Naunga hoja mkuu yaani hapa ukipata fursa ya kuwa host mtu ahostiwe hasaUmeona Ladypeace embu tufanye kushauriana njia gani tuzitumie kurahisisha hili suala la ambao tuko tayari kwanza kupambana na hii option ya pili maana ndiyo kama kindergarten yetu ya kupata mwelekeo wa kutimiza lengo letu haswa la kuruka majuu
Yaani hii fursa ikipatikana acha tyu Mungu anajua tulivyo na uchungu wa maisha ladypeace yaani Huyo mgeni siku anaondoka na wew safar imeiva kabisaaaNaunga hoja mkuu yaani hapa ukipata fursa ya kuwa host mtu ahostiwe hasa
mi sijui ntakuwa nambeba kabisa yaani Mungu anajua bora nimpate tu mengine ntaleta feedback tu humuYaani hii fursa ikipatikana acha tyu Mungu anajua tulivyo na uchungu wa maisha ladypeace yaani Huyo mgeni siku anaondoka na wew safar imeiva kabisaaa
mi sijui ntakuwa nambeba kabisa yaani Mungu anajua bora nimpate tu mengine ntaleta feedback tu humu
Umeongea la maana kakaHahahahaaahaaa mkuu ww hutaki mchumba bali unataka njia na njia ni kuhost then unatengeneza connection
Kwa nini unadhani nimesema ww uhitaji mchumba ww unataka njia ww nia yako ni kufika Denmark na Sweden so siwezi kukutafutia mtoto wa kimalta akainvest mapenzi na rasilimali zake kwako kumbe ww una akili zako za kwenda kwingine ukaja kuzingua wazungu wana true love si huko mna fake love so unapomfanyia uhuni unamweka ktk wakati mgumu kihisia tena kwa kipindi kirefu
Qumer
Nyuzi kama hizi ni sawa na kuwafundisha Waafrika kuwa Watumwa bila minyororo.
Mnatukumbusha kauli za Kamuzu Banda na Mabutu Seseseko, leo hii Malawi ndio imetoa wafanyakazi wa nyumbani wa kiume (foreign male domestic workers) kuliko nchi nyingine Afrika.
DRC ni katika nchi tajiri Afrika hii lakini waangalie Wakongo wengi walipo, zaidi ya wanaume kukata viuno jukwaani, kuimba na kujichubua. Leo Wakongo sio watu wakula mbwa na nyani.
Hii Tanzania yetu, unaweza kutimiza ndoto yako, hata kuanzia mchimba mkaa mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa. Why not? Right here in Tanzania
Tunawapeleka watu wetu kwenda kuosha vyombo, choo na vinyeshi huko barani Ulaya wakati ardhi zetu zina rutuba ya kukutosha na tunaweza kuishi na kuendesha maisha yetu kupitia kilimo?
Tunayajua hayo yote lakini tunahitaji kizazi ambacho kitakachojilipua hapa hapa barani Afrika, kijitoe muhanga na sadaka kwa ajili ya kizazi kipya yaani tutumie muda wetu wote kufanya mapinduzi ya kiuchumi hapa hapa Afrika kama vile wazee wetu walitumia muda wao wote kutukomboa kwenye minyororo ya Wakoloni.
Wakoloni, waliishi vipi na kufanikisha maisha yao hapa Afrika?
Mapinduzi ya Kiuchumi yanahitajika. Hatuondoki Afrika.
Kwa Dunia ya sasa usiamini sana katika Kusaidiwa PambanaWalioko nje naomba tena mnisaidie kupata mchumba huko nikuadieni nataka kutoka huku jamani ninapassport mkononi issue ni visa na nauli
Mkuu number zangu ni 0654 646 092.Naomba wakati unasambaza hao wageni unipe mmoja wapo.Ningependa kama awe ke.Hv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkoo
Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA
Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM
STUNTER
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Napatikana Dar es salaamHv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkoo
Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA
Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM
STUNTER
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Kuna rafiki yangu yupo UK, wacha niongee nae tuone jinsi ya kukusaidia mkuuWalioko nje naomba tena mnisaidie kupata mchumba huko nikuadieni nataka kutoka huku jamani ninapassport mkononi issue ni visa na nauli
Ni kweli usemayo ila amini kwamba wengi baada ya kusoma uzi huu ndo tumefunguka ila tatizo utaanzia wap kama ela mfukoni hakuna na wenye mzuka wakutoka naamin hawana ela hata ya passport,wenye hela wameridhika.tupe muda kaka usichokeSiku zote mm napenda sana kama mna kitu mnafanya bhasi matokeo yaonekane japo kidogo tatizo Watanganyika mnapenda story story sana hilo ndio tatizo kubwa sana kwa Dunia ya leo hatuwezi kujaza saver za JF kwa story story tu mpaka leo hakuna hata mrejesho hata wa aliyekwenda ubalozi wa Italy japo kuuliza tu michakato ya visa tu nothing host ni wawili tu walionyesha nia so unadhani tunafanya nini hapa sasa ?????
Daby omba mungu kizazi kiwepo, Alafu huyo demu utakayepita nae pia awe na uwezo wa kubeba ujauzito, laa sivyo kwa hii njia utasafaizzo lusungo asanteni sana kwa huu Uzi. Mi nimeuona juzi tu na jana ndo nimemaliza kuusoma so nianze kwa kuwaambia ASANTENI SANA. Kwa watu waliopo serious kuhusu kumkimbia mfalme nanii lazima wataondoka. Changamoto itakayofanya wengi (mi mmojawapo) wachelewe kidogo ni hela ya kufanikisha safari kwahiyo usivunjwe moyo kwa kutoona feedback immediately. Muda ukifika utafurahi wenyewe.
