yes ni website inayoaminika, haina shaka.Mkuu izzo!! au kwa yeyote mwnye ufahamu juu ya hawa workaway kama ni websites inayoamika maana nmeona ina host family lakn ili ufanye nao contact lazma ujisajil kwa $ 29.00 but kama ni uhakika nataka ksho nkalipe hyo ela ili niweze kufanya application
ukishalipia utakua unaweza kuwasiliana na host yoyote ndani ya mwaka mmoja.Mkuu izzo!! au kwa yeyote mwnye ufahamu juu ya hawa workaway kama ni websites inayoamika maana nmeona ina host family lakn ili ufanye nao contact lazma ujisajil kwa $ 29.00 but kama ni uhakika nataka ksho nkalipe hyo ela ili niweze kufanya application
Mawazo mazuri sana mkuu tukipeana mirejesho itasaidia wengi kujifunza njia walizotumia na changamoto walizokutana nazo mpaka kufanikiwa na uhakika tukifanya hivyo baada ya miaka nchi tutaijenga kwa kuenda kuvuna mali ughaibuni nakuzileta hapa nyumbani mungu ibariki tanzania na wbariki pia vijana wanaotaka kujilipua ughaibuni.
inaonesha kwenye kuandika English uko vizuri hongera sana mkuu na usicheze na hii chance kabisa.Ameen. I am in hope-mode.
Kuna some concerns kama mbili hivi ambazo ni too personal. For primacy, naomba nije PM tutete kidogo mkuu.
-Kaveli-
Ni bure kabisaMalipo unalipa kwa kutumia njia gani mkuu
yeah...Mkuu hii uliapply nini???
Ni chuo gani hicho ambacho ulipata?Vizuri kamanda.
Kuna vijana kadhaa ambao mm nawajua. Tulitengeneza kama network flan hivi yakupeana habari ya mambo ya scholarships. Hali ilikuwa nzuri sana, mambo yalienda murwa sana.
Wengi tulipata admission na hatukuwahi kufanya mitihani ya english kwani vyuo tulivyoomba walikuwa na option kama ulifanya undergraduate english ikiwa language of instruction and examination, ukitoa uthibitisho basi wanakupa admission (kwa wale waliopitia ud ukienda adm wanakupa barua yakuthibitisha kuwa english was language of instruction and examination.) ingawaje utaratibu huu hautumiki kwa vyuo vyote.
Baada ya kukamata admission, harakati zakuomba scholarship zilianza na bahati nzuri hatukufanikiwa hata mtu mmoja.
Katika kutafuta ushauri wengine walisema mara nyingi hamkidhi vigezo hasa katika eneo la personal statement na vipengele vingine.
Mkuu kama ukifanikiwa kufika ututafutie njia na sisi. ..maana kamshahara hapa bongo ni matatizo tuu.Dah asante mkuu kwa kuleta uzi huu mimi nimeplan kuhamia marekani mwaka huu mwishoni panapo majaaliwa kuna kakaangu atanialika hebu naomba kujua Visa ya kwanza ni muda gani wanakupa na ameniambia atanitafutia kazi kwa mwezi kiasi kadhaa mana kuajiriwa bongo mshahara wote unaishia kwenye matumizi hebu naomba msaada kujilipua usa inakuaje au ndo trumph atanirudisha kwetu mkuu asante
Daah tufanyie wepesi aisee ..kwa mfano kama mim huwa natamani sana kwenda Germany, Netherlands au Israel mkuu ...kwa njia ya masomo maana sina mtu wa kunialika uko ...sasa sijui nifanyeje mkuu ..naomba unipe limuongozo aseeYeah mkuu kuna matumizi but huwezi linganisha na bongo... Kikubwa kujipanga na kujua nini unafanya... Mfano kazi nyingi za kijungujiko kule US zinaweza kukufanya u save mpaka $2000 after bills.... Na hii ni kwa miaka hii... Nakumbuka nyakati zile ulikua na uwezo wa kusave zaidi coz kulikua na favor nyingi tofauti na sasa!
Ila kwa wataobahatika kwenda Scandinavian countries kule maisha ndiyo simple sana na kutoboa ni rahisi zaidi shauri ya ubure ktk huduma nyingi tu....
Na mimi mkuu.Tuwasiliane.
Kwa sasa Germany ni pagumu sana mkuu but unaweza pata,ila itakuchukua muda.Daah tufanyie wepesi aisee ..kwa mfano kama mim huwa natamani sana kwenda Germany, Netherlands au Israel mkuu ...kwa njia ya masomo maana sina mtu wa kunialika uko ...sasa sijui nifanyeje mkuu ..naomba unipe limuongozo asee
mkuu kaveli just do ur home work hayo mengine muachie mkuu izzo atamaliza.,nakuombea ufanikiwe na mungu akusimamie hadi mwisho.,una bahati sana kwa kweli..Nilitaka tu kuuliza na/au kushea kitu kuhusu hiyo inshu ya uyatima, pia na umri. Na sipo comfortable kuexpose hapa sebuleni.
Okay fine. Nitakujulisha nikishakamilisha kuandika.
-Kaveli-
Okeyukishalipia utakua unaweza kuwasiliana na host yoyote ndani ya mwaka mmoja.
Congrats brother and all the best...when you get such uniqueness opportunity use all bullets you possess.Natanguliza shukrani za dhati mkuu Izzo.
Nitaandika kwa kuzingatia instructions zote husika.
Let me try that chance. It might change my life story!
ubarikiwe ndugu kwa moyo wako wa kusaidia.
-Kaveli-
Nani kasema hataki jukwaa la diaspora? Anyway acha wenye nia wachangie we endelea kusubiri jukwaa la diaspora!sasa why mhamtaki tuwe na jukwaa la DISPORA ili tuzungumze hizi issues?
Mnaonitumia PM naomba mumtumie MAX/INVISIBLE PM ili afungue jukwaa la diaspora pupate kupeana mawazo
Mkuu,wazo lako zur lakn hata hapa kwa sababu thread ishaanzishwa tunaeza changia mawazo ambayo ilitakiwa yachangiwe hko kwny jukwaa la diaspora coz lengo letu wote ni moja!!sasa why mhamtaki tuwe na jukwaa la DISPORA ili tuzungumze hizi issues?
Mnaonitumia PM naomba mumtumie MAX/INVISIBLE PM ili afungue jukwaa la diaspora pupate kupeana mawazo
Mkuu ukichomoka usitusahau bwana, na sie tutengenezee njia..Natanguliza shukrani za dhati mkuu Izzo.
Nitaandika kwa kuzingatia instructions zote husika.
Let me try that chance. It might change my life story!
ubarikiwe ndugu kwa moyo wako wa kusaidia.
-Kaveli-