Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Jambo la pili kwa wajuzi wa mambo ningependa kujua deadline ya visa kwa mgeni anayemtembelea ndugu yake aliye nje esp Scandinavian countries.

Na je kama ikiisha unaweza ukaipeleka mbele let's say from one year to another second year.

- Chindo -
 



Mkuu mimi nipo Tayari kua host, tena nina nyumba kubwa sana huku Tz
 
sasa mbona mkifa huko.....mpaka sisi huku sitimbi tuchangishe pesa ndio mtu aweze kuzikwa huku? hata ya kusafirisha mwili tu kuchangia huko ni shida! ni nn shida!
 
1. Garama ya kupata passport ni shi ngapi kwan? Ningependa kujua hapo kwa undan na nini na nini kinahitajika.
2. Garama ya kupata kad ya sindano ya homa ya manjano
3. Garama ya kupata visa kwa ajili ya kwenda kusoma kwenye nchi kama kama SA. Nataka nkajipange nkajilipue mojawapo ya vyuo kama Wits University, natal & pretoria.
 
ndoto zangu ilikuwa nikabebe box USD......ila Baada ya Trump ndoto zangu zimegonga Mwamba
 
Mimi nipo Tayari kua host tena kuna nyumba ya ku host ata wageni wa 4 Contacts zangu tryphonefrank@gmail.com
+255764531080 kama ukitaka kunijua kwa undani zaidi unaweza kunitafuta, mkuu Izzo tunaomba sana utusaidie wadogo zako
 
MAXCENCE MELLO/INVISIBLE

NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)


Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi

1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie

AUSTRALIA & NEW ZELAND

CANADA

EUROPE

FAR EAST & ASIA

MIDDLE EAST

USA

LATIN AMERICA

2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician

Pia kutakuwa na threads za Job offers

na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted

3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
 
Kaka mimi nimesoma nina degree so najua tupo wengi tunaohitaji scholarship please tusaidie tupate scholarship full funded
 
Wadau mimi nipo Uganda, kuna jamaa yangu alienda Turkey 2013. Nimeongea nae kanipa no za Agent aliyempeleka. Nimeongea na Agent anadai Malta ni 8m Ugandan money. Visa na nauli kwa asylum seekers. Mwezi mmoja issue ni uaminifu km mjuavyo
Weka contact zake km mkuu izzo alivyosema anaweza kutuambia km ni wa ukweli au la ili watu tusepe zetu.
 
Weka mawasiliano yake hapa then nitakwambia kama anaweza au lah bt kama unamwamini na umeridhika Good luck ukifika Malta toa mrejesho tukuelekeze vizuri na kama unataka jeshi nitakuelekeza umfate nani bt mpaka utape uraia wa Malta kwnza
I like you brother izzo
Watanzania wote tungekuwa hivi maendeleo yngekuwa rahisi sana ila nchi yetu watu wana roho mbaya ukikaa maofisini ndo utajua
 
S_sssssssssssssss_sssssssssssssssssssssssssqkxsssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssMeuxx#
 
Wakuu wa option namba mbili ya hosting hao wageni Mimi nazidi kuipigia tarumbeta maana kwangu naona ni njia stahiki ya kuanzia maana nachotaka Mungu anajua tyu endapo nitapata hiyo chance ....Mkuu Izzo naimani nitakuwa mmoja wapo wa hosting watakaopewa dhamana hii....Mungu akulinde na akuzidishie baraka..........jamani wakuu wa option namba mbili tuenfelee kuijadili hii option kwa undani na nimejaribu kutembelea site mbalimbali nimekutana na hii moja inaitwa HOMESTAY.COM ambayo unachotakiwa kufanya ni kujisajili kama host hapa sijaona malipo yeyote unayotakiwa kuyatoa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…