Daby ngoja nikupe njia rahisi zaidi ya kubaki Sweden ukifanikiwa kufika. Tafuta kabinti ka kiSwedish, usiombe uchumba wala nini, just get her pregnant!!!!!Kama una familia huku basi hiyo njia itakuwa ngumu kidogo lakini its the best. Hutohitaji kujilipua kama mkimbizi kwa maana hiyo kama una taaluma yako utaweza kuifanyia kazi right away, kama una elimu nzuri hutohitaji kuificha and so so.
Kuhusu jeshi la nje naomba na mie niongezee 2cents zangu. Kaka yangu mimi alijiunga na jeshi la Sweden baada ya kumaliza college (uraia alichukua mapema akiwa under 18) kwahiyo sio ngumu hata kidogo. Na ukiingia jeshi lao wanakujali sana kwasababu unaonekana ni MZALENDO kwa nchi yao.
Alafu nilisahau...@izzo mi niko zaidi ya tayari kuwa host kwahiyo hao wageni wa awamu ya kwanza naomba mmoja anihusu tafadhali. Usinisahau kwenye hill.
Nipo tayari kuhost muda ukifika msinisahau.Hv unajua kwa nini kila kiniweka hapa project mpya au chapisho la maana nawatag watu? coz nataka hata wale ambao wameonyesha mwitikio na hizi project wapate update kwa kila kipya tunachoweka hapa na kila mtu kushiriki katika safari hii ya maendeleo si matumaini kwani nataka watu waende kwa kujidai si kujificha unapoona gari la police kwani kama utakuwa unajificha ukiona gari la Police basi utatumia masaa 10 kati ya 12 kujificha tu coz huku gari za Police kupita mitaani ni kama vile unavyoona magari ya mwendo kasi ukiwa kkoo
Siku zte inapendeza na kufurahisha kama project inatoka kwenye makaratasi na kuwa kitu cha kuonekana na kushikika si kupiga story tu mwisho wa siku hakuna chochote cha maana kwani muda ni rasilimali ambayo ukiipoteza huwezi kuipata tena mpaka unakufa so siwezi na sipo tayali kuwa napoteza muda hapa na pia kuhusu wageni kwanza nataka mwezi wa 4 yeyote mwenye kutaka mgeni lazima tutoke kwenye kujificha nyuma ya keybold na keypad mm nitaka namba zenu za simu tu mengine niachieni mm kwani usalama wa wageni ni
First Priority so naitaji kuwajua vizuri host pia yule main host kwani lazima kuwe na main host ambae kazi yake ni kuwasambaza kwa hawa host
tutaanza na wageni 22 kutoka Malta,Canada na USA
Pia wale mabingwa wa kuandika projects kwani si kila mtu anapenda kwenda Ulaya au nje wajiandae lakini lazima taasisi yako au yenu imepata usajiri wa serikali na cheti kipo nitakachofanya ni kukuonganisha na taasisi ya nje bhasi unaendelea mwenyewe no kuwasiliana no PM
STUNTER
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Hahaha.... Asante saana Lizzy kwa ushauri ubarikiweizzo lusungo asanteni sana kwa huu Uzi. Mi nimeuona juzi tu na jana ndo nimemaliza kuusoma so nianze kwa kuwaambia ASANTENI SANA. Kwa watu waliopo serious kuhusu kumkimbia mfalme nanii lazima wataondoka. Changamoto itakayofanya wengi (mi mmojawapo) wachelewe kidogo ni hela ya kufanikisha safari kwahiyo usivunjwe moyo kwa kutoona feedback immediately. Muda ukifika utafurahi wenyewe.
Daby ngoja nikupe njia rahisi zaidi ya kubaki Sweden ukifanikiwa kufika. Tafuta kabinti ka kiSwedish, usiombe uchumba wala nini, just get her pregnant!!!!!Kama una familia huku basi hiyo njia itakuwa ngumu kidogo lakini its the best. Hutohitaji kujilipua kama mkimbizi kwa maana hiyo kama una taaluma yako utaweza kuifanyia kazi right away, kama una elimu nzuri hutohitaji kuificha and so so.
Kuhusu jeshi la nje naomba na mie niongezee 2cents zangu. Kaka yangu mimi alijiunga na jeshi la Sweden baada ya kumaliza college (uraia alichukua mapema akiwa under 18) kwahiyo sio ngumu hata kidogo. Na ukiingia jeshi lao wanakujali sana kwasababu unaonekana ni MZALENDO kwa nchi yao.
Alafu nilisahau...@izzo mi niko zaidi ya tayari kuwa host kwahiyo hao wageni wa awamu ya kwanza naomba mmoja anihusu tafadhali. Usinisahau kwenye hill.
Embu fanya hivyo utupe mrejeshoUsijali mkuu ngoja tupange utaratibu wa kutambuana
Nimechoka stress za sizonje. Ngoja nitoke nje bana[emoji1][emoji1] [emoji1] Fagia tu hapa hapa kwa sizonje
Hatareee.....Nimechoka stress za sizonje. Ngoja nitoke nje bana[emoji1]