi hiyo njia itakuwa ngumu kidogo lakini its the best. Hutohitaji kujilipua kama mkimbizi kwa maana hiyo kama una taaluma yako utaweza kuifanyia kazi right away, kama una elimu nzuri hutohitaji kuificha and so so.

Kuhusu jeshi la nje naomba na mie niongezee 2cents zangu. Kaka yangu mimi alijiunga na jeshi la Sweden baada ya kumaliza college (uraia alichukua mapema akiwa under 18) kwahiyo sio ngumu hata kidogo. Na ukiingia jeshi lao wanakujali sana kwasababu unaonekana ni MZALENDO kwa nchi yao.

Alafu nilisahau...@izzo mi niko zaidi ya tayari kuwa host kwahiyo hao wageni wa awamu ya kwanza naomba mmoja anihusu tafadhali. Usinisahau kwenye hill.
 
Mungu akipenda lazima tujiripue maana mm saivi nishamaliza kutengeneza padport bado kupewe nisepe
 
At last, Tanzanians have started to discuss how to get out of their country. I totally support this movement. We are lagging behind in this new global trade. Tanzania has a very low number of her citizens living out of the country for economic survival/graduation purposes. China, Nigeria, Sri Lanka, Cameron, Kenya etc are far away better in this new global trends. They send back lots of remittances, open new investments home as well as brain gain. This is one of the positive effects of the current autocratic regime (just byproducts). Other countries have specific policies to address this issue. Unfortunately, as a country, we don't have even encouragement policies to favor our young generations to find green pastures abroad. Policies to encourage your citizens to study in developed countries show positive impacts in many developing countries. In fact, even African liberation movements started after groups of Africans who were in studies Europe and (WWII) returned home.

My fellow Tanzanians, there are lots of education opportunities and later on, you may decide to remain as an immigrant in these first world countries. What's important is that you should strategize yourself including sitting for GRE/GMAT tests, English tests. In case you have a chance to learn other foreign languages like french, german, Chinese, Japanese and Koreans, do it; that will worth for you a lot.

Another interesting story is that those who have specializations in hard science -related fields have more chance to relocate than social sciences unless talent related ones. Medical specialists are far better if they plan to live in USA, Canada, Australia, New Zealand etc. Keep it up!

Thanks lusungo.
 
Mpaka sasa uzi ulipofikia kutokana na Maelezo ya wadau humu....wenye uwezekano wa kufanikiwa ni Watu wanaotaka Kusoma tu au kama una Hela ufate alivyoshauri Tokyo40
Very true, life starts below 18 my friend. Na hapa ndipo Tanzania tulipochelewa. Mtu anakwambia nimlipie mwanangu Feza boys milion 7 za nini wakati akimaliza atakutana na wenzie Mlimani. This is very untrue. Wamalizaji wengi wa schools level ya Feza wana chance kubwa sana ya kusoma undergraduate Ulaya, America na Australasia. Ukimaliza undergraduate nchi hizo wewe unakuwa raia wa dunia, si wa tanzania pekee. Watu walijue hili.
 
Kweli ndugu hii itatusaidia sana
 
Usijali mkuu ngoja tupange utaratibu wa kutambuana
Sawasawa mkuu stunter ......Tutambuane vyema kwa Majina na sehemu tunazoishi ili kurahisisha kazi na usalama wa wageni pia kutoharibu reputation ya mkuu anayetafuta hawa wageni na kama tutafanikiwa iwe jambo rahisi kwa coordinator mkuu atakayeratibu hii kazi ya kusambaza wageni kwa host mbalimbali.

Kama kuna wazo zaidi kuhusu hii option ya pili embu tusaidiane hapa wakuu wenzetu
 
Kweli ndugu hii itatusaidia sana
Umeona Ladypeace embu tufanye kushauriana njia gani tuzitumie kurahisisha hili suala la ambao tuko tayari kwanza kupambana na hii option ya pili maana ndiyo kama kindergarten yetu ya kupata mwelekeo wa kutimiza lengo letu haswa la kuruka majuu
 
Huu uzi ni mkombozi kwetu kwani umetupa njia kwa kila alie na mawazo ya kwnda mbele, Thanx kwa wote wanaotoa mawazo chanya
 
Walioko nje naomba tena mnisaidie kupata mchumba huko nikuadieni nataka kutoka huku jamani ninapassport mkononi issue ni visa na nauli
Tutatoka kwa namna yeyote ile maana hapa kwa baba j yaani kazi unayopiga hatar halafu jasho unalopata ukienda sokoni tyu unabakiwa na kiasi ambacho trust me hauwezi toboa kimaisha. Maisha ni Yale ya subsistence unapata unatumia inaisha kesho unatafuta kingine hivyo hivyo yaani dadaangu
 
Reactions: Qj_
Kabisa mkuu,
Wakati mwingine tutumie kauzoefu ketu kwa faida ya wengine.

Blessed.
 
Umeona Ladypeace embu tufanye kushauriana njia gani tuzitumie kurahisisha hili suala la ambao tuko tayari kwanza kupambana na hii option ya pili maana ndiyo kama kindergarten yetu ya kupata mwelekeo wa kutimiza lengo letu haswa la kuruka majuu
Naunga hoja mkuu yaani hapa ukipata fursa ya kuwa host mtu ahostiwe hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…